Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

Mr. President nimesoma mtazamo wako juu ya Mungu, nahisi maana yako ya Mungu ni pana zaidi as a result umeconclude hayupo only kwa kushindwa kutekeleza hizo sifa, anyway..

Pia mkuu licha ya kumeditate it seems you know nothing about spirit/roho. kwa kuzingatia post yako ya kwanza na ile uliyonijibu kuhusu Mungu umeelezea namna mind inavyoweza kumuaminisha mtu uongo kutokana imani alizojaza kwenye bongo yake. Embu elezea kuhusu roho.

Nimeulizia hapo kwenye roho/spirit coz nahisi mtu akimediditate anakua anaungana na spirit yake UKIZINGATIA nawe unameditate na inaamika mtu akimeditate sana anafikia kuweza kuhama mwili na kutembea kiroho.
 
Last edited by a moderator:
Kama Yesu na/au Mohamad wa/asingekuja duniani Imani ya uwepo wa Mungu Mmoja ingekuwa ndogo mno, hawa wote wamekuja na kuudhihirishia ulimwengu kwamba Mungu yupo na ametupa uhuru wa kuchagua kuishi kwa matendo mema ama mabaya na kutuelezea matokeo ya kuishi kwa hayo matendo.
 

Huu ni upotoshaji wa hali ya juu.
Hii ni kinyume kabisa na amri kumi ,kusema sisi ni miungu,ni kama unaabudu miungu mingine,wakati tumeambiwa tusiambudu miungu mingine.Sina wasiwasi najua this is satan at work na kwa amabao hawajui watajiingiza huku,meditation ni njia mojawapo ya kuingia kwenye ulimwengu wa kiroho ambao kuna roho chafu,nia yao ni kukufanya uwe negative kwenye maisha yako,uwe mwenye hofu.kwa njia nyingi za udanganyifu,kumbuka yule nyoka alikua ni mjanja sana,na ana mbinu nyingi za kuwapotosha watu.Na huyu jamaa anatumia bible kuwalaghai ,just like the way satan alitumia bible kumjaribu yesu.Medidation itakupeleka ulimwengu wa kiroho ambao kuna roho wachafu ,narudia tena,roho wachafu.Tafuteni kumjua mungu zaidi,na sio kumjua shetani!
 

Una uhakika na ulichokiandika?
 
Hata wewe najua unanielewa

Ninaposema hivyo ninamaanisha huna uhakika na ulichokiandika. Umezaliwa ukakaririshwa hivyo vitu na ukafanywa uwe mwoga wa kuwa huru katika mawazo yako. Kwa maana nyingine upo ndani ya kifungo cha dini kinachokufanya uamini biblia pekee yake na kuacha kujifunza vitu vingine.

Mwisho wa siku utashindwa kuelewa lengo lako la kuja duniani ni nini. Na hatimaye utashindwa kukamilisha mission ya wewe kuja duniani.

Be free in your mind.
 
Mie nadhan tusiingize ushindani wa kidini au kiimani....napendekeza mtoa mada...atupe practicle experience yake....huko kwenye ulimwengu wa meditation....kwa kina kabsa....kisha wenye ujasiri watajifunza...!!

Annael.....tells you best experience huko ...ulimwengu wa roho....narrate story yako....bila kuhoji watu wanachokiamini au wasichokiamini....then at end wataaamua....!
 

Hapo umesema kweli. Ninaanda document ambayo ni practical. Na inahusu experience yangu on what I say. Na mifano mingi. Ninategemea kuitoa kwenye thread inayokuja.
 
Hapo umesema kweli. Ninaanda document ambayo ni practical. Na inahusu experience yangu on what I say. Na mifano mingi. Ninategemea kuitoa kwenye thread inayokuja.

Sawa na uwaeleze hatari zilizopo huko ambazo haujazisema.Unawapa watu upande mmoja lakini hatari zake hauzisemi kwamba kuna spirits mbaya ambazo madhara yake ni makubwa mno.

Ukitaka kujua kila kitu huku duniani utajifunza hata kuloga.So lazima tuwe na limits
 
Huyo aliyegundua baada ya kufa tunaenda wapi ni nani na kipi kitafanya tuamini maelezo yake hayo?

