kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Ukiwa Roho mtakatifu atakuonyesha kile pekee Mungu anachoruhusu wewe ukijue na ni kwasababu maalumu. Kila mtu anapewa uwezo flan ili kwa nafasi hiyo umfae mwingine mwenye uwezo mwingine. Huwez kupewa vyote kwa wakat mmoja.Ni Kweli, HEKIMA za Mungu hazichunguziki,
Pia Mungu ametutaka tumtafute na kumjua Kwa bidii Kwa kusoma neno na kulitafakari mchana na usiku.
Asemapo hachunguziki, amaanisha kumchunguza na kumtafuta Kwa kutumia akili za kibinadamu bila kuomba kufundishwa na Yeye mwenyewe kupitia Roho mtakatifu.
Ubarikiwe 🙏