Jinsi ya kujizuia usimpende sana mtu

Jinsi ya kujizuia usimpende sana mtu

Mkuu nifanyaje sasa.. Maana mimi sitaki kumchezea tu mtoto wa watu...
jaribu kutafuta binti mwingine awe rafiki yako na smt uwe unagegeda mkuu ,mana huyo akichukua hiamaya yote ni hatari siku akizingua,usimuamini binadamu mkuu mana hata MUngu muumbaji binadamu wanamuamini,kakataza mambo kibao ila hawamwamini wanafanya ya kwao wanayoona ndo sahihi,hebu jifikirie MUNGU alikubadilisha toka majimaji tena machafu sana yanayotia kinyaa i.e shahawa akakufanya ukawa wa maana ila bado binadamu hafuati maalekezo yake. so plz i beg u dont give her whole heart just a small portion of it. ila Mungu mpe wote yeeye habadiliki, yaani hapohapo tafuta mwingine uwe unachat naye anaku keep busy maana smt utapenda uwe naye karibu hata kwa chatting ila akiona ivyo atajawa/atavimba kichwa na kukuona sio chochote,so mda akizingua unaendelea kuchat na shosti wako mwingine mambo yanakuwa murua,pia epuka kumtumia sms kila siku ,ganda mpaka nayeye ndo akutafute,yaani mkuu ningeeandika mengi sana ila nitaandika uzi hapa wa kuwashauri vijana namna ya ku keep distance toka kwa huyo anayekuvuta, I have a lot to talk
 
hii dunia ukiwa na moyo wa kupenda sana utaumia sana, mpende kawida tu hata mambo yakienda ndivyo sivyo hakuna maumivu.
Kupenda ni kupenda tu,hainaga kupenda sana wala kidogo,acha kumdanganya mwenzio apende kidogo,huyo ndo tayari kasha zama tusubirie next episode.
 
jaribu kutafuta binti mwingine awe rafiki yako na smt uwe unagegeda mkuu ,mana huyo akichukua hiamaya yote ni hatari siku akizingua,usimuamini binadamu mkuu mana hata MUngu muumbaji binadamu wanamuamini,kakataza mambo kibao ila hawamwamini wanafanya ya kwao wanayoona ndo sahihi,hebu jifikirie MUNGU alikubadilisha toka majimaji tena machafu sana yanayotia kinyaa i.e shahawa akakufanya ukawa wa maana ila bado binadamu hafuati maalekezo yake. so plz i beg u dont give her whole heart just a small portion of it. ila Mungu mpe wote yeeye habadiliki, yaani hapohapo tafuta mwingine uwe unachat naye anaku keep busy maana smt utapenda uwe naye karibu hata kwa chatting ila akiona ivyo atajawa/atavimba kichwa na kukuona sio chochote,so mda akizingua unaendelea kuchat na shosti wako mwingine mambo yanakuwa murua,pia epuka kumtumia sms kila siku ,ganda mpaka nayeye ndo akutafute,yaani mkuu ningeeandika mengi sana ila nitaandika uzi hapa wa kuwashauri vijana namna ya ku keep distance toka kwa huyo anayekuvuta, I have a lot to talk
Aiseeee mkuu nimekuelewa balaa hebu twende pm kabla haujaandika huo uzi..
 
Kupenda ni kupenda tu,hainaga kupenda sana wala kidogo,acha kumdanganya mwenzio apende kidogo,huyo ndo tayari kasha zama tusubirie next episode.
Bado sijazama kabisa ila nahisi kuzama maxima..
 
Hivi hushangai maprofesa kote duniani hawajawahi kuzindua dawa ya mapenzi?

Wewe unaasili ya gonjwa LA mapenzi

Na

Halitibiki gonjwa lako
 
Dracula unaonekana umeathirika kimawazo baada ya ex wako kukuacha. Uliumwa na nyoka unaona Jani unashtuka.
Kama ulimpenda sana akakuacha haikuwa kosa lako, unaona kama ulikosea. Kumpenda sana si tatizo, tatizo ni mtu anayependwa lakini hapendeki.
Aisee ni kweli yaani nahisi nimeathirika kisaikolojia maana nahisi kosa langu lilikuwa ni kumpenda mtu kutoka moyoni
 
Habari za maisha ndugu zangu wa jf.. Matumaini yangu ni wazima wa afya njema huku mkiendelea na majukumu yenu ya kila siku..

