Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Umewahi msikia mama anasema mtoto wake ana sura mbaya hata kama ni kweli ana sura mbaya?
Sijawahi. Haimaanishi Kama ninaiona inavutia la hasha, ila haijawahi kuwa kero kwangu, najiona sawa. Kama itakuwa Ni kero kwa mtu mwingine Basi ni his/her problem not mine
 
Afya zaidi consultants umesema mengine kweli lakini mengine si kweli. Wengine tumekua wakati hakuna madawa ya kuchubua, tumesoma boarding ambapo huwezi kuwa hata mnene maana tulikuwa tunakula balanced diet. Tumeanza kupata stretch marks tukiwa na miaka 12 mara baada ya kuvunja ungo na tulikuwa na kilo hazizidi hata arobaini.

Je kuna ukweli gani hapo. Stretch marks nyingi kwa wasichana zipo miguuni na kwa makabila mengine ni kivutio . Za tumboni nakubaliana na wewe ni ujauzito au unene labda ingawa sina uhakika. Hivyo ungetoa ufafanuzi aina tofauti za hizi stretch marks siyo u generalise.
 
Kuna ksingo maza changu kinasumbuliwa sana hyo michirizi imeanza kukiwasha,sjui ktakuwa knataka kunenepa,naona shahawa zangu zmeknufaisha
 
Back
Top Bottom