Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake

Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake

Aisee kumbe na juzi tarehe3 umefungwa tena na Yanga.ole sana nakumbushia tu mkuu maumivu uliyopata juzi
#
 
Give me tickets to diffent destinations once every year.
Just the two of us, singing, dancing, laughing at our jokes and whisper sweet nothing words while cudling.

My man, my Dadii 😘.

Forever and Always.
Kuna mtu humu sema kashaoa angekufaa.
 
Mnajifariji tu, wapeni hela fala nyie... Mwanamke wa kizazi hiki hajali kukojozwa wala nini, mchawi wake ni pesa
 
Ngoja waje kuapia kama haya usemayo ni kweli...
 
Kuna watu wanashindwa kutofautisha suala la mapenzi yaani upendo na pesa kwa kudhani kuwa pesa ndio itakufanya uwe salama katika mapenzi jambo ambalo si sahihi hata kidogo

Labda kama unataka slay queens hapo pesa itahusika lakini kama na hao slays wana hisia maana yake na wao wana watu wanaowaependa sasa wewe mpe hela na yeye anampelekea mtu wake hapo umepigwa tu na hela zako

Pia kuna kufanya mapenzi na kumaliza hamu za kijinsia sasa hao wanaosema kila kitu pesa humaliza tu hamu na si kufanya mapenzi kitu ambacho hata nyeto inaweza

Ushauri;tafuta pesa ili kukimu maisha na usitegemee pesa kukimu mapenzi au upendo

Sehemu ya mapenzi na upendo ukiweka pesa umefeli
Na sehemu ya pesa ukiweka mapenzi au upendo umefeli kwa sababu pesa ni kwa ajili ya maisha yahitajiyo pesa na si kwa ajili ya upendo na mapenzi
 
Oa mwanamke mwenye akili na hofu ya MUNGU kwa ajili ya stability ya kizazi chako, kuwa baba na timiza majukumu, tumia muda kutafuta pesa.

Hayo mengine yote ni maigizo. Acheni kusikiliza nyimbo za mapenzi na tamthilia. Utakuja kujikuta una miaka 40 unakimbizana na maua na keki sijui true love upumbavu fulani hivi.
[/QUOhahhahahahahah
 
Mkuu unataka kusema kumpa mwanamke Zawadi ya cake ktk birthday yake ni bora kuliko kumpa funguo za gari mpya?


Pesa ndy kila kitu mkuu... Wacha kujitesa na hisia za movie uchwara.
Je Kama magari anayo mengi, atakuona umempatia cha maana?
 
Hizo drama ukimfanyia mtoto wa darasa la 7 mpaka form 4 ndio utawakamata au wanawake walioko nje ya muda wale miaka 37 and above .

Hawa walioua 6 kufika chuo kikuu wakapigwa mikuyenge ya kila aina na starehe za gharama kulala mahotelini kama popo hapa mjini wao ni pochi tu! Ukiingia kwa gia yeyote hakikisha una pesa tu ya kusimamia pambano! Ukionesha choka mbaya tu ujue imekula upande wa dereva [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa ndo wanawapaga madem zao maua hawa wakiamin demu wa kibongo anapenda maua...demu wa kibongo mpe chakula....savanah..k vant...atakuthamin sana
Hakika mkuu...
Pesa ndy uchawi no moja duniani.. Kwa chochote kile..
 
Back
Top Bottom