Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

Lazima kuna sababu mwanamke hawezi kukuchukia bila sababu unaweza penda ndugu zake Na kumpa kila kitu ila akianza kujua unachepuka jua tu utaishi Na shetani unless awe ni mcha Mungu
Kinachoangaliwa hapa ni vile vtu vdgovdgo ambavyo msingi wake waweza kuwa ni kuvumiliana tu lkn mtu analifanya linakuwa tatzo kubwa ad ndoa inavunjika....
 
Hakuna ukwel wowote,,ata kama jinga nilisifie???
 
Mkuu kwanza kuhusu kummaliza nyege hilo nakuhakikishia nahakikisha anafikia "orgasm" kila ninapomuomba game. Tatizo kubwa la Atuganile ni wivu uliopitiliza ana mawazo siku nampa mwanamke mwingine huu ukuni na utundu huu nafasi take itapotea
Mkuuu wew ni mwanaume mwenzang nahuwa sipend kuona kidume mwenzang anateswaa nahawaa viumbee dawa hapo piga chini tuu
 
Lakini huoni kwa kufanya hivyo utakuwa unaishi artificial life na unajaribu kujitibu mwenyewe kisaikolojia kwa kusema uongo ambao nafsini mwako unajua fika sio kweli ati tu kumfurahisha mke... Mnh..ngumu sana !!!
 
Lakini huoni kwa kufanya hivyo utakuwa unaishi artificial life na unajaribu kujitibu mwenyewe kisaikolojia kwa kusema uongo ambao nafsini mwako unajua fika sio kweli ati tu kumfurahisha mke... Mnh..ngumu sana !!!
Na usawa huu wa vyuma
 
Kwa maelezo yako hapa inabidi mwanaume uwe 'expert lier' kuushi kwa furaha na hawa wa2....
 
Hapa nipo kikazi nje ya nchi nina wiki mbili nimeacha kupokea simu zake. Kila uchao lawama zakipumbavu tu. Wanawake pasua kichwa na nimeamua nawachukulia zawadi watoto tu. Yaani mwanamke unamfanyia kila kitu na bado atakusumbua tu.
 
Hajaas
We ndo mshamba wa Kinyakyusa toka Mwakaleli unaeona ajabu mtu kwenda Sweden. Nimechoka na tambo zenu huyo dada yako namrudisha ili mjifunze
Hahaaaa ajabu ya kwenda Sweden? Wasukuma ni nan aliwaloga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…