Jinsi ya kumfanya Mwanamke akuheshimu pasipo kumshurutisha

Labda useme kingine. Nijuavyo mie kila mtu atakufa so bora nife kwenye mbususu maana narudi kule nilipotokea
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa.

Oa tu ubaki na mkeo ama wakezo mambo ya kugonga gonga kila demu yatakupeleka kwenye ujinga kisha utaishia jehanamu ukose hata wale mabikira sabini 😂
 
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa.

Oa tu ubaki na mkeo ama wakezo mambo ya kugonga gonga kila demu yatakupeleka kwenye ujinga kisha utaishia jehanamu ukose hata wale mabikira sabini 😂
Wala usiwe na wasiwasi kaka. Kweli mie ni mjinga sina akili kabisa na pia nafsi yangu ilisha nihukumu kuwa mie ni wa motoni. Hilo nilishakubaliana nalo
 
Nakuombea upone kaka, sio poa ukose kuingia peponi kisa mademu.
Wala usiwe na wasiwasi kaka. Kweli mie ni mjinga sina akili kabisa na pia nafsi yangu ilisha nihukumu kuwa mie ni wa motoni. Hilo nilishakubaliana nalo
 
Waombee wengine mie nilisha shindikana bro.🤣🤣🤣🤣
Hapana acha kumpa nafasi ibilisi, kwanza hakupendi 😁

Mie nitakuombea tu hata kama hutaki nitaomba na kuombea pia mkunyenge wako ulale mazima ili uokoke 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…