Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

Mkuu huna tofauti na Mimi
 
Wewe blessings umeoa mchagga au mnyakyusaa.... maana Uzi mwingine ulianzisha umeoa mchagga huku mnyakyusaa.. au unatuzenguaaaa
 
Hakika mleta mada umeleta kitu kizito sana, nimeona na nimejifunza na baadhi ya mbinu ulizoandika nimewahi kuzitumia kweli zimenisaidia. Lazima tukubali wanawake akili zao ni tofauti sana na zetu, na ukitumia ubabe ni kuwaumiza na kuvuruga ndoa
 
#6 duu..hivi Kwann tuishi na mke wakat kila kona lawama?
 
Mi wangu ni wakutafuta trouble atashika Simu atachunguza akikosa ataenda kukagua gari akikosa mabag yangu maana mi mtu wa safari akikosa kote ataanzisha na watu tunaoishi nao humu ndani na mkigombana atataka kila mtu ajue au watu wajue tunachogombana
Haha ha ha ha.Aiseee kumbe kuoa ndo shida ivi ?
 
Yani hii case yako imenifurahisha cause kwa mbali inahusiana na yangu. Nliwahi kuwa na bibie wa Kinyakyusa pia na kiukweli alikuwa ananipenda, i could feel it cause hakuwa mtu wakutaka vitu kwangu ila anajitafutia, sasa cha ajabu ni hizo attitude(kisirani), yani from no where anaweza kuanzisha ugomvi bila sababu mf. Anahisi mi natembea na mmoja wa rafiki zake behind her back, yani bila hata evidence ye anahisi tu. Kitu kingine ni kutaka kunicontrol kwa kila move, anachotaka yeye ndo kiwe na mi nikubali tu.
Nlivyomuacha hata ye hakuamini, nna hakika sahv ananichukia sana
 
Hujakutana na wanawake vichwa maji wewe, hakuna kitu utafanya aelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…