JINSI YA KUMFIKISHA MKEO MSHINDO WAKATI WA TENDO LA NDOA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwanamke ni kiumbe anayehitaji Sanaa yร ani ufundi ili uweze kuishi naye Kwa Amani. Tunapozungumzia Sanaa au ufundi tunazungumzia yale maagizo ya kuishi nao Kwa AKILI Kwa sababu Huwezi kuwa Fundi pasipo Akili. Ufundi ni Akili au ubunifu ambao huleta รปzuri katika Jambo lolote.
Usitumie รguvu kรปbwa unapokabiliana na Mwanamke. Kwa Sababu siรด sehemu yake. Matumizi ya รguvu Kwa Mwanamke labda utumie Akili tisini รguvu Kumi.
Hata turudi kwรจรฑye Mada maana wengi mnasema Taikon nawachoshaga na maandiko marefu. Nami Siku hizi nishakuwa Mtu mzima hivyo naanza kuhisi uchovu.
Wanawake wengi wamekuwa wakinipigia Simu wakinilalamikia kuwa tangu wawe kwรจรฑye mahusiano Yao hawajawahi kufika MSHINDO, yร ani hawajawahi kufurahia tendo la Ndoa na wenza waรด.
Na Siku zinavyozidi kwenda ndivyo ongezeko la idadi ya wanawake wasiofurahia tendo la Ndoa ndivyo linavyozidi kuongezeka. Hivyo Mimi kama Mtibeli nikaona isiwe Kesi ngoja niandika ร ndiko Hili ร mbalo litawasaidia Vijana na Wanaume ambao wร po tayari kuwafurahisha wenza wao.
Elewa tendo la Ndoa linahitaji mambo yafuatayo;
1. Afya ya รkili iliyotulia.
2. HISIA Kali za Mapenzi
3. Mwili Safi weรฑye Afya.
Kimoja Kati ya hivyo kikipungua NI ngumu Kwa Mwanamke kufika au kumfikisha Kileleni au MSHINDO.
Zifuatazo ni Mbinu za kuweza kumfikisha Mkeo au mwenza wako MSHINDO au Kileleni Wakati mnapofanya tendo la Ndoa;
1. Mvuto na usafi
Mvutie mkeo. Mfanye Mwanamke wako akutamani. Yร ani akikuona anakusikia Hamu ya tendo la Ndoa.
Mvuto wa kiume siรด lazima รบwe na sura nzuri kama mahandsome. Kama Huna sura ya mvuto unaweza kukufanya Mwili wako umvutie Mkeo au Wanawake Kwa ujumla. Kuwa na Mwili aa kiume, Mwili mkakamavu na shupavu kama Mwanaume.
Kama Sisi Wanaume tunavyovutiwa na Wanawake weรฑye maumbile ya Kike, shape na makalio Fulani hivi ndivyo vivyohivyo Wanawake tamaa zร o huchochewa pindi waonapo Mwili mkakamavu wa Mwanaume.
Ukakamavu na ushupavu mpaka kwรจรฑye Uume wako.
MSHINDO na Kileleni huanzia kwรจรฑye kipengele cha mvuto wako Kwa Mkeo kwani itachochea tamaa na HISIA Kali za รฑgono Kwa Mkeo.
Usafi ni Jambo jingine. Unaweza kuwa mkakamavu na mvuto wa kiume lakini uchafu ukamfanya Mkeo asiwe na hisia za รฑgono, mapenzi na wรฉwe Kwa sbbu ya uchafu wako unanuka harufu mbaya, jasho Kali linalokera.
Elewa kama vile unavyokereka ukisikia harufu mbaya ya Mwanamke ndivyo hivyohivyo nao hukereka.
Safisha kinywa Kiwe kisafi.
Oga na ujisugue Vizuri Kisha upake mafuta mazuri.
Usivae boksa au nguo ya ndร ni Muda mrefu zaidi ya Siku tatu.
2. MFANYE MKEO AWE HURU.
Mkeo asipokuwa Huru Kwako atakuwa Huru Kwa Mwanaume Mwingine Hilo Wala siรด swala la kuuliza.
Mwanamke ร mbaye anakuogopa hawezi kuwa na hisia za Mapenzi na wรฉwe. Na kama Hana HISIA na wรฉwe NI wazi Huna namna yoyote ya kumfikisha MSHINDO.
Unamfokea fokea Mkeo, unamtukana tukana Mkeo. Unampiga piga Mkeo. Mkeo anakuogopa. Hayupo Huru na wรฉwe. Huyo Kamwe hawezi kufurahia mapenzi utakayokuwa unampa.
