Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,346
Mr. President nimesoma mtazamo wako juu ya Mungu, nahisi maana yako ya Mungu ni pana zaidi as a result umeconclude hayupo only kwa kushindwa kutekeleza hizo sifa, anyway..
Pia mkuu licha ya kumeditate it seems you know nothing about spirit/roho. kwa kuzingatia post yako ya kwanza na ile uliyonijibu kuhusu Mungu umeelezea namna mind inavyoweza kumuaminisha mtu uongo kutokana imani alizojaza kwenye bongo yake. Embu elezea kuhusu roho.
Nimeulizia hapo kwenye roho/spirit coz nahisi mtu akimediditate anakua anaungana na spirit yake UKIZINGATIA nawe unameditate na inaamika mtu akimeditate sana anafikia kuweza kuhama mwili na kutembea kiroho.

Last edited by a moderator: