Jinsi ya kujikinga na "connection", fuata na njia hizi

Nyalandu wamemuonea sababu hajajua njaa iliyopo mtaani. Mtu maarufu na mwwenyepesa huwezi kwenda lodge au hotel uliyoitwa na mwanamke, inabidi wewe ndio uandae hotel room yako, uichunguze vizuri kuanzia ceiling board, TV nk. Na simu zote za mwanamke zifungiwe kwenye begi. Unafanya a thorough sweep of the room!
 
Hajaonewa mkuu, kumbukakila jambo linalotokea limepangwa.

Huyo jamaa kajichanganya mwenyewe na upwiru, kama ulivyosema alipaswa yeye ndiye aite siyo aitwe, although inaonekana huo ni mchepuko wake ambao huwa kila mmoja akizidiwa kwa muda wake anamuita mwenzake popote!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…