Unamlaumu laumu Mkeo. Hujawahi kumsifia, na hupendi kumsifia Mkeo alafu unategemea atakuwa Huru Kwako. Elewa, Mwanamke huwa Huru Kwa Mtu anayemsifia Sana. Kumsifia Mwanamke kunamuongezea Mwanamke kujiamini na kuwa Huru awapo mbele yako.
Kuwa Mr. Right au Mr. Perfect ร mbaye Unajiona Bora na kujifanya unajua kรฎla kitu na hutaki kukosolewa Kamwe Huwezi mfikisha Mkeo Kileleni Kwa sababu Mkeo atakuwa anashindwa kukwambia ukweli hata Wakati wa tendo la Ndoa. Hata akiumia Wakati unamfanya hutojua Kwa sababu ya u-perfectionist wako. Kujifanya mkamilifu na unajua kรฎla kitu.
Mfanye Mkeo awe Huru. Lazima Afike MSHINDO.
3. MAWASILIANO
Hoja hii itakuja automatically baร da ya Mkeo na wewe kuwa Huru Baina Yenu. Mwanamke Hawezi kuwasiliana Kwa tร arifa nyeti hasa za รฑgono na Mtu asiyehuru kwร ke.
Wanawake wameumbwa na haya(aibu)
Lakini haimaanishi kuwa wataendelea kuwa na aibu endapo รปtawapa Uhuru na kujiamini.
Mkeo akiwa Huru lazima akuambie Kwa madoido kuwa Leo anataka ukamfanye mpaka azimie au Leo anataka Polepole. Au anataka mtindo Fulani, au Wakati mnafanya mnakuwa na mawasiliano huku yeye naye akikuambia namna ya kumfanya ili wote mfurahie.
Mkeo kama hajafika MSHINDO lazima akuambie kuwa Leo hujamfikisha au hujamfanya akajisikia Vizuri. Nawe Kwa vile upo Huru na siรด Mr. perfect hutojisikia vรฎbaya zaidi utafurahi Kwa kukupa feedback. Na atakuambia sababu ya kutokufika NI nini.
Mawasiliano Wakati wa tendo NI matokeo ya Maisha Yenu ya Kรฎla Siku.
Kama Mwanamke Hana mawasiliano na wรฉwe Wakati WA Tendo NI rahisi kukuficha mambo Makubwa katika Ndoa au familia Yenu.
4. Usafi wa Uke na uume.
Hakikisheni kรฎla mmoja wenu sehemu zenu za Siri ni Safi. Wรดte mmenyoa Vizuri ili nywele zisichubue Uke.
Elewa nywele nyingi sehemu za Siri huchubua Uke na Wakati mwingine Uume. Hii inafanya Mwanamke kรปsikia maumivu Wakati unamfanya.
Uwรจpo wa Fangasi pia ni sababu ya uchafu wa Uke. NI Vizuri mkatibu Fangasi Kwanza alafu baร da ya kupona รฑdipo mfanye mapenzi kwani Mwanamke akiwa na Fangasi Wakati Mwingine hujisikia maumivu Wakati wa tendo na hii kumfanya asijisikie utamu wa kumfikisha MSHINDO.
Ukavu wa Uke pia ni sababu ya Mwanamke kutofika Kileleni.
Usipake Mate Wala kupaka Mafuta Wakati wa tendo. Utamuumiza tuu Mkeo au Mwanamke wa Watu.
Ukavu wa Uke tafsiri yake bร do Uke haupo tayari kuingiliwa. Uke ukiwa tayari automatically utatoa Majimaji kwaajili ya kuingiliwa.
Kwa wale weรฑye Uteute mdogo unaokauka haraka wanashauriwa wale vyakula kama bamia na matunda.
Mwanamke anaweza akawa na HISIA za kufanya รฑgono lakini Uke wake usiwe tayari Kwa kuingiliwa. Hii ni Sawa na Sisi Wanaume unaweza Ukawa na Hamu ya kufanya รฑgono lakini Uume usiwe umesimama. Kรปna sababu nyingi zinazopelekea hayo.
Kumfanya mwanamke Uke Ukiwa Mkavu kutamfanya aumie, na kumchubua hii itapelekea asifike MSHINDO Kwa namna yoyote na Wakati mwingine kuathirika kisaikokojia na kuchukia tendo Kwa Wakati Mwingine.
5. Muishi Kwa Upendo Siku zote siรด uonyeshe mapenzi Wakati ukitaka tendo.
Ukiishi na Mkeo Kwa Upendo Siku zote kumkojoza haichukua hata dakika tano. Atakojoa hata mara tatu Wakati wewe bร do hata hujakojoa hata mara Moja.
Wanawake Wanaongozwa na HISIA. Unavyoishi naye Kwa Upendo na kumjali huzidi kumfanya azidi kuwa na hisia na wรฉwe na hii itakusaidia Wakati unampa mjegeje.
