Jinsi ya kujikinga na "connection", fuata na njia hizi

Jinsi ya kujikinga na "connection", fuata na njia hizi

Kwanza ikimbie zinaa kama hujaoa acha, kama umeoa tulia naye na kama huna jifunze useja.

Twende kazi:

a) Chukua simu zote ziweke kwenye begi 😃!

b) Kama upo lodge muombe muhudumu akupe fagio hakikisha chumba kisafi, yaani hakikisha hamna takataka inayoweza kuhisiwa kurekodi humo 😃!

c) Usiiamini TV ya lodge mkuu na ole wako iwe smart 🤓, zima na ifunike kwa blanket 😅!

d) Uwe makini na zile eti nikae juu au umpe nafasi to msalani, asee ukiweza msindikize kuzuia connection mkuu 😃!.

e) Vigezo na masharti vizingatiwe maana kuna watoto wa kizazi hiki wanaitafuta pesa kwa nguvu sana.

f). Ongezea ...

Ukiingia kichwa kichwa kesho wanao wanakuita 'Baba njoo umuangalie huyu kafanana na wewe'🤓
Nyalandu wamemuonea sababu hajajua njaa iliyopo mtaani. Mtu maarufu na mwwenyepesa huwezi kwenda lodge au hotel uliyoitwa na mwanamke, inabidi wewe ndio uandae hotel room yako, uichunguze vizuri kuanzia ceiling board, TV nk. Na simu zote za mwanamke zifungiwe kwenye begi. Unafanya a thorough sweep of the room!
 
Hajaonewa mkuu, kumbukakila jambo linalotokea limepangwa.

Huyo jamaa kajichanganya mwenyewe na upwiru, kama ulivyosema alipaswa yeye ndiye aite siyo aitwe, although inaonekana huo ni mchepuko wake ambao huwa kila mmoja akizidiwa kwa muda wake anamuita mwenzake popote!.
 
She is not good enough for you. She is gold digger
The gold digger mwenyewe sasa👇👇
ACHA TU ANI DIG hizo GOLD.
Vitoto vya 2000's ni balaaa jombaaa
.!!!

#YNWA
 
Attachments

  • IMG_20240327_101221_119.jpg
    IMG_20240327_101221_119.jpg
    39.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom