Jinsi ya kufungua codes za SIRI zilizoandikwa katika kitabu kiitwacho Biblia/ Neno la Mungu

Sio biblia tu inayoleta mkanganyiko au isiyoeleweka kwa watu wote

Mahesabu pia yanahitaji mtu mwenye uelewa kuyaelewa na kuwafundisha wengine waelewe na bado sio wote wanaozielewa hesabu

Vitu makini vyote vinawekwa kwa codes ili wajanja wanyanyue maarifa

Soma bible usipoelewa sehemu omba usaidizi wa roho mtakatifu au wa watumishi wa kweli wa bwana
😄 sawa
 
Spirituals?????
Hapa ndio unazidi kujipambanua jinsi fuvu lilivyojaa tope na kinyesi
Siku zote mtu mjinga na asiyejua kitu hujidhihilisha kwenye kushindwa kujenga hoja na kuishia kutukana hovyo,
Kama ungekua mwelewa hilo ungelitambua mapema na kurekebisha error na kulitolea ufafanuzi hapa inadhihilisha wewe ndugu yangu ni zero brain,hujui kujenga hoja ila unapayuka kama kahaba kanyimwa ujira hivyo napenda kukupa taarifa utaondoka kama ulivyokuja kingine kubali hujui tu kwani kama hujui si unafundishwa kuliko kujifanya mjuaji na hujui?
😁
 
Ni kweli umenielewa au umeamua yaishe?
Sema neno tueleweshane haya mambo ya dini
Kuna siku nilisha kuambia usipo fanya tafakuru ya kina utaendelea kubakia cheap labour 😁 ,unatakiwa uvuke hiyo level.
 
Mimi sio cheap labour!
Naamini Mungu yupo na dini yangu ni upendo.
 
Nipen andiko ukristo n dini?yesu mungu?alaf nipen logic ya neno mungu na yesu.
 
Biblia haina cha code wala nini ukisikia mtu anakuambia eti ina code jua anakupeleka chocho akakupige za uso , ipo wazi na inaeleweka kuliko hata kitabu cha ngoswe penzi tovu la uzembe.
 
Salaam, shalom!!

Utakubaliana na Mimi ya kuwa, ni Rahisi sana kuangalia movie masaa SITA bila kuchoka, pia ni Rahisi sana kusoma au kushinda ukichat siku nzima katika mitandao ya Kijamii ila Si Rahisi kusoma chapter angalau mbili tu katika kitabu kiitwacho BIBLIA, Je ungependa kujua nini Hasa ni sababu ya ugumu katika kusoma na kuelewa NENO lililoandikwa ndani ya kitabu hiki? Fuatana nami utajua ..

Kuanzia Leo, Ukipita Sehemu yoyote na ukasikia watu wakiomba na kunena Kwa lugha, mtu asikudanganye kuwa wale wamechanganyikiwa ,uliyechanganyikiwa ni wewe mbumbumbu ni wewe ambaye umefichwa usijue wanachoomba au kunena.

Lugha unayosikia watu wakinena Si lugha ya duniani, ni lugha ya Mbinguni, na lugha hiyo ni Siri, kuifahamu ni Hadi ufunuliwe au usaidiwe.

Najua umezoea kusikia watu wakinena Kwa lugha, lakini pia ujue kuwa lugha hiyo inayonenwa, inaandikika na kusomeka na inaweza kutafsiriwa pia.

BIBLIA yoyote iliyoandikwa na kutafsiriwa Kwa lugha mbalimbali za WANADAMU Bado haijaweza kuwa Rahisi kusomeka kueleweka kirahisi na kuandikika na kutafsiriwa na wanadamu kirahisi sababu kuu ni kuwa, codes ndani ya maandiko haya Bado ni Siri kubwa, neno Moja katika BIBLIA Huwa Ina tafsiri Saba, WANADAMU Kwa kutafuta tafuta na kuomba na kufunuliwa, wanaweza kufungua codes Moja Hadi nne pekee, zilizopaki ni za Mungu, ndio maana unaweza kusoma na ukarudia kusoma BIBLIA mara kumi lakini bado Kila ukirudi kusoma UPYA uTAENDELEA kupata vitu vipya tena na tena,kusoma BIBLIA Kwa akili Yako, jaribu usome kifungu chochote Kisha jaribu kuelewa Kwa akili Yako na kujaaribu kuitafsiri na kufafanua, utajikuta unaripuka na uelewa ambao Kila mtu karibu Yako atabaki kukushangaa, sababu kuu ni kuwa unajaribu kufungua mlango au seal bila Kodes au funguo zilizo juu kuliko ufahamu wako, hutofanikiwa zaidi ya kupotosha.

(Daniel 1: 1-31).

Palikuwa na msomi mmoja, aliyekuwa mfalme wa Babeli aliyeitwa Belshazzar, aliyeelimika Kwa kusoma Elimu uliyokuwa Bora ya wakaldayo na alikuwa na Elimu na Maarifa makubwa sana, na wasaidizi wake pia walimzunguka wenye hekima, Elimu na Maarifa ya Kila namna, na hiyo haikutosha, alizungukwa pia na wasoma nyota waliokuwa na ushirika na Roho na Ulimwengu wa Giza ambao waliweza kupata Maarifa ya kiroho yalioufaa ufalme wake katika kutafuta suluhu ya changamoto zilizoukumba ufalme wake. Hawa wote hawakuweza kusoma na kuelewa tafsiri ya neno la Siri lililoandikwa ukutani, sababu kuu ya kushindwa kufungua codes ni uchafu, dhambi, machukizo waliyonayo, Si Rahisi mzinzi, mlevi ,muazaji mtenda dhambi , mchawi nk nk asome BIBLIA na aielewe, hiyo ni impossible 🤔

Siku Moja Mfalme akayatimba, kachukua vyombo vitakatifu ambavyo vilikaa special hekaluni, Yeye akaitisha party na kuamua kuvitumia vyombo hivyo special katika kuvinywea pombe na wake zake na makahaba wake na Waganga na wachawi Ili kuifurahisha miungu yake, alivichukua Kweli na kuvitumia katika uchafu huo, kilitokea kitu Cha kushangaza kilichokata pombe yote kichwani na kumwacha kinywa wazi!!!

Kilitokea kitanga/ kiganja kilichoandika maneno ukutani na yalisomeka kama ifuatavyo;

MENE MENE TEKEL NA PERESI.

Mfalme alijaribu kusoma na asiekewe maana ya maneno Yale machache na akawaita wasomi na Waganga na wenye hekima wa wakaldayo na hakuna aliyeweza kufungua codes / Siri zile.

Ndipo alipoitwa Daniel na akawezeshwa na Roho mtakatifu kufasiri Siri zile kama ifuatavyo.

MENE MENE TEKEL NA PERESI

1. MENE.

Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.

2. TEKEL.

Umepimwa katika mizani, nawe umeonekana kupunguza.

3.PERESI.

Ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wanedi na Waajemi.

Utaona neno Moja tu "PERESI" Lakini yametokea maneno mengi katika tafsiri ya neno Hilo.

Utaona neno Moja " MENE" tafsiri yake neno Hilo Moja yametokea maneno mengi sana ambayo Kwa nje usingejua neno Moja limenenwa kumbe limemaanisha maneno mengi ambayo ya aweza kujaza kitabu kizima.

Ndivyo ilivyo katika kusoma BIBLIA, neno au sentesi Moja usomayo, Mungu akikutafsiria, unaweza kupata tafsiri, mafunuo na mafundisho mengi ambayo Si Rahisi kuyajua usingefunuliwa.

Lugha za Mbinguni usikiazo walokole wakinena, ni Siri za Mbinguni, na Ulimwengu wa Roho wa Giza na agent wake ,wachawi wangependa na hutafuta sana kujua tafsiri ya lugha zile watamkazo na wasifahamu.

Tangu Leo ukisoma au ukifungua BIBLIA / Neno la Mungu kulisoma, omba upewe funguo ya kufungua Siri zilizomo na tafsiri zake maana kusoma BIBLIA/ NENO LA MUNGU, Ni kuongea na Mungu ambaye yu sirini, sasa Si Rahisi kumuelewa Yeye aliye ndani ya neno lake Billia.

CODES ZILIZOMO NDANI YA BIBLIA.

Kwa ufupi, Kila unachokihitaji kimo ndani ya BIBLIA, Hata kama huna wazo la Biashara, omba Kisha Fungua BIBLIA soma utakapoongozwa kusoma na utapata mafunuo nini Cha kufanya, Yakobo alitumia njia hiyo na kutajirika sana Kwa mifugo kuongezeka sana.

Ukitaka kufaulu Masomo, soma sana BIBLIA, Mimi Nina ushuhuda, nilikuwa wa kwanza darasani Kwa kusoma zaidi BIBLIA kuliko masomo ya darasani.

Ukitaka kufaulu katika uongozi na siasa, soma kitabu Cha Wafalme, Samuel, Waamuzi nk nk, Utashine kuliko hao wa gizani na hawatokuweza.

Kiufupi Kila kitu kimo ndani ya BIBLIA.

JINSI YA KU UNLOCK CODES ZA BIBLIA.

Tunaona Daniel, Kila alipokutana na codes, Siri alikwenda mbele za Mungu akaomba na akajibiwa na kufunguliwa na kufunuliwa na kupewa tafsiri.

Omba kabla hujasoma BIBLIA, Mwombe MUNGU akupe nguvu, hamu, Ari ya kusoma na kuelewa na kufungua codes za SIRI Ili uwe msaada Kwa wengine.

Mungu awabariki.

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala ifuatayo;

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU.

Aamen. Karibuni 🙏
Ahsante mtumishi.

Mwanzo 40:8 - Kutafsiri ni kazi ya Mungu .
 
Mkuu Rabbon

Kadri watu Wanavyo zidi kujiuliza maswali kujihusu Wao na ulimwengu ,ndio bible inaonekana ni kitabu cha uongo.

Bible imeficha Historia ya binadamu Kwa makusudi , Hata Historia ya yesu Tu 😂 nayo imeficha,haieleweki,

Bible Sio kitabu kilichotoka Kwa Mungu .

RC walimfanyia Galileo ujambazi mpaka kumuua ,
Lakini Leo hii ulaya nzima , wanaadhimisha na kumtambua Galileo kwenye sayansi.
Chombo na kituo cha Anga za mbali cha ulaya kimepewa jina la Galileo.

Ni wapi yesu katumika kwenye mafanikio ya kisayansi , Kwa kuwa yy si Mungu angetakiwa kwenye kila idara atuonyeshe na kutupa Elimu.
 
Salaam, shalom!!

Utakubaliana na Mimi ya kuwa, ni Rahisi sana kuangalia movie masaa SITA bila kuchoka, pia ni Rahisi sana kusoma au kushinda ukichat siku nzima katika mitandao ya Kijamii ila Si Rahisi kusoma chapter angalau mbili tu katika kitabu kiitwacho BIBLIA, Je ungependa kujua nini Hasa ni sababu ya ugumu katika kusoma na kuelewa NENO lililoandikwa ndani ya kitabu hiki? Fuatana nami utajua ..

Kuanzia Leo, Ukipita Sehemu yoyote na ukasikia watu wakiomba na kunena Kwa lugha, mtu asikudanganye kuwa wale wamechanganyikiwa ,uliyechanganyikiwa ni wewe mbumbumbu ni wewe ambaye umefichwa usijue wanachoomba au kunena.

Lugha unayosikia watu wakinena Si lugha ya duniani, ni lugha ya Mbinguni, na lugha hiyo ni Siri, kuifahamu ni Hadi ufunuliwe au usaidiwe.

Najua umezoea kusikia watu wakinena Kwa lugha, lakini pia ujue kuwa lugha hiyo inayonenwa, inaandikika na kusomeka na inaweza kutafsiriwa pia.

BIBLIA yoyote iliyoandikwa na kutafsiriwa Kwa lugha mbalimbali za WANADAMU Bado haijaweza kuwa Rahisi kusomeka kueleweka kirahisi na kuandikika na kutafsiriwa na wanadamu kirahisi sababu kuu ni kuwa, codes ndani ya maandiko haya Bado ni Siri kubwa, neno Moja katika BIBLIA Huwa Ina tafsiri Saba, WANADAMU Kwa kutafuta tafuta na kuomba na kufunuliwa, wanaweza kufungua codes Moja Hadi nne pekee, zilizopaki ni za Mungu, ndio maana unaweza kusoma na ukarudia kusoma BIBLIA mara kumi lakini bado Kila ukirudi kusoma UPYA uTAENDELEA kupata vitu vipya tena na tena,kusoma BIBLIA Kwa akili Yako, jaribu usome kifungu chochote Kisha jaribu kuelewa Kwa akili Yako na kujaaribu kuitafsiri na kufafanua, utajikuta unaripuka na uelewa ambao Kila mtu karibu Yako atabaki kukushangaa, sababu kuu ni kuwa unajaribu kufungua mlango au seal bila Kodes au funguo zilizo juu kuliko ufahamu wako, hutofanikiwa zaidi ya kupotosha.

(Daniel 1: 1-31).

Palikuwa na msomi mmoja, aliyekuwa mfalme wa Babeli aliyeitwa Belshazzar, aliyeelimika Kwa kusoma Elimu uliyokuwa Bora ya wakaldayo na alikuwa na Elimu na Maarifa makubwa sana, na wasaidizi wake pia walimzunguka wenye hekima, Elimu na Maarifa ya Kila namna, na hiyo haikutosha, alizungukwa pia na wasoma nyota waliokuwa na ushirika na Roho na Ulimwengu wa Giza ambao waliweza kupata Maarifa ya kiroho yalioufaa ufalme wake katika kutafuta suluhu ya changamoto zilizoukumba ufalme wake. Hawa wote hawakuweza kusoma na kuelewa tafsiri ya neno la Siri lililoandikwa ukutani, sababu kuu ya kushindwa kufungua codes ni uchafu, dhambi, machukizo waliyonayo, Si Rahisi mzinzi, mlevi ,muazaji mtenda dhambi , mchawi nk nk asome BIBLIA na aielewe, hiyo ni impossible 🤔

Siku Moja Mfalme akayatimba, kachukua vyombo vitakatifu ambavyo vilikaa special hekaluni, Yeye akaitisha party na kuamua kuvitumia vyombo hivyo special katika kuvinywea pombe na wake zake na makahaba wake na Waganga na wachawi Ili kuifurahisha miungu yake, alivichukua Kweli na kuvitumia katika uchafu huo, kilitokea kitu Cha kushangaza kilichokata pombe yote kichwani na kumwacha kinywa wazi!!!

Kilitokea kitanga/ kiganja kilichoandika maneno ukutani na yalisomeka kama ifuatavyo;

MENE MENE TEKEL NA PERESI.

Mfalme alijaribu kusoma na asiekewe maana ya maneno Yale machache na akawaita wasomi na Waganga na wenye hekima wa wakaldayo na hakuna aliyeweza kufungua codes / Siri zile.

Ndipo alipoitwa Daniel na akawezeshwa na Roho mtakatifu kufasiri Siri zile kama ifuatavyo.

MENE MENE TEKEL NA PERESI

1. MENE.

Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.

2. TEKEL.

Umepimwa katika mizani, nawe umeonekana kupunguza.

3.PERESI.

Ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wanedi na Waajemi.

Utaona neno Moja tu "PERESI" Lakini yametokea maneno mengi katika tafsiri ya neno Hilo.