Back to the main point..

Ni mwaka mmoja sasa umepita tangu niachane na mpenzi wangu niliempenda sana.. Nilijikuta katika wakati mgumu sana kuishi bila yeye maana nilikosa furaha mpaka nafsi ilikata tamaa.. Aliondoka kwa nyodo na dharau nyingi sana.. Nilikuja hapa jukwaani kuomba ushauri na nyinyi ndugu zangu mlinishauri vizuri sana..

Wapo walio sema ntapata mwingine na nitasahau yote ya nyuma na wapo pia walio sema kuwa sitakiwi kuingia mzima mzima katika mapenzi.. Pia nakumbuka kuna siku nlikuwa napiga story na baba akanambia"ukimpenda sana mwanamke utakuwa mpumbavu unatakiwa umpende kwa kiwango cha wastani tu ili usimpe ufunguo wa furaha yako".

Dhumuni la kuomba ushauri ni kwamba katika harakati zangu za kimaisha nimekutana na binti mmoja mzuri sana tena ana vigezo na sifa nyinyi hata kuliko yule alie utesa moyo wangu..

Nikasema nae mtoto akanielewa na akasema she loves me the way i am.. Na kiukweli kwa matendo yake tu inaonesha ananipenda sana kwa jinsi anavotumia muda wake mwingi kuwa na mimi na pia ananishauri vitu vya msingi sana katika maisha.. Hapa pia navoandika huu ujumbe namsubiri aje getto tukachek afya zetu...

Sasa shida inakuja sehemu moja... Nahisi kumpenda sana huyu binti kwa jinsi alivokuwa mzuri wa sura,umbo mpaka tabia.. Nahofia sana kumuamini maana naogopa sana kuumia moyo wangu tena... Kuna misemo mingi sana inayotoa onyo kali kuhusu kumuamini mtu na kumpenda sana..

Sasa ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyeje ili huyu mrembo ni mchukulie easy tu maana nahisi atanikolea sana..
Wanaojichubua nao wamoooooo.....
 
dah mapenzi hayana formula, isitoshe maisha yenyewe mafupi.Sasa ukijifanya humpend sana unamkomoa nani wakati moyo umeecha kufanya kazi yake ya kusukuma damu??Jiachie, mpende Muombe Mungu akusaidie maana wanawake ni mama zetu, sema ni viumbe dhaifu sana!
 
Bado sijazama kabisa ila nahisi kuzama maxima..
Mkuu kusema kweli upendo hauna kipimo,na ukisha anza kuhisi kuwa una muelewa mtu ujuwe hapo ni maombi Yana hitajika ili uweze kutoka huko ulipo......
 
Loves signals are induced fields similar to electromagnetic waves/signals which can act at distance between two or more lovers that controls and affects people's émotions, mental health, physical health and lifestyle.

Take Care , how you love in that way..hang have no cure [emoji41][emoji41]
 
Aisee ni kweli yaani nahisi nimeathirika kisaikolojia maana nahisi kosa langu lilikuwa ni kumpenda mtu kutoka moyoni

Hapana hukufanya kosa, kosa ni lake kwa kutorudisha penzi. Mapenzi yanatakiwa ku reciprocate, not hurt.
Ukijisikia kutoa penzi litoe tu, litarudi kwa wakati wake na sio lazima kwa uliye nae. Atatokea mwingine au hata huyu atakudondokea haswa, and if you hold back you lose. Afterall life is too short kufanya vitu nusu nusu.

Love like you've never been hurt.
 
Kupenda sana kunatokana na kukipenda kitu. wewe unapenda sana mapenzi, na umefanya kipaumbele chako, ndiyo maana unajikuta unampenda sana mpenzi wako. Anayependa sana kulewa, kipaumbele chake kitakuwa pombe, na atapenda sana pombe. Hivyo hivyo kwa anayependa Fedha, kazi au michezo/mazoezi.
Tafuta kitu kingine upenda kukifanya ili kiwe mbadala wa mapenzi. mapenzi ni ulevi mbaya sana! shtuka.
 
Back
Top Bottom