Ni balaa kwakweli ila ndipo tulipo fikia.Baba wa familia ametulia kwenye kisofa na miwani yake huku akiparaza simu. Watoto wanaacha makelele ndani wakijua baba anasaini mikataba
Ya Bukoba ndo balaaa mana mengi yalitokea Rwanda kipind cha vita acha kabisa weeeeeeh.Yaani asikwambie mtu machungwa ya tanga ni matamu sana hasa upate yenye maji mengi na kiharufu Cha asili mengi, nnakwambia utaloesha hadi ndevu, afu upate yenye kiharufu Cha asili.
Ni kutafuna na kufyonza tu mpaka ganda, maelezo zaidi kwenye picha.
View attachment 2539666
Mimi au Melki the StorytellerUnaweza kukuta huyu jamaa ndio anategemewa na ukoo kwa busara zake. Yani bila yeye kuwepo, kikao kinaghairishwa!
Ndio aisehHihi Kuna kitu inaitwa bukoba π€£
π€£Baba wa familia ametulia kwenye kisofa na miwani yake huku akiparaza simu. Watoto wanaacha makelele ndani wakijua baba anasaini mikataba
ππMh sio chungwa chungwa hapa kuna lugha gongana, haya bhana endelea kuinjoi
Sema yako juicy sana hadi rahaπππ
Nilikuwa nashangaa hapa, chungwa gani unakula kwa kuchomeka ulimiπ
Halafu na huo mkao wa vidole
So, Kwa habari ya maji,Sema yako juicy sana hadi rahaπ