min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mkuu kwanza kbsa ndoa ni utapeli , kwa msimamo wangu huu kuhusu ndoa bado haujanipinga.Napingana na wewe pesa sio kila kitu
Juzi juzi tu hapa tumetoka kushuhudia ndoa za matajili wa wakubwa zimevunjika na wanapesa za kutosha mfano Bill gate na wengine wengi.ukichunguza watu wenye pesa hawana muda na wapenzi wao they so busy kutafuta pesa na siku zote ukae ukijua mapenzi yana nafasi yake katika maisha ndio maana watu wenye pesa hawadumu katika ndoa.