Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

We ndo mshamba wa Kinyakyusa toka Mwakaleli unaeona ajabu mtu kwenda Sweden. Nimechoka na tambo zenu huyo dada yako namrudisha ili mjifunze[/QUOTtE]hahaaahaaaaas sawa mwakaleli mwenzangu wewe naona ni mzungu kabisa,......mwakaleli oyerrrrrrrr
 
tatizo hatutaki unafiki kumsifia kumbe sio hiyo ndio mbaya
 
Mkuu,baada ya kufkia pointbya kuongea na mama yake imenib niishie tu hapo maana dah,nahis ata zitakaxofuata zitakuwa kama hiyo,kuwa na.mazoea kias cha kucheka na mam mkwe ni kosa la.jinai otherwize umekula LIMBWATA
 
Nitumie namba yake inbox mkuu, nimpime kama ni mwaminifu kwako
 
Hii sawa.

.Mmmmh!
 
Very nice, japo ni ngumu kuitekeleza. mwanaume ukitekeleza hayo halafu ukaona limkeo bado linanuna nuna piga chini fasta, huna mtu hapo.
 
Niko na siha njema Heaven Sent, hivi mwanaume akikufanyia yote hayo aliyoandika free ideas bado utaendelea kununa kweli?
Weee ataishi kama yupo paradiso. Naanzaje kununa sasa, labda kama nina kichaa cha ndoa.
 
Boy flan amazing lisalimie pls ahahaha nimecheka kwa saut kwana nalo lafanana na mjusi butuku?
 
Huo ni utumwa aisee, hivi kwa maisha haya unapata wapi muda wa kufanya hayo yote? Unaweza ukamfanyia yote hayo lkn mwisho wa siku akaliwa kizembe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…