Jinsi ya kuifunga Yanga ya Gamondi

Maanake haujiamini kuhusu mbinu yako. Kama unajiamini jilipue kaombe kazi ya ukufunzi wa kuifunga Yanga.
Mkeka ulioweka unavutia, ngoja nifanye mambo labda naweza kumalizia banda langu kule Kisemvule kabla mwaka haujaisha. Mechi tatu zinazofuata za Yanga ni zipi nianze mchakato?
 
Mpaka leo scouting team ya Yanga haijulikani, mchambuzi wa nani asajiliwe hajulikani.
Sijui Yanga wamewezaje kutunza siri hii kwa misimu mitatu mfululizo.
 
Kwa sasa unatakiwa uwape mbinu za kupunguza idadi ya magoli
 
Mpaka leo scouting team ya Yanga haijulikani, mchambuzi wa nani asajiliwe hajulikani.
Sijui Yanga wamewezaje kutunza siri hii kwa misimu mitatu mfululizo.
Aisee nahisi kuna mtu ana jicho Kali sana huko na kama ataendelea kuwepo atasumbua sana maana sio kwa kutuletea vyuma vya maana hivi
 
Kutambua mchezaji mzuri wala haihitaji jicho kali kama mnavyodhani. Kuna watu wameamua tu kuwaangusha wenzao. Tena Africa hii vipaji vipo tele vya bei chee, ni wewe tu kama uko serious kujipakulia minyama.
 
"Mwisho lakini siyo kwa umuhimu, wiki 2 kabla ya mechi nyang'anya simu wachezaji wenu au kama kuna uwezo monitor mawasiliano yao yote. Kinga ni bora kuliko tiba." huu ni ugonjwa unaosumbua timu nyingi sana za daraja la kati na chini
 
Kutambua mchezaji mzuri wala haihitaji jicho kali kama mnavyodhani. Kuna watu wameamua tu kuwaangusha wenzao. Tena Africa hii vipaji vipo tele vya bei chee, ni wewe tu kama uko serious kujipakulia minyama.
Kama haihitaji jicho kali, timu nyingine zinakwama wapi kuwapata hao wachezaji?
 
Maanake haujiamini kuhusu mbinu yako. Kama unajiamini jilipue kaombe kazi ya ukufunzi wa kuifunga Yanga.
Timu zote ambazo zina nia ya kuifunga Yanga, someni huu uzi kwa makini maana Wanayanga baada ya kuusoma wanajikojo**** Chezeni kama kina Bacca, Mwamnyeto na Job walivyokuwa wanacheza jana kule Algeria. Pasi mbili mnaosha watajuana mbele kwa mbele ila msiwe na mshambuliaji mzururaji kama Mzize
 
Hapo kwenye kunyang'anya simu wachezaji umepuyanga na kwa akili yako umepandikiza zile fikra za kwamba wanauza mechi, na sio ubora wa yanga walionao, kama ni ivyo basi kuanzia timu yako ya simba iwe inawanyanga'nya simu wachezaji wake kwa maana ata wao walizidiwa pakubwa na ubora wa yanga pale mkwakwani kabla ya waganga wao wa kienyeji kuwanusuru na kichapo!
 
Ni kweli Simba ngao ya jamii ilipaki bus lakini ilifungwa magoli 2 yaliyokataliwa.

Wachambuzi wasilolijua ni uwezo wa wachezaji Konkon, Gift Fred na Skudu

Konkon, mshambuliaji wa kati wa Yanga, ni hatari sana kwa mabeki kisiki na atakuwa muhimu kwa Timu kwenye mechi dhidi ya mabeki hodari.

Skudu Makudubela, ni winga hatari na msumbufu sana kwa mabeki wakabaji. Atatumika kumwezesha Konkon kufunga magoli.

Uwezo wa Gift Fred, ni beki ambaye pia atakuwa msaada mkubwa kwenye mechi dhidi ya timu yenye washambuliaji wanaotumia vichwa sana.

Kimsingi, timu ya Yanga imekamilika kwa mifumo ya uchezaji na ina wachezaji wenye vipaji vikubwa na stamina.
 
Ujawaambia wamkabe nani[emoji28]

Yaoyao
Pacome
Max
Key
Mudathiri
Aucho
Musonda
Mzinze
Konkoni ..
Utawachagulia wakumkaba afu uwalete wapigwe holaaaa 5
Hahahahahahahahahahahahahah....
umemfanya afikilie sana na hawezi kupata jibu.

Utasikia mtangaziji anasema aziz k anatoka....mpinzani anasema afadhari atoke aje mwingine..
Unakaa kidogo unatafakali nani sasa huyo mwingine..

Unasikia anaingia max zengeli....
nina uhakika kama unamoyo wa wasiwasi unaanguka na presha.
 
Msitutishe na litimu lenu
 
Kwahyo mnatuchangia mnapeana mbinu hadi JF
Mtasema mbona bado
 
Kuifunga Yanga ya sasa na kuondoka na Ushindi ni jambo gumu sana

Labda itokee katimu kabahatishe kuifunga kwa Penalties kama ilivyotokea kwa Simba na kipa wao wa kutokeza
🤣🤣🤣
 
Ihefu wapewe maua yao
 
Reactions: BRN
Kuifunga Yanga ya sasa na kuondoka na Ushindi ni jambo gumu sana

Labda itokee katimu kabahatishe kuifunga kwa Penalties kama ilivyotokea kwa Simba na kipa wao wa kutokeza
Wacha weeeee!!!
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…