Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
(Zaburi 53:2-3)Sio kwamba kuna code zimefichwa, ila inahitaji utulivu na umakini ili kuelewa vyema, Hakuna sababu ya Mungu kuficha ujumbe wake kwa watu wake
We mburura kweli kwahiyo andiko hilo ndio linasema Yesu ndio Mungu?Yohana 1:1
Hapo mwanzo, kabla ya kuwapo kitu kingine chochote, alikuwapo Neno.
Huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye alikuwa Mungu
Yohana 1:14
Neno akawa mwanadamu akaishi kati yetu akiwa amejaa utukufu na kweli. Tuliona utukufu wake, utukufu wa Mwana pekee wa Baba.
Yesu ndiye Mungu kutokana na bible
Usitumie hiyo Elimu ya la Saba A kujaribu kufungua codes za Billia, hutoweza zaidi ya kupuyanga. Hata Elimu ya PHD Bado ni ndogo mno kutumika kuzijua Siri ndani ya maandiko.We mburura kweli kwahiyo andiko hilo ndio linasema Yesu ndio Mungu?
Neno Ili lipatikane lazima awepo aliyelitamka hilo NENO ambaye ndio Mungu muumba wa Kila kitu
Ukisema Yesu ametokana na neno la Mungu ni sawa maana Mungu ameumba vitu vyote Kwa kutumia neno lake
Ukisema labda mimba Yesu imepatikana Kwa neno la Mungu basi tambua kuwa hata mimba ya Isaka ilipatikana pasipo kushiriki tendo la ndoa kati Ibrahim na Sara Mungu tu alisema Sara akapata mimba
Nyinyi wagalatia sijui mnakwama wapi
Ukishapata pesa iweje? umeshawah waza, ukiwa na pesa nyingi ndo itakuwaje? utashangaa unawaza uovu tu, uwe na pesa ili uwe na uwezo wa kulala na kila mwanamke unayemtakaWewe fungua code watanzania wenzako masikini kama wewe mpate hela, acha longolongo
Ndio nyinyi baadae mnaanzisha makanisa halafu mnawakamua haohao masikini wenzenu
cc mwamposa, najua yupo humo
Uzitumie hiyo Elimu ya la Saba A kujaribu kufungua codes za Billia, hutoweza zaidi ya kupuyanga. Hata Elimu ya PHD Bado ni ndogo mno kutumika kuzijua Siri ndani ya maandiko.
Isaka alipatikana Kwa njia ya kawaida ya mume na mke Si vinginevyo, maandiko Yako wazi kabisa.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake, Amen
Kwa nini unamzingumzia Kilanga, je, wewe huwa unaona nini?Kiranga akisoma Bible huwa anaona contradictions tupu.
Bwana Yesu asifiwe Braza Kiranga.
Asante nakubaliana na karibia vyote ulivyosema ila kunena kwa lugha na lazima kuwe na mtafsiri, sasa walokole wamefanya fasheni kila mtu anajinenea maneno ambayo hakuna anayeweza kutafsiriSalaam, shalom!!
Utakubaliana na Mimi ya kuwa, ni Rahisi sana kuangalia movie masaa SITA bila kuchoka, pia ni Rahisi sana kusoma au kushinda ukichat siku nzima katika mitandao ya Kijamii ila Si Rahisi kusoma chapter angalau mbili tu katika kitabu kiitwacho BIBLIA, Je ungependa kujua nini Hasa ni sababu ya ugumu katika kusoma na kuelewa NENO lililoandikwa ndani ya kitabu hiki? Fuatana nami utajua ..
Kuanzia Leo, Ukipita Sehemu yoyote na ukasikia watu wakiomba na kunena Kwa lugha, mtu asikudanganye kuwa wale wamechanganyikiwa ,uliyechanganyikiwa ni wewe mbumbumbu ni wewe ambaye umefichwa usijue wanachoomba au kunena.
Lugha unayosikia watu wakinena Si lugha ya duniani, ni lugha ya Mbinguni, na lugha hiyo ni Siri, kuifahamu ni Hadi ufunuliwe au usaidiwe.
Najua umezoea kusikia watu wakinena Kwa lugha, lakini pia ujue kuwa lugha hiyo inayonenwa, inaandikika na kusomeka na inaweza kutafsiriwa pia.