Utaona neno Moja " MENE" tafsiri yake neno Hilo Moja yametokea maneno mengi sana ambayo Kwa nje usingejua neno Moja limenenwa kumbe limemaanisha maneno mengi ambayo ya aweza kujaza kitabu kizima.

Ndivyo ilivyo katika kusoma BIBLIA, neno au sentesi Moja usomayo, Mungu akikutafsiria, unaweza kupata tafsiri, mafunuo na mafundisho mengi ambayo Si Rahisi kuyajua usingefunuliwa.

Lugha za Mbinguni usikiazo walokole wakinena, ni Siri za Mbinguni, na Ulimwengu wa Roho wa Giza na agent wake ,wachawi wangependa na hutafuta sana kujua tafsiri ya lugha zile watamkazo na wasifahamu.

Tangu Leo ukisoma au ukifungua BIBLIA / Neno la Mungu kulisoma, omba upewe funguo ya kufungua Siri zilizomo na tafsiri zake maana kusoma BIBLIA/ NENO LA MUNGU, Ni kuongea na Mungu ambaye yu sirini, sasa Si Rahisi kumuelewa Yeye aliye ndani ya neno lake Billia.

CODES ZILIZOMO NDANI YA BIBLIA.

Kwa ufupi, Kila unachokihitaji kimo ndani ya BIBLIA, Hata kama huna wazo la Biashara, omba Kisha Fungua BIBLIA soma utakapoongozwa kusoma na utapata mafunuo nini Cha kufanya, Yakobo alitumia njia hiyo na kutajirika sana Kwa mifugo kuongezeka sana.

Ukitaka kufaulu Masomo, soma sana BIBLIA, Mimi Nina ushuhuda, nilikuwa wa kwanza darasani Kwa kusoma zaidi BIBLIA kuliko masomo ya darasani.

Ukitaka kufaulu katika uongozi na siasa, soma kitabu Cha Wafalme, Samuel, Waamuzi nk nk, Utashine kuliko hao wa gizani na hawatokuweza.

Kiufupi Kila kitu kimo ndani ya BIBLIA.

JINSI YA KU UNLOCK CODES ZA BIBLIA.

Tunaona Daniel, Kila alipokutana na codes, Siri alikwenda mbele za Mungu akaomba na akajibiwa na kufunguliwa na kufunuliwa na kupewa tafsiri.

Omba kabla hujasoma BIBLIA, Mwombe MUNGU akupe nguvu, hamu, Ari ya kusoma na kuelewa na kufungua codes za SIRI Ili uwe msaada Kwa wengine.

Mungu awabariki.

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala ifuatayo;

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU.

Aamen. Karibuni 🙏
RIPAKASI
 
Unazidi kuukalia!
Kuonyesha unaamini haya maupupu maana yake wewe mbulula
Bado akili imejaa tope, huna uwezo wa kujitambua mpaka unaendeshwa na vitu vya kusadikika
Hahaha una ushahidi ya kwamba hivi ni vitu vya kusadikika?
Au na wewe unaingia kundi hilo hilo la mambulula maana kama unajua kuna vitu vya kusadikika umejuaje kusadikika kuna exist?
Toka nje ya box!
 
ila ,dah!kwa hiyo lugha ya kunena hafundishwi mtu?huwa inakuja tu automatic?..sio wanapandisha mapepo halfu wanaongea maneno yasiyoeleweka halfu mnasema roho mtakatifu ameshuka...Mimi akili yangu haujaona ukweli wa hili natamani mtu aniaminishe kwa uwazi kuwa sio mapepo bali roho mtakatifu?na roho mtakatifu kwa nini isiongee lugha ambayo wote tutaelewa anasema nini?mpaka aongee maneno yasiyoeleweka ili iweje sasa?ROHO MTAKATIFU ANACHAGUA LUGHA YA KUZUNGUMZA NA WACHACHE NDIO WAELEWE??MASWALI NI MENGI SANA
 
Back
Top Bottom