Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

mimi nna michirizi kibao
niliacha kutafuta dawa badala ya baby kusema anaipenda
saivi nmeiacha nishasahau kama nna michirizi
 
Mwingine anapata michirizi baada ya kuzaa, ila zamani mtu anazaa watoto 7 ila humkuti hata na kimstari kimoja.


Wapo wanaopaka baby care na wana michirizi.
Michirizi ya kuzaa kwa kiasi kikubwa unakuta ni ya ukoo
 
Huu uzi umenifurahisha....
Lkn ipo hivi ile michirizi (growthmark) inasababishwa na kuongezeka kwa mwili aidha haraka au taratibu lkn zaidi ya ambavyo mwili ulitakiwa kuwa, kiasi kwamba ngozi inashidwa kuongezeka sambamba na ongezeko hilo la ujazo wa ghafla au uliopililiza.

Sasa siku hizi dhio kuna mazingira yanayoweza kuhamasisha hilo zaidi kuliko zamani... uwepo wa misosi yenye mafuta mno, na maisha Mepesi ( bila zoez) kunachangia mno hiyo kitu kushamiri zaidi saiz kuliko zamani.

Kuhusu kujichubua hapana! Hakusababishi michirizi ısipokuwa kuifanya ionekane kisaisi kwaajili ya Uangavu wa ngozi.
 
Michirizi ya kuzaa kwa kiasi kikubwa unakuta ni ya ukoo
Mmh ntakataa kwetu wote hawana michirizi ya uzazi, ila mimi ninayo tumboni ingawa si mingi. Na sijawai tumia cream hata siku moja ila parachute imenisaidia sana kuipunguza.
 
michirizi huwa inatokea kwa mtu ambaye alikuwa mwembamba halafu akanenepa. huwa inatokana na kutanuka kwa ngozi....wanaita stretch mark. ndo sababu ya michirizi na mara nyingi haitokei kwa mtuambaye toka zamani alikuwa mnene.huwa inatokea kwa mtu ambaye alikuwa mwembamba ikatokea akapata bahati ya kunenepa au alhamdulilah akaongezeka nyama maeneo mbalimbali ya mwili huko hutokea michirizi hasa mikononi, kwenye mapaja na miguu nyuma ya goti.
zaman ilikuwa ni nadra kutokea mtu mwembamba akanenepa siku hizi mavyakula na pia madawa ya kuongeza mwili.
pia jambo lingine. wadada msikatae unene ni mtamu sana... ulizeni sisi walaji ndo tunajua tunapenda taste gani. mnene ana ladha yake na ana vitu flan hivi ambavyo wembamba sana hawana. usikakamae sana jamani looh.... we mwenyewe ukienda kununua kuku unataka kuku aliyeshiba vizuri. kwa nini hamnunui kuku vimbau mbau.
 
Back
Top Bottom