Ethan Cruz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2021
- 231
- 331
wanaume wa aina hii wapo wengi
Sasa ukikutana na mwanaume wa aina hii ujue kuna kitu
labda anataka muachane au ana mchepuko ama ni hulka yake tu kuwa mkorofi.
Visa huwa haviishi sasa unatakiwa ujue jinsi ya kuishi naye;
Mfano akianzisha ugomvi fanya kumuacha aendelee ili umsaidie kutoa yote ya moyoni wewe kaa kimya usimjibu,tena fanya kama unamsikiliza kwa makini
usiwe mwepesi kujitetea acha amalize yote
kama atakupa muda wa kujieleze muelezee taratibu kwa upendo
Kama akianzisha mzozo ambao hujui chanzo chake wewe jifanye kichwani hazimo jinyamazie.
Waswahili wanasema jitoe fahamu,maana ni chanzo cha ugomvi anatafuta,
Akimaliza kelele zake cha kufanya wewe anzisha jambo lingine kabisa mfano mwambie ulimmis sana na umemis manjonjo yake kitandani tena kimapenzi kabisa ama mwambie muende matembezi ufukweni au sehemu mliyozoea kwenda pamoja.
DAWA KUBWA YA MWANAUME MKOROFI NI KUWA MNYEYEKEVU.
Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu hata ungekuwa umemkosea nini ukijishusha ukanyenyekea analainika labda awe na mapepo ndio unyenyekevu wako hautagusa moyo wake....
Mume hafokewi, mume hagombezwi, mume humfanyii jeuri na kiburi, akinuna na wewe unanuna asipokutafuta na wewe humtafuti, utapoteza ndoa yako.
Ni mume wako wa ndoa unaruhusiwa kumng'ang'ania kama ruba,kuwa na tabia ya kumpapatikia mmeo,kumpapatikia mumeo sio kujipendekeza bali ni mapenzi mdada wewe upo hapo?
Asipokutafuta mtafute, asipoongea na wewe ongea naye wewe kwa lugha ya mahaba sauti ya kike. Hakunaga mke anaambiwaga anajipendekeza kwa mumewe.
Kunyenyekea hakukugeuzi housegirl na ukapoteza nafasi yako ya kuwa mke, ila kiburi na jeuri ndio vitakufukuza kwenye hicho kiti na hiyo nafasi ya kuwa mke haraka sana
Ujeuri weka pembeni!
#ndivyo wanavyofanya waliodumu kwenye ndoa zao#MWANAMKE JENGA NDOA YAKO HAIJALISHI MMEO YUKO VIPI UNYENYEKEVU NI DAWA.
NOTE: Kuwa mnyenyekevu sio kuwa mpumbavu. Panapotakiwa hekima na akili zitumie
folks lets roll what do you think