BIBLIA yoyote iliyoandikwa na kutafsiriwa Kwa lugha mbalimbali za WANADAMU Bado haijaweza kuwa Rahisi kusomeka kueleweka kirahisi na kuandikika na kutafsiriwa na wanadamu kirahisi sababu kuu ni kuwa, codes ndani ya maandiko haya Bado ni Siri kubwa, neno Moja katika BIBLIA Huwa Ina tafsiri Saba, WANADAMU Kwa kutafuta tafuta na kuomba na kufunuliwa, wanaweza kufungua codes Moja Hadi nne pekee, zilizopaki ni za Mungu, ndio maana unaweza kusoma na ukarudia kusoma BIBLIA mara kumi lakini bado Kila ukirudi kusoma UPYA uTAENDELEA kupata vitu vipya tena na tena,kusoma BIBLIA Kwa akili Yako, jaribu usome kifungu chochote Kisha jaribu kuelewa Kwa akili Yako na kujaaribu kuitafsiri na kufafanua, utajikuta unaripuka na uelewa ambao Kila mtu karibu Yako atabaki kukushangaa, sababu kuu ni kuwa unajaribu kufungua mlango au seal bila Kodes au funguo zilizo juu kuliko ufahamu wako, hutofanikiwa zaidi ya kupotosha.
(Daniel 1: 1-31).
Palikuwa na msomi mmoja, aliyekuwa mfalme wa Babeli aliyeitwa Belshazzar, aliyeelimika Kwa kusoma Elimu uliyokuwa Bora ya wakaldayo na alikuwa na Elimu na Maarifa makubwa sana, na wasaidizi wake pia walimzunguka wenye hekima, Elimu na Maarifa ya Kila namna, na hiyo haikutosha, alizungukwa pia na wasoma nyota waliokuwa na ushirika na Roho na Ulimwengu wa Giza ambao waliweza kupata Maarifa ya kiroho yalioufaa ufalme wake katika kutafuta suluhu ya changamoto zilizoukumba ufalme wake. Hawa wote hawakuweza kusoma na kuelewa tafsiri ya neno la Siri lililoandikwa ukutani, sababu kuu ya kushindwa kufungua codes ni uchafu, dhambi, machukizo waliyonayo, Si Rahisi mzinzi, mlevi ,muazaji mtenda dhambi , mchawi nk nk asome BIBLIA na aielewe, hiyo ni impossible 🤔
Siku Moja Mfalme akayatimba, kachukua vyombo vitakatifu ambavyo vilikaa special hekaluni, Yeye akaitisha party na kuamua kuvitumia vyombo hivyo special katika kuvinywea pombe na wake zake na makahaba wake na Waganga na wachawi Ili kuifurahisha miungu yake, alivichukua Kweli na kuvitumia katika uchafu huo, kilitokea kitu Cha kushangaza kilichokata pombe yote kichwani na kumwacha kinywa wazi!!!
Kilitokea kitanga/ kiganja kilichoandika maneno ukutani na yalisomeka kama ifuatavyo;
MENE MENE TEKEL NA PERESI.
Mfalme alijaribu kusoma na asiekewe maana ya maneno Yale machache na akawaita wasomi na Waganga na wenye hekima wa wakaldayo na hakuna aliyeweza kufungua codes / Siri zile.
Ndipo alipoitwa Daniel na akawezeshwa na Roho mtakatifu kufasiri Siri zile kama ifuatavyo.
MENE MENE TEKEL NA PERESI
1. MENE.
Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
2. TEKEL.
Umepimwa katika mizani, nawe umeonekana kupunguza.
3.PERESI.
Ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wanedi na Waajemi.
Utaona neno Moja tu "PERESI" Lakini yametokea maneno mengi katika tafsiri ya neno Hilo.
Utaona neno Moja " MENE" tafsiri yake neno Hilo Moja yametokea maneno mengi sana ambayo Kwa nje usingejua neno Moja limenenwa kumbe limemaanisha maneno mengi ambayo ya aweza kujaza kitabu kizima.
Ndivyo ilivyo katika kusoma BIBLIA, neno au sentesi Moja usomayo, Mungu akikutafsiria, unaweza kupata tafsiri, mafunuo na mafundisho mengi ambayo Si Rahisi kuyajua usingefunuliwa.
