Nahakika wewe ujaoa.wanawake hadi leo hawajaeleweka wanataka nini
Nakutolea mfano wa kweli.
Mimi nilikuwa na rafiki yangu.
Jamaa alikuwa anaishi na mwanamke ila ajafunga nae ndoa na jamaa alikuwa ana kila kitu kunizidi mimi .
Pesa alikuwa nazo za kutosha alikwa ni askali na anakitengo kikubwa tu jeshini .tulizoeana nikawa naenda kwake na hadi mkewake akanizoea ikawa shemeji shemeji . jamaa yangu alienda kozi yule shemeji yangu akawa ananiletea pigo za kunitaka kwa sababu alikuwa mzuri na mimi nikanasa kwenye mtego wake ila nilijuta sana kumsaliti jamaa yangu na nilimuuliza shemeji yangu umenipendea nini wakati jamaa ana kila kitu kunizidi .alichonijibu eti amependa ninavyo tabasamu.nilichoka hadi sasa sielewi hawa wanawake wanataka nini.