mij
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 1,993
- 2,120
Nnayo Ndo maana nimesikitishwa na kauli yako kumbe mume anaweza kupoteza hamu kisa stretch mark
Pole mkuu. Ila usiogope kuna wengine wanaipenda sana hii kitu. Watu tunatofautiana. Pia kuna mambo mengi kwenye ndoa ambayo yanaweza kupoteza hamu kama kauli, uzembe kwenye mechi, uchafu, kufanya vitu kwa mazoea na mengineyo. Cha muhimu ni mawasiliano tu na mambo yanakwenda.