Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

Shati jeusi , dark blue yanapendezea.
Mashati ya draft pia ukipata la blue na nyeupe liko poa.
mkuu umenisaidia vya kutosha, but kuhusu hilo shat la dark blue, hiv inakua bluu iliyokoza au mpauko? msaada pliz.
 
acha kuharibu thread za watu wewe.....unajua uhusiano wangu na miss chagga au unadandia tu comment za watu? usiharibu hali ya hewa humu watu wako na amani humu.
Lol!
Watu wengine sijui wakoje?Wanadandia maongezi ya watu bila aibu,ni kukosa ustaarabu huko.
 
Mimi nikiwa kama mdau mkubwa wa fashion niliyetukuka itakuwa dhambi kwangu kukaa kimya bila kusema lolote hapa.
Kama nilivyosema,napenda sana kupendeza....haijalishi ni casual au lah,kikubwa kwangu ni muonekano bomba na uliotulia.

Wanaume walio wengi hawajui kuvaa tofauti na wadada,binafsi navutiwa sana na mwanaume anapovaa shati jeusi,sijui kwanini ila napenda mnoooo!
Avae la mikono mifupi au mirefu na aikunje design liishie kwenye kiwiko na avalie jeans matata nyeusi au dark blue ananoga sana.

Katika first date huwa navutiwa sana na mwanaume ambaye amevaa shati smart tofauti na t-shirt....
Akivaa T-shirt hata iwe nzuri kiasi gani,au hata avae designer hawezi nivutia kama aliyevaa shati na hasa jeusi,na lilanoga zaidi likiwa model (limfit sio limpwae).
 
Hadi nimekumbuka siku moja nilipata kidate (honestly... was a blind date) basi bwana Nifah mie nikavunja kabati,nikatupia vitu vyangu nikajitazama nikaona hapa fresh....
Balaa nililoenda kukutana nalo huko sio kidogo,nilikutana na mkaka hajielewi....kavaaje sijui,hicho kiatu nilikiangalia mara moja tu sikurudia tena.

Mwenyewe alijishtukia akaanza kubabaika,oooh mtoto Nifah wewe mkali sana mimi namuangalia tu.
Uzuri nina huruma na utu,sikutaka kumfanya ajione nimemdharau au nimekuwa dissapointed,nilimchangamkia tu ila baada ya kutoka pale kufika home nilikasirikaje?

Inakera unapovunja kabati halafu unaenda kuonana na mtu wa kawaida!

Baada ya pale nilimpotezea taratibu hadi leo!
 
As much as we like to follow unwritten society laws, bottom like we should let people decide for themselves what makes them happy. Anachokipenda A sio anachopenda B and vice versa.

So as long as alievaa yuko comfortable, tujizuie kuwa judgemental, maana while we unamshangaa mmoja, kuna mwingine nyuma yako anakushangaa wewe.
 
Mimi nikiwa kama mdau mkubwa wa fashion niliyetukuka itakuwa dhambi kwangu kukaa kimya bila kusema lolote hapa.
Kama nilivyosema,napenda sana kupendeza....haijalishi ni casual au lah,kikubwa kwangu ni muonekano bomba na uliotulia.

Wanaume walio wengi hawajui kuvaa tofauti na wadada,binafsi navutiwa sana na mwanaume anapovaa shati jeusi,sijui kwanini ila napenda mnoooo!
Avae la mikono mifupi au mirefu na aikunje design liishie kwenye kiwiko na avalie jeans matata nyeusi au dark blue ananoga sana.

Katika first date huwa navutiwa sana na mwanaume ambaye amevaa shati smart tofauti na t-shirt....
Akivaa T-shirt hata iwe nzuri kiasi gani,au hata avae designer hawezi nivutia kama aliyevaa shati na hasa jeusi,na lilanoga zaidi likiwa model (limfit sio limpwae).
Ume eleweka vyema bidada, changamoto kubwa tuliyonayo, huwa hatuna muda wa kukaa kwenye kioo. also ni bahat kupata mwanamke mfano wako anaejua kumpangilia mwenza wake atoke chicha.
 
mkuu umenisaidia vya kutosha, but kuhusu hilo shat la dark blue, hiv inakua bluu iliyokoza au mpauko? msaada pliz.
Mashati waliyo vaa hawa ndio dark blue ninayomaanisha
1456499288003.jpg
1456499307570.jpg
 
Hivi rangi tanashati za nguo kwa mwanaume ni zipi.......?.....kwa sababu kwangu mimi ukinivalia shati jekundu nakuona kama Poacher.....ila ukitupia tshirt nyekundu na jeans flan amaizing.......nakuona kama Taye Diggs........
Hahahaaaa! Khaaah eti shati jekundu! Kuna rangi kwa wanaume ni janga.
 
Mfano nkaja na hiyo suti yangu nayoipenda sana, itakuwaje?
Umenikumbusha chuoni, kulikuwa na msukuma mmoja ana suti yake ya purple inang'aa hiyo, nilikuwa nikimuona nayo nashindwa kumshangaa.
 
Back
Top Bottom