Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

Kutwerk ndio nini (tafsiri)
IMG_20171207_121512_783.jpg

Sijui kuweka video, ungeelewa zaidi
 
Na kweli nyonga zishakaza nawezajikuta natenguka, kiuno kikatundikwe MOI
Potelea mbali acha nijifunze tu

Utaweza ila itakubidi uweke juhudi maarifa na muda mwingi zaidi. Zaidi ya yote, kama ni kitu unapenda, utafanikiwa tu.
 
Back
Top Bottom