Lugha za Mbinguni usikiazo walokole wakinena, ni Siri za Mbinguni, na Ulimwengu wa Roho wa Giza na agent wake ,wachawi wangependa na hutafuta sana kujua tafsiri ya lugha zile watamkazo na wasifahamu.
Tangu Leo ukisoma au ukifungua BIBLIA / Neno la Mungu kulisoma, omba upewe funguo ya kufungua Siri zilizomo na tafsiri zake maana kusoma BIBLIA/ NENO LA MUNGU, Ni kuongea na Mungu ambaye yu sirini, sasa Si Rahisi kumuelewa Yeye aliye ndani ya neno lake Billia.
CODES ZILIZOMO NDANI YA BIBLIA.
Kwa ufupi, Kila unachokihitaji kimo ndani ya BIBLIA, Hata kama huna wazo la Biashara, omba Kisha Fungua BIBLIA soma utakapoongozwa kusoma na utapata mafunuo nini Cha kufanya,
1. Mali na Mbinu za kutajirika kiuchumi zimo ndani ya BIBLIA Yakobo alitumia njia hiyo na kutajirika sana Kwa mifugo kuongezeka sana.
2. Ukitaka kufaulu Masomo, soma sana BIBLIA, Mimi Nina ushuhuda, nilikuwa wa kwanza darasani Kwa kusoma zaidi BIBLIA kuliko masomo ya darasani.
3. Ukitaka kufaulu katika uongozi na siasa, soma kitabu Cha Wafalme, Samuel, Waamuzi nk nk, Utashine kuliko hao wa gizani na hawatokuweza.
Kiufupi Kila kitu kimo ndani ya BIBLIA.
JINSI YA KU UNLOCK CODES ZA BIBLIA.
Tunaona Daniel, Kila alipokutana na codes, Siri alikwenda mbele za Mungu akaomba na akajibiwa na kufunguliwa na kufunuliwa na kupewa tafsiri.
Omba kabla hujasoma BIBLIA, Mwombe MUNGU akupe nguvu, hamu, Ari ya kusoma na kuelewa na kufungua codes za SIRI Ili uwe msaada Kwa wengine.
Mungu awabariki.
Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala ifuatayo;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU.
Aamen. Karibuni 🙏
ShalomSalaam, shalom!!

Mimi ninachojua huwez kumjua Mungu zaid vile yeye amekupangia kumjua. Hata katika levels za manabii mitume nk kila mtu anamjua Mungu katika ile level ya Mungu aliyoruhusu wewe umjue. Ndio maana unasikia Mungu wa Eliya nk. So maandiko yametoa mwanga kwamba tafuteni mtapata bisheni mtafunguliwa na ombeni mtapata. Kila kitu kiko juu yako kanuni yoyote unayotumia hapo juu kwa kudhamiria utafanikisha hitaji lako. Lakini pia Mungu anasema anitafutae kwa bidii ataniona hii inamaana chochote unachotaka ukiweka bidii utafanikiwa iwe ni mbingu pesa au chochote ni wewe tu udhamirie kukata sharing. Halafu la msingi kujua ni kuwa huyu Mwenyezi Mungu tunaemzungumzia tunamjua kwa asilimia ndogo sana tena sana mno. Tumepewa tu siri kidogo kuhusu Mungu na mbingu yake lakin ukweli ni kama hatumjui kabisa tunamjua kidogo sana. Ndio maana tumekariri watu wanaoweza kutufundisha kumhusu Mungu ni viongoz wa dini. Ukweli ni kwamba hekima ya Mungu haichunguziki anaweza kumtumia hata malaya kukuletea habar njema ya ufalme so kikubwa biblia inatuambia tuwe tayar muda wote tusali na kufunga na kuwasaidia wengine wasio na msaada. Kumbuka nimekuambia kanuni ni tatu tu. Tafuten mtapataSalaam, shalom!!
Utakubaliana na Mimi ya kuwa, ni Rahisi sana kuangalia movie masaa SITA bila kuchoka, pia ni Rahisi sana kusoma au kushinda ukichat siku nzima katika mitandao ya Kijamii ila Si Rahisi kusoma chapter angalau mbili tu katika kitabu kiitwacho BIBLIA, Je ungependa kujua nini Hasa ni sababu ya ugumu katika kusoma na kuelewa NENO lililoandikwa ndani ya kitabu hiki? Fuatana nami utajua ..
Kuanzia Leo, Ukipita Sehemu yoyote na ukasikia watu wakiomba na kunena Kwa lugha, mtu asikudanganye kuwa wale wamechanganyikiwa ,uliyechanganyikiwa ni wewe mbumbumbu ni wewe ambaye umefichwa usijue wanachoomba au kunena.
Lugha unayosikia watu wakinena Si lugha ya duniani, ni lugha ya Mbinguni, na lugha hiyo ni Siri, kuifahamu ni Hadi ufunuliwe au usaidiwe.
Najua umezoea kusikia watu wakinena Kwa lugha, lakini pia ujue kuwa lugha hiyo inayonenwa, inaandikika na kusomeka na inaweza kutafsiriwa pia.
BIBLIA yoyote iliyoandikwa na kutafsiriwa Kwa lugha mbalimbali za WANADAMU Bado haijaweza kuwa Rahisi kusomeka kueleweka kirahisi na kuandikika na kutafsiriwa na wanadamu kirahisi sababu kuu ni kuwa, codes ndani ya maandiko haya Bado ni Siri kubwa, neno Moja katika BIBLIA Huwa Ina tafsiri Saba, WANADAMU Kwa kutafuta tafuta na kuomba na kufunuliwa, wanaweza kufungua codes Moja Hadi nne pekee, zilizopaki ni za Mungu, ndio maana unaweza kusoma na ukarudia kusoma BIBLIA mara kumi lakini bado Kila ukirudi kusoma UPYA uTAENDELEA kupata vitu vipya tena na tena,kusoma BIBLIA Kwa akili Yako, jaribu usome kifungu chochote Kisha jaribu kuelewa Kwa akili Yako na kujaaribu kuitafsiri na kufafanua, utajikuta unaripuka na uelewa ambao Kila mtu karibu Yako atabaki kukushangaa, sababu kuu ni kuwa unajaribu kufungua mlango au seal bila Kodes au funguo zilizo juu kuliko ufahamu wako, hutofanikiwa zaidi ya kupotosha.
(Daniel 1: 1-31).
Palikuwa na msomi mmoja, aliyekuwa mfalme wa Babeli aliyeitwa Belshazzar, aliyeelimika Kwa kusoma Elimu uliyokuwa Bora ya wakaldayo na alikuwa na Elimu na Maarifa makubwa sana, na wasaidizi wake pia walimzunguka wenye hekima, Elimu na Maarifa ya Kila namna, na hiyo haikutosha, alizungukwa pia na wasoma nyota waliokuwa na ushirika na Roho na Ulimwengu wa Giza ambao waliweza kupata Maarifa ya kiroho yalioufaa ufalme wake katika kutafuta suluhu ya changamoto zilizoukumba ufalme wake. Hawa wote hawakuweza kusoma na kuelewa tafsiri ya neno la Siri lililoandikwa ukutani, sababu kuu ya kushindwa kufungua codes ni uchafu, dhambi, machukizo waliyonayo, Si Rahisi mzinzi, mlevi ,muazaji mtenda dhambi , mchawi nk nk asome BIBLIA na aielewe, hiyo ni impossible 🤔
Siku Moja Mfalme akayatimba, kachukua vyombo vitakatifu ambavyo vilikaa special hekaluni, Yeye akaitisha party na kuamua kuvitumia vyombo hivyo special katika kuvinywea pombe na wake zake na makahaba wake na Waganga na wachawi Ili kuifurahisha miungu yake, alivichukua Kweli na kuvitumia katika uchafu huo, kilitokea kitu Cha kushangaza kilichokata pombe yote kichwani na kumwacha kinywa wazi!!!
Kilitokea kitanga/ kiganja kilichoandika maneno ukutani na yalisomeka kama ifuatavyo;
MENE MENE TEKEL NA PERESI.
Mfalme alijaribu kusoma na asiekewe maana ya maneno Yale machache na akawaita wasomi na Waganga na wenye hekima wa wakaldayo na hakuna aliyeweza kufungua codes / Siri zile.
