Jinsi ya kumfanya Mwanamke akuheshimu pasipo kumshurutisha

Kabla ya kulalamika kwamba mke wako hakuheshimu, kwanza jiulize mwenyewe kama unaheshimika.

Heshima ipo kwa wanaostahili, si kwa wanaodai. Jiheshimu kwanza na yeye atakuheshimu. Huwezi kulala na kila mwanamke unayekutana naye na utarajie heshima kutoka kwa mkeo.

Huwezi kumfokea mkeo, kumuaibisha na kumwita majina ya hovyo, na utarajie heshima kutoka kwake.

Ukimuita mshamba au jina lolote baya na yeye atakuita mbwa wewe [emoji23]

Ikiwa una afya na unakataa kufanya kazi, sahau kupewa heshima na mkeo.

Siku zote mwanaume anayejiheshimu yuko salama katika ndoa.

Heshima ni njia mbili, ikiwa unataka kuipata, lazima ujiheshimu kwanza na ndipo utaheshimiwa.

Ikiwa unataka mke wako azungumze nawe vizuri, mtendee vizuri pia.

Acha kupoteza maisha yako kwenye baa. Baada ya kazi tumia wakati wako na mkeo nyumbani

Muogeshe naye atakuogesha. Msaidie kazi za nyumbani kama vile kupika, kutosha vyombo na kufuta chupi zenu pamoja.

Mfanyie Suprise kwa vijizawadi vidogo vidogo hata vya chupi, pedi sindiria nk.

Mpe pongezi kila siku. Tembea naye jioni ukiwa umeshikana naye mikono.

Fanya wakati wake wa kulala uwe wa kukumbukwa kwa kumpelekea moto kisawasawa [emoji7][emoji8].

Mtoe out mkacheze muziki mkiwa mmekumbatiana kwa mahaba mazito kila weekend.

Utapata heshima yako kwa kujiheshimu mwenyewe kwanza na kuwajibika ipasavyo kwa mkeo .

Utaheshimika tu kama unavyoheshimu. Tabia, sio jinsia, ndiyo inayokupa heshima.

Wanaume tuliopo katika ndoa tuamke!

Ubarikiwe.
Hayo yote ni subsidiary
Mwanamke anataka hela ndipo akuheshimu
 
siwez hayo mambo ya kitoto labda kwenye matukio muhimu kama harusi au kwenda kwenye mbuga sio disco au bar.
Sawa mpeleke popote unapoona panafaa.

Angalizo: usimfungie chumbani halafu wewe ukaenda disko peke yako utaharibu heshima yako
 
Kabla ya kulalamika kwamba mke wako hakuheshimu, kwanza jiulize mwenyewe kama unaheshimika.

Heshima ipo kwa wanaostahili, si kwa wanaodai. Jiheshimu kwanza na yeye atakuheshimu. Huwezi kulala na kila mwanamke unayekutana naye na utarajie heshima kutoka kwa mkeo.

Huwezi kumfokea mkeo, kumuaibisha na kumwita majina ya hovyo, na utarajie heshima kutoka kwake.

Ukimuita mshamba au jina lolote baya na yeye atakuita mbwa wewe [emoji23]

Ikiwa una afya na unakataa kufanya kazi, sahau kupewa heshima na mkeo.

Siku zote mwanaume anayejiheshimu yuko salama katika ndoa.

Heshima ni njia mbili, ikiwa unataka kuipata, lazima ujiheshimu kwanza na ndipo utaheshimiwa.

Ikiwa unataka mke wako azungumze nawe vizuri, mtendee vizuri pia.

Acha kupoteza maisha yako kwenye baa. Baada ya kazi tumia wakati wako na mkeo nyumbani

Muogeshe naye atakuogesha. Msaidie kazi za nyumbani kama vile kupika, kutosha vyombo na kufuta chupi zenu pamoja.

Mfanyie Suprise kwa vijizawadi vidogo vidogo hata vya chupi, pedi sindiria nk.

Mpe pongezi kila siku. Tembea naye jioni ukiwa umeshikana naye mikono.

Fanya wakati wake wa kulala uwe wa kukumbukwa kwa kumpelekea moto kisawasawa [emoji7][emoji8].

Mtoe out mkacheze muziki mkiwa mmekumbatiana kwa mahaba mazito kila weekend.

Utapata heshima yako kwa kujiheshimu mwenyewe kwanza na kuwajibika ipasavyo kwa mkeo .

Utaheshimika tu kama unavyoheshimu. Tabia, sio jinsia, ndiyo inayokupa heshima.

Wanaume tuliopo katika ndoa tuamke!

Ubarikiwe.
Wengine Kuwaheshimu Kwetu Wanawake ni Kuwasugua mno na bila Huruma / Msalia Mtume hadi Sugu kuwatoka Ikuluni Mwao.
 
Kwa awamu hii labda. Awamu iliyopita wamaskini ndio tulikuwa ma celebrities hadi raha yaani.

Ilikuwa ukitaka kusifiwa kwenye jamii uwe masikini
Mtu mwenye akili ya kimaskin siku zote anaona umaskini wake umesababishwa na matajiri , wakipata msemaji wao mwenye nguvu kimamlaka wanasahau shda zao.
 
Kabla ya kulalamika kwamba mke wako hakuheshimu, kwanza jiulize mwenyewe kama unaheshimika.

Heshima ipo kwa wanaostahili, si kwa wanaodai. Jiheshimu kwanza na yeye atakuheshimu. Huwezi kulala na kila mwanamke unayekutana naye na utarajie heshima kutoka kwa mkeo.

Huwezi kumfokea mkeo, kumuaibisha na kumwita majina ya hovyo, na utarajie heshima kutoka kwake.

Ukimuita mshamba au jina lolote baya na yeye atakuita mbwa wewe [emoji23]

Ikiwa una afya na unakataa kufanya kazi, sahau kupewa heshima na mkeo.

Siku zote mwanaume anayejiheshimu yuko salama katika ndoa.

Heshima ni njia mbili, ikiwa unataka kuipata, lazima ujiheshimu kwanza na ndipo utaheshimiwa.

Ikiwa unataka mke wako azungumze nawe vizuri, mtendee vizuri pia.

Acha kupoteza maisha yako kwenye baa. Baada ya kazi tumia wakati wako na mkeo nyumbani

Muogeshe naye atakuogesha. Msaidie kazi za nyumbani kama vile kupika, kutosha vyombo na kufuta chupi zenu pamoja.

Mfanyie Suprise kwa vijizawadi vidogo vidogo hata vya chupi, pedi sindiria nk.

Mpe pongezi kila siku. Tembea naye jioni ukiwa umeshikana naye mikono.

Fanya wakati wake wa kulala uwe wa kukumbukwa kwa kumpelekea moto kisawasawa [emoji7][emoji8].

Mtoe out mkacheze muziki mkiwa mmekumbatiana kwa mahaba mazito kila weekend.

Utapata heshima yako kwa kujiheshimu mwenyewe kwanza na kuwajibika ipasavyo kwa mkeo .

Utaheshimika tu kama unavyoheshimu. Tabia, sio jinsia, ndiyo inayokupa heshima.

Wanaume tuliopo katika ndoa tuamke!

Ubarikiwe.
Nina uhakika umri wako hauzidi miaka 24 na miezi 5.
Bado mshamba sana kwa hawa viumbe.
Nasubiri ukikua utakuja kuukataa huu Uzi wako
 
Huwajui Wanawake wewe!
Wao wenyewe hawajuagi wanataka nini!!!
 
Back
Top Bottom