Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

hhahhaahhahaha kwakweli jaman maisha yametubadilikia !anywys uwe unajifungia room kwako fukuza watotto cheza ukiwa unaangalia hao kina bey! najua utaweza ingawa sio sana ! ndo muwe mnaenda ht club !lol !mie zaman usichana wangu nilikua fundi !sasa hv kiuno na tumbo havieleweki vipo wapi
ha ha ha!!!!!
Club nlikua naenda naangalia wenzangu
 
yaani changu ni kigumu kuliko mawe......................
ila papu uchi yangu naiaminia................tamuje hahahaha nafwaaaaaa
Pengine hiyo papu uchi yako ndiyo inayokubeba kwenye marks,ila angalie usije shindwa kubalance "kombi"..unasoma PCM,Physics umetoboa,Mathe umezungusha,Chemistry umetoboa,sijui nini kitafuatia hapo....
 
hhahhaahhahaha kwakweli jaman maisha yametubadilikia !anywys uwe unajifungia room kwako fukuza watotto cheza ukiwa unaangalia hao kina bey! najua utaweza ingawa sio sana ! ndo muwe mnaenda ht club !lol !mie zaman usichana wangu nilikua fundi !sasa hv kiuno na tumbo havieleweki vipo wapi
You are here twin.....?!!!
 
Hivi wale watu wanakuaga na viuno laini ni wanakua wamezaliwa hivo walaini au ni mazoezi ?Kama ni mazoezi ni yapi hayo waweza kufanya kiuno kiwe laini....

Napenda hiyo shughuli kucheza, kutwerk ila kiuno kinakua hakina ushirikiano msaada.
BAK ka video ka kutwerk please 😀
Cc Miss Natafuta na MBITIYAZA wataalamu wa hizi kazi
Umechoka kuitwa Gogo kitandani pole sana.

Naona vyuma vimekaza hata ukikataka kama mwali wakimakonde no money, izi-zama Jpm.
 
Hivi wale watu wanakuaga na viuno laini ni wanakua wamezaliwa hivo walaini au ni mazoezi ?Kama ni mazoezi ni yapi hayo waweza kufanya kiuno kiwe laini....

Napenda hiyo shughuli kucheza, kutwerk ila kiuno kinakua hakina ushirikiano msaada.
BAK ka video ka kutwerk please 😀
Cc Miss Natafuta na MBITIYAZA wataalamu wa hizi kazi
shoga sijui lolote
 
Youtube, download video ya wabrazil wakicheza mziki wao sijui unaitwa salsa.
Au fungua youtube andika brazil dancing workouts kwenye search box. Wanachezesha kila sehemu ya mwili kuanzia nywele, kichwa, shingo, mabega, mikono, kifua, tumbo, kiuno, mapaja, ugoko, mpaka toes.
Zitakufundisha naamin
 
hhahhaahhahaha kwakweli jaman maisha yametubadilikia !anywys uwe unajifungia room kwako fukuza watotto cheza ukiwa unaangalia hao kina bey! najua utaweza ingawa sio sana ! ndo muwe mnaenda ht club !lol !mie zaman usichana wangu nilikua fundi !sasa hv kiuno na tumbo havieleweki vipo wapi
Watu tumekulia mazingira tofauti... kuna binti mmoja hawa majirani zangu nikawa namlazimisha twende twende anaona aibu siku nikamlazimisha.

Daah kufika kwenye kucheza nilichoka anazungusha mwili mzima basi hadi ifike saa 7 anavuja jasho kama yupo kiwandani.
 
Back
Top Bottom