Ukiwa Roho mtakatifu atakuonyesha kile pekee Mungu anachoruhusu wewe ukijue na ni kwasababu maalumu. Kila mtu anapewa uwezo flan ili kwa nafasi hiyo umfae mwingine mwenye uwezo mwingine. Huwez kupewa vyote kwa wakat mmoja.Ni Kweli, HEKIMA za Mungu hazichunguziki,
Pia Mungu ametutaka tumtafute na kumjua Kwa bidii Kwa kusoma neno na kulitafakari mchana na usiku.
Asemapo hachunguziki, amaanisha kumchunguza na kumtafuta Kwa kutumia akili za kibinadamu bila kuomba kufundishwa na Yeye mwenyewe kupitia Roho mtakatifu.
Ubarikiwe 🙏
Ni Kweli,Ukiwa Roho mtakatifu atakuonyesha kile pekee Mungu anachoruhusu wewe ukijue na ni kwasababu maalumu. Kila mtu anapewa uwezo flan ili kwa nafasi hiyo umfae mwingine mwenye uwezo mwingine. Huwez kupewa vyote kwa wakat mmoja.
Zimefichwa Ili ukisoma bila msaada wake ,usome lakini usielewe.Sio biblia tu inayoleta mkanganyiko au isiyoeleweka kwa watu wote
Mahesabu pia yanahitaji mtu mwenye uelewa kuyaelewa na kuwafundisha wengine waelewe na bado sio wote wanaozielewa hesabu
Vitu makini vyote vinawekwa kwa codes ili wajanja wanyanyue maarifa
Soma bible usipoelewa sehemu omba usaidizi wa roho mtakatifu au wa watumishi wa kweli wa bwana
Ili iwejeNipen andiko ukristo n dini?yesu mungu?alaf nipen logic ya neno mungu na yesu.
HakikaMUNGU kubariki mtumishi .umetumika kufungua fahamu zetu
Una lengo la kumfikirisha au kumtoa alipo.Naona nisikukabe sana hapo, huna jibu la maandiko, unaanza porojo zako binafsi. Maswali yangu yamelenga kukufikirisha vizuri, majibu unayoyapata ukijifikiria si lazima uyaweke wazi.
Yesu alitumwa na nani?