bohemian
Senior Member
- Feb 20, 2017
- 103
- 86
Kwenye kwapa kila mtu anayo, lakini mapajani na ktk makalio hatunaNa wanaume wanayo pia. Haswa sehemu za kwenye makwapa. Mngetuambia na nyie inatokana na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye kwapa kila mtu anayo, lakini mapajani na ktk makalio hatunaNa wanaume wanayo pia. Haswa sehemu za kwenye makwapa. Mngetuambia na nyie inatokana na nini?
Mi naita michirizi ya UTAMU ,hasa ikiwa nyuma ya goti
Hivi michirizi ktk mapaja ya wadada wengi husababishwa na nini? Ni suruali za kubana au sababu ni wengi wanayo japo si wote!
Mbona hata ambao hawana mimba wanaipata. Ila mi huwa naipenda ile natural ambayo si ya chemical. Imasemekana hizo ni hormones. Inasemekana wenye nayo wamejaliwa maji mengi.kwa Kiingilishi inaitwa 'stretch marks', kama jina linavyojieleza inasababishwa na ngozi kutanuka kwa mimba au unene.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Wanaume wa mikoani tupo juu tumemtuma kijana wetu mdogo tu kwa,jina bashite,anawasumbua wala urojoUnamaanisha wa kolomije au
Ni dalili kuwa mhusika atanenepa ngozi inafanya maandaliziMbona hata ambao hawana mimba wanaipata. Ila mi huwa naipenda ile natural ambayo si ya chemical. Imasemekana hizo ni hormones. Inasemekana wenye nayo wamejaliwa maji mengi.
VizuriNilipokua mkubwa nilipata michirizi mapajani (nyuma ya miguu) na kwenye sehemu za kiuno, ile ya mapajani ikawa inaonekana nikivaa sketi fupi sikuwa comfortable na ile hali nikaanza vaa sketi ndefu hadi sasa..... Napenda kuangalia miguu yangu hasa huku nyuma kwenye michirizi ingawa naona inapungua.
Duh ila si urembo.Michirizi ndo utamu wenyewe mama.
Kweli lakin kina dada wengi hawaipendi...tembelea maduka ya vipodozi kama uko dar nenda pale HS HARMONY wako pale aggrey street kkoo.Duh ila si urembo.