Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Kweli lakin kina dada wengi hawaipendi...tembelea maduka ya vipodozi kama uko dar nenda pale HS HARMONY wako pale aggrey street kkoo.
Kwenda tu dukan or hs hrmy sio idea nzur kwanza coz huko madukan watu wapo kibiashar so utapewa vitu ving upake ambavyo vnawez kuwa unhelpful so ushaur na ushuhuda wa warembo wengine kwanza ndo idea nzur afu dukan badae.
 
Weng ambao ni muscular hawanaga especially wanaume ila kwa wasichana ndo sana.
Wanaume wengi pia wanayo kama wanawake..Sema waawake wengi wanaexpose maungo yao kutokana na mavazi wanayovaa..So ni rahisi zaidi kuiona kwa mwanamke kuliko mwanaume
 
Kwenda tu dukan or hs hrmy sio idea nzur kwanza coz huko madukan watu wapo kibiashar so utapewa vitu ving upake ambavyo vnawez kuwa unhelpful so ushaur na ushuhuda wa warembo wengine kwanza ndo idea nzur afu dukan badae.
Hivi kuna mtu ni mwembamba afu anayo hii michirizi ya utamu?
 
Yah wapo ila wachache,coz hata ukikonda inakujaga so wengine uipata wakiwa wembamba tu but siyo wengi.

Kuna vile vyembamba nyuma ya goti ni asili hatabukiwa mwembamba vipo tu na maeneo ya makalio ndo vinajichora huko ila vidogo vidogo vyembamba
 
Umeanza na habari warembo, wengine tupo ni wanaume, michirizi ni afya mbovu tu, unene huo.
Fanya mazoezi kila siku, burn calories hizo itaondoka yenyewe tu, haya madawa unadanganywa, weka diet nzuri, fanya mazoezi kujenga mwili mwembamba. Huwezi kua kibonge usiwe na michirizi hata kwa dawa.

Nilikua nayo tumboni na kwenye mapaja wakati nakula ovyo nikawa kabonge kadogo, siku hizi mazoezi michirizi yote ilipotea, mwili safi, unajisikia fit wakati wote, hadi nguo zote zinakaa penyewe. Tafuta gym iliyopo karibu na wewe, fanya investment kwenye mwili wako.
 
Toka tumeanza kuyala haya makuku yasiyo na baba wala mama ni shida tupu kwani mpaka wnaume wanapasuka mapaja makalio vifua vina maziwa makubwa tu naona mungu ameanza kututia adabu kidogokidogo maana tunakula vitu ambavyo si mwanzo wake .
 
Back
Top Bottom