Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Acheni kudanganya watu....hii michirizi kitaalamu na kibaolojia hutokea pale mtu anakonda au anapo jifungua mtoto na Mara nyingi baada ya mtoto wa pili.haina shida na ni mizur tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashauri wanawake wote wenye mistari makunyanzi matumboni mapajani na hata mikoni, Kama dawa za kuondoa hiyo midudu tafadhari iondoeni, hiyo mivitu inamaliza nguvu za kiume amini nawambieni, yaani nikikuta na hiyo midude lazima jongoo apoe na ili apate kuinuka tena lazima nianze kupeleka hisia zangu kwa Aisha au Ashura wasiokuwa nayo.

Sijui nanyinyi ni kitu gani ambacho mkikutana nacho kwa wanaume kinawakata Moto?
 
Michirizi inakuwa mingi hadi unahisi ni TATOO
 

Mkuu Inategemea na stretch mark,Kuna zile ambazo zinakuwa Kama mtu kakutana na vibaka wakamchana na viwembe alafu umkute mwanamke Mwenyewe kajichubua hadi harufu Ya jasho imebadilika na kuwa ya mkorogo

Alafu kuna zile ambazo huwaga nazipenda,ambazo zimejichora juu Ya ngozi Kama punda Milia

Nikizionaga hizo huwaga nakufa kwa wenge huwaga natamani muda wote mtoto awe Kama alivyo zaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…