Jinsi ya kujizuia usimpende sana mtu

Jinsi ya kujizuia usimpende sana mtu

jaribu kutafuta binti mwingine awe rafiki yako na smt uwe unagegeda mkuu ,mana huyo akichukua hiamaya yote ni hatari siku akizingua,usimuamini binadamu mkuu mana hata MUngu muumbaji binadamu wanamuamini,kakataza mambo kibao ila hawamwamini wanafanya ya kwao wanayoona ndo sahihi,hebu jifikirie MUNGU alikubadilisha toka majimaji tena machafu sana yanayotia kinyaa i.e shahawa akakufanya ukawa wa maana ila bado binadamu hafuati maalekezo yake. so plz i beg u dont give her whole heart just a small portion of it. ila Mungu mpe wote yeeye habadiliki, yaani hapohapo tafuta mwingine uwe unachat naye anaku keep busy maana smt utapenda uwe naye karibu hata kwa chatting ila akiona ivyo atajawa/atavimba kichwa na kukuona sio chochote,so mda akizingua unaendelea kuchat na shosti wako mwingine mambo yanakuwa murua,pia epuka kumtumia sms kila siku ,ganda mpaka nayeye ndo akutafute,yaani mkuu ningeeandika mengi sana ila nitaandika uzi hapa wa kuwashauri vijana namna ya ku keep distance toka kwa huyo anayekuvuta, I have a lot to talk
Mwandiko wako mbayaaaaa! Jifunze kuacha nafasi, kuweka kituo, aya, kuanza sentensi na herufi kubwa n.k
 
Mwandiko wako mbayaaaaa! Jifunze kuacha nafasi, kuweka kituo, aya, kuanza sentensi na herufi kubwa n.k
hatupo kwenye kwenye somo la lugha ila lengo kubwa ni ku deliver ujumbe. any way labda masomo uliyosoma au fani yako ndo inakufanya uwe smart katika kuandika labda.
 
Ukimpenda mtu jiachie nae tu... Ukijibana bana unaidhulumu nafsi...

Cha kuzingatia tu, usielekeze saaaanaa akili na mawazo yako kwenye mapenzi... Jipe nafasi ya kufikiri, kuwaza na kufanya mambo mengine...

Cc: mahondaw
 
Mtume getto kwangu aje kuchukua maelekezo ya kuzuia hisia akuletee.
 
Wanawake wako very complicated katika mapenzi...ukimpenda mwanamke sana atakunyanyasa na kukuburuza(japo wapo wasiofanya hivi but ni 2%)...Ukimpenda ile kawaida tuu na kumpa uhuru na maisha yake(kujiheahimu na kumheshimu) bila kujishusha wala yeye kuwa na kauli dhidi yako atakupenda sana+ other relationship facts eg pesa, mapenzi ya njiwa...kikubwa wanawake wanapenda wanaume tulio na kauli moja, waelewa, wasiojaribika kiboya katika kuzoeana beyond boarders, wanaojali, wachangamfu though sio sanaa, wanaojali etc..! Jifunze kuzijua tabia za mwanamke kwa apendacho na achukiacho then draw a road map of your relationship an... etc
 
Wanawake wako very complicated katika mapenzi...ukimpenda mwanamke sana atakunyanyasa na kukuburuza(japo wapo wasiofanya hivi but ni 2%)...Ukimpenda ile kawaida tuu na kumpa uhuru na maisha yake(kujiheahimu na kumheahimu) bila kujishusha wala yeye kuwa na kauli dhidi yako atakupenda sana+ other relationship facts eg pesa, mapenzi ya njiwa...kikubwa wanawake wanapenda wanaume tulio na kauli moja, waelewa, wasiojaribika kiboya katika kuzoeana, wanaojali, wachangamfu though sio sanaa, wanaojali etc..! Jifunze kuzijua tabia za mwanamke kwa apendacho na achukiacho then draw a road map of your relationship an... etc

Eti 2% ndio wazuri?!!...kweli umetuonea. 🙂
 
Eti 2% ndio wazuri?!!...kweli umetuonea. 🙂
Seriously mpo wachache sana...sana sana ni kwa wale wanaoanza mapenzi na wale waliotendwa vikauma sana ndo utaona wanajua jinsi ya kupenda but ni baada ya kuona dalili ama uhakikisho wa kupendwa na mwanaume aliye nae.
 
Hapo pa kuona uhakikisho wa kupendwa kuna ukweli, ni vizuri kuwa makini badala ya kuingia mazima. Lakini still, 2% bado ndogo sana bwana. Sema hata 40% basi, kama hutaki hata kutupa nusu. 🙂
 
Mkuu nifanyaje sasa.. Maana mimi sitaki kumchezea tu mtoto wa watu...
Kwanza mshughulikie maana huyo siyo Dada yako. Ndipo atakapo pata uhakika kuwa kweli were in mwanaume. Bila kumshughulikia hakuna cha kupendwa. Hata kama una pesa kiasi gani bila kumchomeka no Nazi bure. Kumbuka tu akiwa kwao kila kitu anapata, kasoro penzi la mwanaume. Maana nyumbani kuna baba, kaka ambao hawawezi kuchomeka.
 
Baadhi ya wanawake si wote Mkuu.

Back
Top Bottom