Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Sasa kama vyakula hivi vinasababisha kuzeeka haraka,ttumie vyakula gani walau kuzuia hilo lisitokee mapema japo litakuwepo tu
Tumia vyakula vifuatavyo kwa wingi:Maziwa fresh, maziwa mgando, asali, mboga za majani, matunda, vyakula vya mizizi(tangawizi, majimbi,mihogo,viazi vitamu, viazi mviringo e. t. c),ugali dona,juice za mboga za majani,uji wa lishe,chapati zenye mafuta kidogo,kunywa maji mengi kwa siku(3 litres),pendelea kula vyakula vibichi kwa wingi kwa vile vyakula vinavyofaa kuliwa vibichi kama vile mihogo,nyanya, karoti e. t. c bila kusahau kufanya mazoezi kwa wingi!

Kula kwa kiasi kidogo kabisa vitu vifuatavyo au acha kabisa:Wali, pilau,sembe, nyama, soda, bia, sukari ya chai, chumvi,juice za madukani, vyakula vya supermarket, chips yai, vyakula vya kurost/kukaanga kwa mafuta mengi,mayai ya kizungu!

NB😛enda kula sana vifuatavyo kwani vina umuhimu mkubwa sana kwa afya ya binadamu😛arachichi, Apple,limao, kale, broccoli na soursop fruit!..... Vitu hivi ni very strong ant-aging agent, strong ant-cancer na pia ni tiba ya magonjwa mengi sana kama vile magonjwa ya moyo e. t. c
 
Tumia vyakula vifuatavyo kwa wingi:Maziwa fresh, maziwa mgando, asali, mboga za majani, vyakula vya mizizi(tangawizi, majimbi,mihogo,viazi vitamu, viazi mviringo e. t. c),ugali dona,juice za mboga za majani,uji wa lishe,chapati zenye mafuta kidogo,kunywa maji mengi kwa siku(3 litres)

Kula kwa kiasi kidogo kabisa vitu vifuatavyo au acha kabisa:Wali, pilau,sembe, nyama, soda, bia, sukari ya chai, chumvi,juice za madukani, vyakula vya supermarket, chips yai, vyakula vya kurost/kukaanga kwa mafuta mengi,mayai ya kizungu!
Duuh,nitajaribu ila ni ngumu kidogo kuacha nyama kavu aisee
 
Mm huwa nafanya ukaguzi kila sehem unapoamua kufanya mapenzi inabidi uwe kamili uhakikishe unampa mtu raha hakai dakika 15 hajatuma msg
Mkuu hamna mwanaume anaejishusha kuwa hajui kutumikia hilo tendo. Basi tu hatuwezagi kuwajaribu kuona kama kweli yaliyomo yamo. Ila ukifanya vizuri lazima usumbuliwe kwa simu na msg kuhakikisha hakuna mwingine anakula hizo raha
 
Back
Top Bottom