Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

kuna ya asili, kuna ya kutokana na madawa, kuna ya
baada ya kutoka kupata mtoto na kitu kama hicho
ya ze utamu inategemea mtu anavyotaka mwenyewe.

Tutakutafuta mzee maana nyumba ndogo yangu inamichirizi ya baada ya uzazi yenye jina langu.
 
Poa mkuu, karibu.
Mamndenyi huu uzi nimeutafuta baada ya kuwa nimetumiwa SMS jana kuhusu muda.
Watu bado wana doubt nadhani hii ni kwa sababu ya kuwepo kwa products nyingi zenye chemicals halafu hata hazitibu!

Hii ya kwako inapunguza au inaondoa kabisa na ni kwa muda gani??
 
Last edited by a moderator:

sasa hivi kampuni ina matawi mengi ambayo yote yapo hai. ninachofanya sahivi nakupa fomula na wewe utaendelea kufungua matawi huko uliko. ni pm.
 
Last edited by a moderator:
Otana Mmbe!
Ungefafanua hata kidogo na dozi yake unaweza kukuta km kikombe cha Babu nije na familia yangu maana mistari ya kitambi changu nashindwa ogelea. YMCA ntakupigia
 
Habari wakuu, nna jamaa angu ana stretch marks nying sehemu kama za maeneo ya kwapa ivi, nyuma ya magoti na sehemu nyingine. Anauliza kama kuna mtu anafahamu dawa ya kuondoa hili tatizo.

Asanten.

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
Nahisi ni maumbile tu, kama ni mnene pia husababishwa na kutanuka kwa ngozi. Dawa ziliopo hazisaidii kivile au inachukua muda mrefu, kama mafuta yenye vitamin E, dawa inayosadikika kwa sasa ni laser.
 
Unaweza kutumia asali, pia ukitaka matokeo ya haraka zaidi waweza kuwa unajipaka mkojo wako wa asubuhi kila siku kwa wiki moja.
Unakaa na mkojo kwa muda wa dakika kumi kisha unaoga
 
Unaweza kutumia asali, pia ukitaka matokeo ya haraka zaidi waweza kuwa unajipaka mkojo wako wa asubuhi kila siku kwa wiki moja.
Unakaa na mkojo kwa muda wa dakika kumi kisha unaoga

You cant be serious!
 
Unaweza kutumia asali, pia ukitaka matokeo ya haraka zaidi waweza kuwa unajipaka mkojo wako wa asubuhi kila siku kwa wiki moja.
Unakaa na mkojo kwa muda wa dakika kumi kisha unaoga

Haha...hiyo mkojo sio chaka hilo??
 
Naona wadada wengi wana michirizi kibao nadhani ni makemiko wanayotumia kwenye ngozi......Nawashauri waachane na mikemikali kwenye ngozi....
 
Back
Top Bottom