Achilia mbali huyo wa baada ya kufa tunaenda wapi, hata huyo wa kabla ya kuzaliwa tulikua wapi lazima ajipange mkuu.
 

Ni nani anapanga hayo malengo, kipimo gani kinakuonyesha kwamba umetimiza kusudi lako la kuja hapa duniani, ni nini madhara ya kutokutimiza kusudi lake, kuna adhabu yeyote? Shukrani
 
Ni nani anapanga hayo malengo, kipimo gani kinakuonyesha kwamba umetimiza kusudi lako la kuja hapa duniani, ni nini madhara ya kutokutimiza kusudi lake, kuna adhabu yeyote? Shukrani

Nakuomba usubiri ninaleta vitu vyote na ninaviandaa vizuri ili watu waweze kusoma
 
Kwa mantiki hiyo wewe ni yote katika yote?

Huna aliyekuumba wala anayekupa pumzi ya kila siku?

Unaposema fikra huru una maana gani? Je hayo mawazo/fikra itakayokupa ku-conclude usahihi wa jambo fulani unaipata toka kwa nani?

Ana sahau hata hiyo anayoiita fikra huru amejifunza kama ambavyo wengine walivyojifunza vitu vingine ambavyo yeye anaona haviko sahihi.

Kama ni fikra huru kama anavyodai si tungezaliwa tunaijua moja kwa moja na wala pasingekua na haja ya yeye kuja kutuelimisha hapa!
 
Nakuomba usubiri ninaleta vitu vyote na ninaviandaa vizuri ili watu waweze kusoma

Kusubiri sio tatizo, lakini wewe umegusia kwenye hii topiki yako suala la kutokutimiza mission, vinginevyo utoe muongozo nini kijadiliwe kweny hii mada na kipi kisubiri hadi utakapoleta hayo mambo mengine.
 

Ujue mtu mjanja mjanja huwa anasahau .Uwe unakumbuka wapi ulidanganya.Ulipofanya reference kwenye bible kwa kuchukua mstari mmoja bila kujua paragraph nzima inasemaje.huo ni ujanja wa shetani.Na sasa hivi unaji conflict kwa kusema tumekariri bible bila huku wewe mwenyewe uliamua kuchukua kimstari kimoja ili upotoshe watu.

Haihitaji uwe umesoma kukuelewa wewe ni mtu wa namna gani
 
Kusubiri sio tatizo, lakini wewe umegusia kwenye hii topiki yako suala la kutokutimiza mission, vinginevyo utoe muongozo nini kijadiliwe kweny hii mada na kipi kisubiri hadi utakapoleta hayo mambo mengine.

Kwa kifupi tu. Tumekuja hapa duniani kupata experience kutoka kwenye evolution nyingine.

Tuko hapa dunian katika mfumo wa aina mbili. Physical body na aetheric body. Aetheric body ndiyo uhalisia wetu. Na physical body ndio huu mwili tunaouona unakufa na kuzikwa hatimaye aetheric body unabaki kwenye uliwengu unaoitwa astral universe ukisubilia another evolution.

Naomba niishie hapa. Nitaeleza vizuri kwenye thread kamili ninaandaa material vizuri.
 
 

Ntasubiria mkuu, ila kwa haya machache ni kwa mujibu wa nani? (Naomba niweke wazi kwamba) Mimi ni muumini mzuri wa Biblia na ni Mkristo
 
Ntasubiria mkuu, ila kwa haya machache ni kwa mujibu wa nani? (Naomba niweke wazi kwamba) Mimi ni muumini mzuri wa Biblia na ni Mkristo

Kwa mujibu wa practical, near death experiences. Meditation ni moja wapo ya njia ya kugundua hivyo vitu
 

Unajua kama alivyosema Mashaxizo, huwezi ukaelimisha watu kwa kunukuu kitabu ambacho haukiamini mambo yake kufikisha ujumbe wako huku ukidai hicho kitabu hakipo sahihi.

Biblia hiyo hiyo inaelezea tumetoka wapi, kwa nini tuko hapa, na tunakwenda wapi baada ya haya maisha ya hapa duniani. Mleta mada anaongeleaje upande wa pili wa hayo mafundisho ya Biblia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…