Jinsi ya kujizuia usimpende sana mtu

Kama ulitendwa ukipata mwingine ishi nae kama hujawahi kutendwa mpende na mthamini pia huenda ndio fungu lako, cku zote ukiwa unafikiria negative na kwel ndo itakuwa outcome yake et be careful bro hamna dawa ya kujizuia kupenda kama ipo na mm wanipe.
Haaaa haaaa aisee eti na wewe unataka dawa ya kujizuia kupenda...
 
ww oa hyhy chamsingi anakupnda n ww unampnda angalizo ninachoamini mungu apungukiwi na kitu kama hy binti hata kuwa chaguo lako basi uwe na imani utapata mwngne jiamini tumeumbiwa moyo w kupndana lakini tumia n akili ndg
Naunga mkono hoja.. Akili pia lazima ihusike
 
Maneno ya waenga/wakubwa ni tiba kabsa.penda wastani.
 
Yaan m naona kama umethbitsha anakupenda, nawew mpende tuu,waschna tumetofautiana,yamkin ndio mungu kakuletea uyo,ila kwa htua ya awali usimuonyeshe kuwa unampenda saaana,yaaan kama cm kumpgia iwe kias,kama n kumpa ela kias,kama n msg kias,
 
Yes yes yes yes yes Ofcourrrrrse
You have to follow your heart but carry your brain with you.
Otherwise.......
Nakupenda sana ila

Wacha nifunge domo langu mie
cc: Smart911


Exactly follow your heart but never leave your brain behind...
Tell me otherwise unanipenda sana ila nini love?

usifunge hako ka mdomo kako... sema anything you feel like to me...

love you more mahondaw
 
Kupenda sana ni sawa na kujichorea mazombi kichwani then yanaza kukutisha mwenyewe.Ukipenda sana mambo yakianza kuharibika utahisi kuna kuna maTom and Jerry yanakimbizana kichwani mwako.
 
Mkuu swala la kumpenda sana mtu huwa kuna madhara makubwa sana huko mbele ya safari

Hakuna madhara yoyote katika kumpenda mtu. Madhara yanaweza yakawepo endapo utampenda mtu ambaye hakupendi kwa dhati maana mtu huyo anaweza kuutumia upendo wako kama silaha.
 
Mkuu nifanyaje sasa.. Maana mimi sitaki kumchezea tu mtoto wa watu...
Kaka sikia. Endelea tu na huyo binti...enjoy.... Akikuzingua huko mbele utaumia na utapona tu. Then ukipata maumivu kama mara tatu au nne hivi moyo utazoea tu wenyewe na utaelewa hii game.

Speaking from experience......!
 
Kaka sikia. Endelea tu na huyo binti...enjoy.... Akikuzingua huko mbele utaumia na utapona tu. Then ukipata maumivu kama mara tatu au nne hivi moyo utazoea tu wenyewe na utaelewa hii game.

Speaking from experience......!
Nimekuelewa sana mkuu.. Ahsante sana
 
Hakuna madhara yoyote katika kumpenda mtu. Madhara yanaweza yakawepo endapo utampenda mtu ambaye hakupendi kwa dhati maana mtu huyo anaweza kuutumia upendo wako kama silaha.
Mkuu nashkuru kwa ushauri wako mzuri ahsante sana...
 

Mkuu hapo unajidanganya, upendo wa kweli hauna sababu.
Hayo mambo ya sura, umbo na tabia ni kutamani tu!!
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…