Ndipo alipoitwa Daniel na akawezeshwa na Roho mtakatifu kufasiri Siri zile kama ifuatavyo.
MENE MENE TEKEL NA PERESI
1. MENE.
Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
2. TEKEL.
Umepimwa katika mizani, nawe umeonekana kupunguza.
3.PERESI.
Ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wanedi na Waajemi.
Utaona neno Moja tu "PERESI" Lakini yametokea maneno mengi katika tafsiri ya neno Hilo.
Utaona neno Moja " MENE" tafsiri yake neno Hilo Moja yametokea maneno mengi sana ambayo Kwa nje usingejua neno Moja limenenwa kumbe limemaanisha maneno mengi ambayo ya aweza kujaza kitabu kizima.
Ndivyo ilivyo katika kusoma BIBLIA, neno au sentesi Moja usomayo, Mungu akikutafsiria, unaweza kupata tafsiri, mafunuo na mafundisho mengi ambayo Si Rahisi kuyajua usingefunuliwa.
Lugha za Mbinguni usikiazo walokole wakinena, ni Siri za Mbinguni, na Ulimwengu wa Roho wa Giza na agent wake ,wachawi wangependa na hutafuta sana kujua tafsiri ya lugha zile watamkazo na wasifahamu.
Tangu Leo ukisoma au ukifungua BIBLIA / Neno la Mungu kulisoma, omba upewe funguo ya kufungua Siri zilizomo na tafsiri zake maana kusoma BIBLIA/ NENO LA MUNGU, Ni kuongea na Mungu ambaye yu sirini, sasa Si Rahisi kumuelewa Yeye aliye ndani ya neno lake Billia.
CODES ZILIZOMO NDANI YA BIBLIA.
Kwa ufupi, Kila unachokihitaji kimo ndani ya BIBLIA, Hata kama huna wazo la Biashara, omba Kisha Fungua BIBLIA soma utakapoongozwa kusoma na utapata mafunuo nini Cha kufanya,
1. Mali na Mbinu za kutajirika kiuchumi zimo ndani ya BIBLIA Yakobo alitumia njia hiyo na kutajirika sana Kwa mifugo kuongezeka sana.
2. Ukitaka kufaulu Masomo, soma sana BIBLIA, Mimi Nina ushuhuda, nilikuwa wa kwanza darasani Kwa kusoma zaidi BIBLIA kuliko masomo ya darasani.
3. Ukitaka kufaulu katika uongozi na siasa, soma kitabu Cha Wafalme, Samuel, Waamuzi nk nk, Utashine kuliko hao wa gizani na hawatokuweza.
Kiufupi Kila kitu kimo ndani ya BIBLIA.
JINSI YA KU UNLOCK CODES ZA BIBLIA.
Tunaona Daniel, Kila alipokutana na codes, Siri alikwenda mbele za Mungu akaomba na akajibiwa na kufunguliwa na kufunuliwa na kupewa tafsiri.
Omba kabla hujasoma BIBLIA, Mwombe MUNGU akupe nguvu, hamu, Ari ya kusoma na kuelewa na kufungua codes za SIRI Ili uwe msaada Kwa wengine.
Mungu awabariki.
Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala ifuatayo;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU.
Aamen. Karibuni 🙏
Mungu ni Neno+Mungu ni roho= Neno ni Roho ...huwezi kuelewa vya rohoni kama haupo kiroho, bila uwezesho wa Roho Mtakatifu Biblia nikama kitabu cha stor tuSalaam, shalom!!

(Mwanzo 15:4).Wagalatia 4:21
Niambieni, ninyi mnaotaka kuwa chini ya sheria, je! Hamwisikii sheria?
Wagalatia 4:22
Kwa maana imeandikwa ya kuwa, Ibrahimu alikuwa na wana wawili mmoja kwa mjakazi, na mmoja kwa mwungwana.
Wagalatia 4:23
Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwungwana kwa ahadi.
Hata huyo Paulo aliyekuletea dini ya ukristo anajua kuwa Isaka amepatika Kwa neno la Mungu na Wala sio Kwa tendo la ndoa tena hayo Maneno Paulo amenukuu katika Taurati
Sasa yawezekana wewe unajua zaidi kuliko Paulo aliyekuletea dini ya ukristo
Weka hilo andiko hapa linalosema Isaka amepatikana Kwa tendo la ndoa kati ya Ibrahim na Sara
Ili tuone kuwa mmepotea Kwa sababu bibilia Ina code au mmepotea Kwa ujinga wenu wenyewe
(Waebrania 11:11).Wagalatia 4:21

Hata Yesu Hana baba wa mwili Wala mama. Alijiumba ndani ya tumbo la Mariamu akawa kama mwanadamu.Ikiwa Yesu ni Mungu. Je? Nabii Adam au( Adamu) atakuwa nani?Wakati ndio kiumbe cha mwanzo kuja duniani na Hawa. Yesu Alikuwa wapi.?Mwenyezi Mungu wetu sisi Waislamu hakuzaa wala hakuzaliwa yupo hayi wala hafi (ALLAH)
Ni Kweli, HEKIMA za Mungu hazichunguziki,Mimi ninachojua huwez kumjua Mungu zaid vile yeye amekupangia kumjua. Hata katika levels za manabii mitume nk kila mtu anamjua Mungu katika ile level ya Mungu aliyoruhusu wewe umjue. Ndio maana unasikia Mungu wa Eliya nk. So maandiko yametoa mwanga kwamba tafuteni mtapata bisheni mtafunguliwa na ombeni mtapata. Kila kitu kiko juu yako kanuni yoyote unayotumia hapo juu kwa kudhamiria utafanikisha hitaji lako. Lakini pia Mungu anasema anitafutae kwa bidii ataniona hii inamaana chochote unachotaka ukiweka bidii utafanikiwa iwe ni mbingu pesa au chochote ni wewe tu udhamirie kukata sharing. Halafu la msingi kujua ni kuwa huyu Mwenyezi Mungu tunaemzungumzia tunamjua kwa asilimia ndogo sana tena sana mno. Tumepewa tu siri kidogo kuhusu Mungu na mbingu yake lakin ukweli ni kama hatumjui kabisa tunamjua kidogo sana. Ndio maana tumekariri watu wanaoweza kutufundisha kumhusu Mungu ni viongoz wa dini. Ukweli ni kwamba hekima ya Mungu haichunguziki anaweza kumtumia hata malaya kukuletea habar njema ya ufalme so kikubwa biblia inatuambia tuwe tayar muda wote tusali na kufunga na kuwasaidia wengine wasio na msaada. Kumbuka nimekuambia kanuni ni tatu tu. Tafuten mtapata
Bisheni mtafunguliwa
Na ombeni mtapewa. Hii kanuni ni kwa binadamu yeyote. Unaweza kujiuliza hiv wale wenye uhai wanne walioketi na Mungu kwenye kiti cha enzi ni akina nani maana hatujaambiwa ni malaika wala binadamu. So ukijiuliza hili swali ndio utajua Mungu tunaemzungumzia ni zaid ya tumjuavyo. Kuna viumbe wengi tu na kama vile Yesu alivyotuambia kwa Baba yake kuna makao mengi ingekuwa sivyo angetujulisha so tukazane kuombe na kujichunga na dunia pasipo mawaa. Ni suala la kufa na kupona.
Takasa mwili wako kwanza,Nipe code za utajir wavuv campu wanikome
Kwako ni Rahisi kumuamini mganga anapoongea na Mizimu Kwa lugha ya kipepo au Mizimu,ila ,dah!kwa hiyo lugha ya kunena hafundishwi mtu?huwa inakuja tu automatic?..sio wanapandisha mapepo halfu wanaongea maneno yasiyoeleweka halfu mnasema roho mtakatifu ameshuka...Mimi akili yangu haujaona ukweli wa hili natamani mtu aniaminishe kwa uwazi kuwa sio mapepo bali roho mtakatifu?na roho mtakatifu kwa nini isiongee lugha ambayo wote tutaelewa anasema nini?mpaka aongee maneno yasiyoeleweka ili iweje sasa?ROHO MTAKATIFU ANACHAGUA LUGHA YA KUZUNGUMZA NA WACHACHE NDIO WAELEWE??MASWALI NI MENGI SANA