6. Mwanamke asifanye Kazi nyingi na ngumu zinazomchosha Sana.
Jitahidi kadiri uwezavyo kumrahisishia Mkeo Kazi za Hapo nyumbani. Kadiri Mwanamke anavyofanya Kazi nyingi ndivyo ร mbavyo ugumu WA kumfikisha Kileleni unavyoongezeka.
Mwanamke akichoka hawezi kuwa na hisia za รฑgono au mapenzi. Na kama anakosa HISIA za รฑgono automatically kufika MSHINDO NI kipengele.
Mikazi ya Nyumbani inapokuwa mingi humchosha MKEO na ataanza kukuchukia. Mwanamke hupenda Vitu Vizuri na rahisi hivyo mrahisishie Maisha Kwa njia zifuatazo;
a) mtafutie Msaidizi WA Kazi za Nyumbani.
Atakayemsaidia vijikazi vya Hapo nyumbani
Kama Huna Pesa ya Mshahara fuata njia namba Mbili
b) mnunulie Mashine za kumrahisishia Kazi.
Mfano Mashine za Usafi na kufulia, majiko ya kisasa ya kupikia, muwekee bomba la Maji ndร ni Kwa ndร ni, n.k
Kama hii itakushinda, fuata njia ya mwisho Hapo CHINI.
c) Msaidie Kazi. Saidianeni Kazi.
Kama anaosha Vyombo wewe pika au fua nguo. Au wรดte mnafua,
Kama anapika wewe pasi nguo.
Rahisisha Maisha ya Mkeo.
Elewa, Mwanaume kufanya Kazi ngumu nyingi humjenga na kumfanya aimarike na kuwa mkakamavu na shupavu Kwa sababu ya misuli lakini Kwa upande WA Mwanamke ni tofauti. Mwanamke afanyapo Kazi ngumu na nyingi hufifia na kudorora yร ani anachakaa.
7. Usimpe Stress na kumfanya asijihisi anapendwa.
Mjali Mkeo Kwa Yale yรดte uliyojaliwa. Usimpe Stress mfanye ajione yu Pekeake.
NI kwรจli Sisi Wanaume tunatamaa ya Wanawake Wengine na Hilo Wanawake hata Mkeo analijua lakini hakikisha unamuaminisha kuwa Hakuna Mwingine zaidi yake hata kama wewe unamambo yako Kwa Siri.
Ikiwa unashindwa kujizuia Sana. Ukaamua kuchepuka Basi usiwe na mchepuko WA kudumu kama Mkeo yร ani kumfanya awe kama Mke WA pili. Chepuka ukiwa na tamaa lakini siรด umpangie Mwanamke Mwingine Nyumba, sรฎjui umhudumie Kabisa hiyo itamuumiza Sana Mkeo na itakuwa mwanzo mbaya WA familia yenu.
Elewa, Mkeo hata akisikia umeenda club au Casino kucheza na Malaya ataumia lakini hataumia kama akiona kรปna Mwanamke mara Kwa mara mnawasiliana. Yร ani ร mbaye anahatarisha nafasi yake katika Moyo wako.
Mkeo hatishwi na Makahaba au Malaya wanaojiuza. Anatishwa na MICHEPUKO inayojirudiarudia.
8. Kushindwa Kumtunza na Kumjali kama Mkeo.
Mwanamke akishaona kรปna kitu unakijali na kukipenda kuliko yeye NI ngumu kumfikisha Kileleni Kwa sababu anajua haumpendi na Mwanamke HAYUPO Huru Kwa Mtu asiyempenda.
Mfano Mwanamke akigundua unapenda Wazazi wako na kuwajali kuliko Kumjali yeye. Au unapenda ndugu zako kuliko yeye Hapo HISIA na wรฉwe Kwa hakika zinaisha.
Mwanamke anahitaji รบwe na รkili za kumfanya ajihisia yeye ndiye namba Moja kwร ke hata kama NI uongo.
Hata kama kรปna Jambo ambalo unalipenda kuliko Mkeo usiwe mjinga yร ani usiwe na รkili ndogo kumpumbaza, kumlaghai Mkeo kuwa yeye NI Bora kuliko chochote.
NI ishu complicated lakini rahisi Sana kuifanya kama utatumia AKILI.
Elewa ili Watu wamchape Mkeo au wanaochapa Wake za Watu hutembelea Ramani hiyo.
Hiyo kumpa Pesa NI Kwa Mwanamke aliyekosa Upendo wa kwรจli na Hapo Huona Pesa ndรฎo kimbilio pekee lililobaki kwaajili ya mambo yake binafsi Kwa sababu Mwanamke ร mbaye hajawahi kupendwa au aliyewahi kuumizwa huwa mbinafsi Kwa kiwango cha juu tofauti na wale Wanawake waliobahatika kupendwa Kwa dhati.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam