Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimeupenda sana ushauri wako ngoja nifanye kama ulivonieleza..Mahusiano yako yawe sehemu ya maisha yako,na wala yasiwe ndo maisha yako...
Nikiwa na maana usiyape kipa umbele cha kwanza ,tafta kitu kingine kiwe ndo dira na mwongozo wako katika maisha..
pia huyo binti mfanye sehemu ya maisha yako na wala asiwe ndo maisha yako yaan bila yeye huwezi kuishi ,
kanuni ni nyingi na siwezi andika zote ila kwa uchache ni hizo
Kwenye mapenzi usimuwazie mwenzio mabaya! mpende mpendeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeWeeeeeeeee!! Na siku akipata mchepuko akazamia hukohuko??
Hakuna njia ya kujizuia kumpenda mtu
Kama ushampenda kiasi hiko we mpende tu
Ikitokea mkabreak up utadeal with it kama ulivyoweza mwanzo
Vipi anakupenda? maana kupenda usikopendwa ni mbaya sana, utapoteza muda tu.Mkuu nifanyaje sasa.. Maana mimi sitaki kumchezea tu mtoto wa watu...
Upo sahihi kwa 100% mkuu huwa inategemea sana wewe jinsi ulivo..Huo ugonjwa ulishawahi kunisumbua wakati huo niko kijanakijana bado mbichimbichi, kadri siku zilivyosogea nikaja ng'amua kumbe haitatokea mkapendana na mwenza wako bila mikwaruzano ya hapa na pale. Ni vigumu sana kwangu kwa sasa kubabaikia papuchi, ni jinsi ww mwenyewe unavojityuni kwa mwenza wako
Achana na hisia(kuhisi)tafuta uhakika na hilo. Halafu unaweza kum-attract mtu yeyote asiyekupenda akakapunda, sijui unalijua hilo?Nahisi ananipenda sana maana ananiheshimu na pia namuona she is very happy with me..