Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

Unitonye kwa namna ifaayo ili process za uhakiki zipangwe maana cheti chenye ithibati natoa mimi pekee.
Kikilainika nitarudi kushukuru, ukiona kimya ujue "byayangana"
 
Fanya zoezi hili, kila siku usiku kabla ya Kulala, lalia mgongo afu chora kuanzia sifuri mpaka kumi kwa kutumia kiuno huku miguu ukiwa umeikunja mtindo wa leba, kadri unavyoendelea unazoea na kiuno kulainika siku hadi siku mwisho utaweza kuchora mpka hamsini kwa kiuno tu.[emoji85][emoji85]
Mmh hebu ifafanue tena, kuchora kuanzia sifuri,
miguu ikunjwe mtindo wa leba?? plz ufafanuzi.
 
Natamani nikuwekee video, lakini inagoma
 
Back
Top Bottom