Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
🤣🤣🤣Mtu yeyote tena Mtanzania anayemlipa mtu wa US tena mwanamke ili ampe habari za umbea toka katika nchi ambayo anaishi huyo ni kichaa
Ni kichaa
Mwehu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Mtu yeyote tena Mtanzania anayemlipa mtu wa US tena mwanamke ili ampe habari za umbea toka katika nchi ambayo anaishi huyo ni kichaa
Ni kichaa
Mwehu
🤣🤣🤣Huyu jamaa siyo kijana,nimeanza kumsoma hapa Jamiiforums 2010 ni kusema miaka 13 nyuma alishaijua hii platform.
Nadhani alijichanganya tu kuingia humo,na kila mtu ana hobby yake asikilizwe.
🤣🤣Gharama ya umbea kwa 2,300 unalalamika? hapo hutoki ng'oo na tumeboresha mitambo yetu hakuna mtu kutoka, ndio ukome sasa kufuatilia umbea
🤣🤣🤣Ebu kwanza tuambie aaliyah na zuchu wamefanyaje kabla hatujakushauri namna ya kujitoa huko kwenye app
Kabisa Mkuu.😁😁😁 bongo kuna unafki mwingi sana Ila sio mbaya. Tuishi tu
Ninachoshangaa ni vile wanakuwa nayo halafu wanajifanya hawana, yaani wanajifanya hawamfatilii mange kutwa kumponda. Huo unafiki ndo unanishangaza...otherwise kila mtu afate anachotakaUkashangaa nini? Ungeuliza pengine wana sababu za msingi. Hata mimi nilikuwa na hiyo app na nilikuwa nime-subscribe kulipia kila mwezi lakini sasa nimejitoa. Kilichofanya nijiunga ni kum-support Mange mwenyewe kwa kupigana vita vya mtu mmoja, bila woga kipindi cha udikteta wa Magufuli. Na juzi juzi pia alipopinga mama Abdul kumilikisha bandari zetu kwa waarabu. Kwa sasa nimejitoa kwa sababu kaacha kuanika uovu wa viongozi. Akirudia tena na mimi nitajiunga tena.
Kama wewe ni mwanamke kuna walakini, mwanamke unajiitaje Pablomie mwanamke tuu sina hiyo app inakuwaje we dume la mbegu una hiyo app ndo maana mama samia alisema wanaume ndo wanaongoza kwa umbea
kwani nani kakwambia mimi najiita pablo?Kama wewe ni mwanamke kuna walakini, mwanamke unajiitaje Pablo
Niliwahi kusema hii....Nyuzi za "Mji Mzito" za Marehemu yule zilikuwa zinatembea ile mbayaa..
Hiyo yote ina maanisha 99% za wana jf wanapenda udaku...
Hata hiyo Mange Kimbambi App 90% humu wanayo, sema publicly wanajibaraguza, BTS wanayo sanaaa, vpn zinawashwa kwa kwenda mbelee..
Shangaa na weweMhmm!!? Pablo mwanamke??
Wewe unayo au hauna?Ninachoshangaa ni vile wanakuwa nayo halafu wanajifanya hawana, yaani wanajifanya hawamfatilii mange kutwa kumponda. Huo unafiki ndo unanishangaza...otherwise kila mtu afate anachotaka
Sina app, Ila namsoma insta.Wewe unayo au hauna?
Aise yani unatoa na hela kabisa kufuatilia umbea maisha ya watu ,halafu inakusaidia nini kuinua maisha yako ukishajua aibu za wenzakoWakuu za asubuhi
Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi?
Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta akaunti yangu inashindikana. Maelezo niliyopewa kama nilijisajili kupitia app store basi niingie huko nikiona hiyo app ni unsubscribe. Wala sijaiona. Mange mwenyewe hajibu meseji zangu kupitia platform zake. Nia yangu niachane na hiyo app tu kwa sasa. Wazee wa tech tafadhali
Updates
Nimefanikiwa kujitoa kwenye usajili husika. Kwa namna ya pekee napenda kuwashukuru Nobunaga na Dr Restart kwa ushirikiano wao na kuonyesha kujali.
Nimejifunza:
1. Humu JF kuna watu wajinga sana. Nawaombea wasifike hatua ya kuwa wapumbavu
2. Wema bado wapo ila wachache
3. Wengi humu wanapenda mada nyepesi nyepesi wakitumia mgongo wa u great thinker
4. Wengi humu wana stress/msongo. akipata upenyo wa kutoa stress zao wanabwaga tu nyongo. Inajionyesha kwenye post zao
Mwisho, MODS naomba muufute huu uzi. Si lengo langu kuharibu biashara ya mtu bali wao wenyewe walishindwa kutoa mwongozo wenye kueleweka. Hivyo basi Active Boqin BlackBold na wengine tafadhali futeni huu uzi
Hata kama ni user name ila inatakiwa iendane na mahadhi ya mtoto wa kikekwani nani kakwambia mimi najiita pablo?
natumia account ambayo aliifungua baba watotoHata kama ni user name ila inatakiwa iendane na mahadhi ya mtoto wa kike
[emoji16][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Gharama ya umbea kwa 2,300 unalalamika? hapo hutoki ng'oo na tumeboresha mitambo yetu hakuna mtu kutoka, ndio ukome sasa kufuatilia umbea