Jinsi ya kumfanya Mwanamke akuheshimu pasipo kumshurutisha

Mkuu kwanza kbsa ndoa ni utapeli , kwa msimamo wangu huu kuhusu ndoa bado haujanipinga.
 
Hata kama ndio kila mtu anatamani lakini ndio utamani tabasamu la mtu
 
vijana wakisikia kuheshimiwa na mwanAmke utasikia mpelekee moto, ukiwa na hela atakuheshimu kila mtu sio huyo mke wako tu!
 
Mbona mie natamani kwapa la mrembo....acha kabisa kwenye malove kila mtu na udhaifu wake
Kila kiungo cha mrembo kina kazi yake kwa mwanamume, sema tu kuna wanaume washamba washamba wao hukimbilia chini ya kitovu tu 😀
 
Kila kiuno cha mrembo ni kina kazi yake kwa mwanamume, sema tu kuna wanaume washamba washamba wao hukimbilia chini ya kitovu tu 😀
Kabisa kama mie huniambii kitu kwapa yaani naweza mbwaga mrembo kama sijapenda kwapa lake...napenda lamba kwapa
 
Wanawake wenyewe hawa wa dotcom kuwa na wananume wanne sio ishu kabisa
Ila hawafanyi poa kumiliki wanaume zaidi ya mmoja maana husababisha wajuba kutwangana mangumi wakihisi kuwa wanachangia demu mmoja 😂
 
Ila hawafanyi poa kumiliki wanaume zaidi ya mmoja maana husababisha wajuba kutwangana mangumi wakihisi kuwa wanachangia demu mmoja 😂
Ah acha bwana wawe na wanaume wengi sii ndio tusambaziane ukimwi vizuri au mnataka tufe wachache tuu jamani🤣🤣🤣🤣
 
nilimuuliza shemeji yangu umenipendea nini wakati jamaa ana kila kitu kunizidi .alichonijibu eti amependa ninavyo tabasamu.nilichoka hadi sasa sielewi hawa wanawake wanataka nini.
Acha kutabasamu mbele ya mwanamke mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…