Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
hahaha Me upendo wa vipimo kama nyama au maharage ain't my thing.
Hahahahhhhaa!, kama nyama au maharage nusu kilo...lol!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha Me upendo wa vipimo kama nyama au maharage ain't my thing.
Eeeh unampenda kwa 10%. Kazi ipo na hivi vipimo teh, kama humuamini si usepe tu jamani, why kuishi kwa kuviziana?Hahahahhhhaa!, kama nyama au maharage nusu kilo...lol!
Eeeh unampenda kwa 10%. Kazi ipo na hivi vipimo teh, kama humuamini si usepe tu jamani, why kuishi kwa kuviziana?
hahaha Me upendo wa vipimo kama nyama au maharage ain't my thing.
Yeeahp namba ilikuwa 50% wakati wa utawala wa Mheshimiwa aliyepita...but kwa msimu huu...oouuhh oouhhh imefika 2%( But sibishani kuwa hawapo Nope WAPOOOBaadhi ya wanawake si wote Mkuu.
Kupenda sio kosa mkuuAisee ni kweli yaani nahisi nimeathirika kisaikolojia maana nahisi kosa langu lilikuwa ni kumpenda mtu kutoka moyoni
Tatizo siku hizi tunaishi kwa historia kisa fulani katoswa basi na ww utatoswa em tuache mawazo kama hayo Mungu kama kakupangia kakupangia tu. Em jaribu kuishi maisha ya mahusiano bila kufikiria kuachwa kama ikitokea utawexa himili stress tu, Kama mwanamke kakuoneshea dalili za kukupenda tena sana kwann ww usimpende?
LOVE HER NOT IGNORE HER FEELINGS BRO IF IT WILL HAPPEN YOU WILL WITHDRAW STRESS.
Kama ulitendwa ukipata mwingine ishi nae kama hujawahi kutendwa mpende na mthamini pia huenda ndio fungu lako, cku zote ukiwa unafikiria negative na kwel ndo itakuwa outcome yake et be careful bro hamna dawa ya kujizuia kupenda kama ipo na mm wanipe.Naunga mkono hoja.
Ni kweli tatizo ni negative mind.
Kama ulitendwa ukipata mwingine ishi nae kama hujawahi kutendwa mpende na mthamini pia huenda ndio fungu lako, cku zote ukiwa unafikiria negative na kwel ndo itakuwa outcome yake et be careful bro hamna dawa ya kujizuia kupenda kama ipo na mm wanipe.
Habari za maisha ndugu zangu wa jf.. Matumaini yangu ni wazima wa afya njema huku mkiendelea na majukumu yenu ya kila siku..
Back to the main point..
Ni mwaka mmoja sasa umepita tangu niachane na mpenzi wangu niliempenda sana.. Nilijikuta katika wakati mgumu sana kuishi bila yeye maana nilikosa furaha mpaka nafsi ilikata tamaa.. Aliondoka kwa nyodo na dharau nyingi sana.. Nilikuja hapa jukwaani kuomba ushauri na nyinyi ndugu zangu mlinishauri vizuri sana..
Wapo walio sema ntapata mwingine na nitasahau yote ya nyuma na wapo pia walio sema kuwa sitakiwi kuingia mzima mzima katika mapenzi.. Pia nakumbuka kuna siku nlikuwa napiga story na baba akanambia"ukimpenda sana mwanamke utakuwa mpumbavu unatakiwa umpende kwa kiwango cha wastani tu ili usimpe ufunguo wa furaha yako".
Dhumuni la kuomba ushauri ni kwamba katika harakati zangu za kimaisha nimekutana na binti mmoja mzuri sana tena ana vigezo na sifa nyinyi hata kuliko yule alie utesa moyo wangu..
Nikasema nae mtoto akanielewa na akasema she loves me the way i am.. Na kiukweli kwa matendo yake tu inaonesha ananipenda sana kwa jinsi anavotumia muda wake mwingi kuwa na mimi na pia ananishauri vitu vya msingi sana katika maisha.. Hapa pia navoandika huu ujumbe namsubiri aje getto tukachek afya zetu...
Sasa shida inakuja sehemu moja... Nahisi kumpenda sana huyu binti kwa jinsi alivokuwa mzuri wa sura,umbo mpaka tabia.. Nahofia sana kumuamini maana naogopa sana kuumia moyo wangu tena... Kuna misemo mingi sana inayotoa onyo kali kuhusu kumuamini mtu na kumpenda sana..
Sasa ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyeje ili huyu mrembo ni mchukulie easy tu maana nahisi atanikolea sana..
umegusa penyewe mkuu nimepata kitu hapo!Mahusiano yako yawe sehemu ya maisha yako,na wala yasiwe ndo maisha yako...
Nikiwa na maana usiyape kipa umbele cha kwanza ,tafta kitu kingine kiwe ndo dira na mwongozo wako katika maisha..
pia huyo binti mfanye sehemu ya maisha yako na wala asiwe ndo maisha yako yaan bila yeye huwezi kuishi ,
kanuni ni nyingi na siwezi andika zote ila kwa uchache ni hizo
Ukimpenda mtu jiachie nae tu... Ukijibana bana unaidhulumu nafsi...
Cha kuzingatia tu, usielekeze saaaanaa akili na mawazo yako kwenye mapenzi... Jipe nafasi ya kufikiri, kuwaza na kufanya mambo mengine...
Cc: mahondaw
Tafuta wabaya wapo wengi halafu hawasumbuiMkuu nifanyaje sasa.. Maana mimi sitaki kumchezea tu mtoto wa watu...
Nimekupata vema kabisa mkuuTatizo siku hizi tunaishi kwa historia kisa fulani katoswa basi na ww utatoswa em tuache mawazo kama hayo Mungu kama kakupangia kakupangia tu. Em jaribu kuishi maisha ya mahusiano bila kufikiria kuachwa kama ikitokea utawexa himili stress tu, Kama mwanamke kakuoneshea dalili za kukupenda tena sana kwann ww usimpende?
LOVE HER NOT IGNORE HER FEELINGS BRO IF IT WILL HAPPEN YOU WILL WITHSTAND STRESS.