Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

Rough sex ikoje mkuu,msaada please
 
Hapo NB: nimepapenda!!! Mwanamke hajui anataka nini!!! Utamfanyia yote hayo lakini bado atakuvuruga tu!!!!
 
Pole sana ndugu.

Hiyo tabia si nzuri kabisa, kama vipi nipe namba yake nimkanye.
 
Ukifanya hayo yote akisikia sauti ya mwanaume mwingine anasahau yote sana sana ataenda kukusema kwa huyo mwanaume wake hatakosa cha kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…