Mkuu huna tofauti na MimiFree ideas mm wangu hata ukisema muende outing (mostly beach hotels) mtaishia kugombana huko huko. Toka Aprili nilikuwa Sweden kikazi nikarudi wk iliyopita ile tumeanza vizuri tu pale nimekuja jion yake tukapiga sex adimu, tukarudia tena alfajiri. Kufika kwenye saa 5 asubuhi (ilikuwa weekend) akaanza kisirani daah ile hamu yote ya kummis ikapotea. Nimeamua kukaa kimya nafocus kwa watoto tu Ndo furaha yangu iliyobaki. Hapa mke nimeoa *boya flan amazing* haeleweki. Natamani mchepuko ingawa nilijaribu baadhi nao ni pasua kichwa