Mr_Teacher
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 362
- 343
Mmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hela anayo lkn katibu wa kanisa kafanyajeSijasoma chochote, Ila naomba niseme yote hayo bila pesa ni Sawa na Bure.
Haitoshi hii kukidhi vyoote.. utakumbukwa wakati wa nyege tu... Ila yupo ambaye atakumbukwa kupanga mipango ya maana, na atakuwepo wa kutoka nae out.Hakuna limbwata mkojoze tu
Muulize masanja mkandamizaji aliyekandamiziwaOa mwanamke mwenye akili na hofu ya MUNGU kwa ajili ya stability ya kizazi chako, kuwa baba na timiza majukumu, tumia muda kutafuta pesa.
Hayo mengine yote ni maigizo. Acheni kusikiliza nyimbo za mapenzi na tamthilia. Utakuja kujikuta una miaka 40 unakimbizana na maua na keki sijui true love upumbavu fulani hivi.
Nitag post yako ya namna ya kumkojoza mwanamke nijaribu kuifanyia kaziHili halina mjadala, linajulikana.
Kijana upo na Maisha yako , una uchumi wako yaan sio mpaka uwe na uchumi mkuuuubwa , kwaufupi wee ni Binadamu !!!.
Acheneni na Masuala ya Pesa sijui nn, acheni nayo hayooo yote HAYAWEZI MFANYA MWANAMKE ASITAMAN KUACHANA NAWEWE. Hii mbinu ni mbinu ambayo kama ni Mpenzi au mke ATAENDELEA KUKUONA KAMA SHUJAA WAKE.
[emoji117]Twendeni taratibu ili mnielewe [emoji116]
Mnaikumbuka hii tamthiliya( sijui ya nchi gani ile) iloisha majuzi hapaa ,ikaisha yule jamaa wenu maarufu amekufa ?
Watu mkaja na Nyuzi za kuhudhunika sana hata humu JF, huko mitandaon Twita, FB, IG, wasap n.k mkaonyesha hudhuni zenu sanaa
[emoji101]WANAWAKE WAKALIA KABISA NAKUTOA MACHOZI, WAKAPOST MAJONZI MAJONZI ....unamuuliza, kulikon? , anakujibu ,Tamthiliya yangu imeisha vibaya???
Yaaan Ulishawahi jiuliza kwann watengenezaji wa Tamthiliya au Movie , HUTUMIA AKILI KUBWA SANA kuhakikisha wanavamia Akili yako na kutawala HISIA zako kiasi kwamba kuna mahali WANAKUFURAHISHA SANAAA na kuna mahali WANAKULIZA MPAKA MACHOZI ???.......uliwah jiuliza kwann??? .
Kama hujanielewa, Embu fikiria habari ya Kitabu fulan chenye hadithi za kusisimua, kuna wakati umesoma ukawa unacheka, nakuna wakati mwandishi anakuumiza namachozi yanakutoka???
[emoji117]HIVO NDIVO AKILI YA MWANADAMU INAVYOTENDA KAZI, LINAPOKUJA SUALA LA HISIA.
SASA iko hivi, Wanawake wanaishi kwa HISIA yaan chochote unachokisema unachokitenda anakitafasiri kwa hisia.
Swali linaweza kua, Nawezaje kumfanya mwanamke awe mtumwa wangu wa Hisia na anitetemekee, nikimwambia tuachane, alieee kama mtoto, anibembeleze sanaaaa ?? Nawezaje ???.
( Usishangae Broo, inawezekana 100%, watakulilia, nahuu sio unyanyasaji, ILA NITOE ONYO, USIFANYE HILI KAMA HUNA UHAKIKA WA KUMPENDA/KUDUMU NAHUYO MWANAMKE ).
kwa sababu Siku ukimwambia Nakuacha, utakua umemuumiza sana, maumivu yake ni zaidi ya maumivu ya Msiba.
[emoji117]NJIA PEKEE YA KUMFANYA MWANAMKE/MKEO AWE MTUMWA WAKO WA KIHISIA YAAN ( kama ni wao wanasemaga nimempa Limbwata Mwanaume)[emoji116]
[emoji101]NI KUHAKIKISHA UMEHACK UBONGO WAKE NA KUULAZIMISHA UAMINI KUA ,RIDHIKO LA HISIA ZAKE YAAAN FURAHA YAKE INAKUTEGEMEA WEWE TU.
Sasa unawezaje kulifanya hilo juu na kumgeuza kua mtumwa.....
Ni rahis tuu katika mazungumzo yenu ya kila siku yaan Kila siku, japo pia unaweza ukawa huifanyi kila kila siku
Hakikisha sana[emoji116]
1-[emoji117]Mpe Approval ya Sifa zake Mbaya ambazo yaan Sifa zake mbaya , kimaneno, au kiutendaji ili mradi unajua anasifa mbaya...
ana tabia mbaya... Muonyeshe kua anatabia mbaya lkn unaipenda .
2-[emoji117]Mpe Disapproval ya Sifa zake Nzuri... Yaaan kama anasifa nzuri ya kitabia au kiutendan, majukumu, n.k, weweee muonyeshe kua Hiyo sifa yake nzuri wakati mwingine inakuboa.
[emoji101]wakati huohuo uwe unachomekea haya
Fanya hili[emoji117]"HISIA JUU--HISIA CHINI-HISIA JUU TENA"
Hiyo kanuni ,unaweza usiielewe , lkn ni kanuni ambayo unaitumia kumfanya Mwanamke kwa nyakati ,Awe na hisia za juuu yaan kama ni Furaha anakua na furaha sanaaaa.... Baadae kidogo, unaishusha hiyi furahaa, anakua na huzuniiiii--- Baadae tena unaipandisha hisia juuu za furahaa anakua na furaha sanaaaaaaaaaaaa..........
Kwa kufanya ivo unakua una bypass, subconscious mind yake bila yeye kujijua na hali hii taratibu humfanya ajihisi na aamini kua ,wee ndio mwanaume wakumfanya Awe na furaha.
Kwa mfano...... Mnapiga stori na huyo demu wako
Unakua kama.....Jane unajua toka nmezaliwa wewe ni mwanamke ambaye umekua wakitofauti sanaa, urembo wako wa sura,uzuri wa umbo lako na namna unavyopambana kujenga maisha, kunafanya nikuone wee ni Malaika"..( Hisia juu)
Atakujibu...mnaendelea na vstori vistori ,Unamuamisha mada chapu chapu
Hivi unamkumbuka Xxxx??? Kuna movie moja alicheza aisee, anampenda mwanammke wake, mpaka anakuja kumtolea figo yake ili mwanamke apone, lkn baadae Mwanamke anamsaliti Kanumba, Et Xxxxx naye alishakufa......(Hisoa chini, hapa moyo wake unakua na majonzi)
Malizia..."Sema Xxxxx na zile movie zake, amenifunza sana kua mwanamke mrembo mzuri mwema anatakiwa kupendwa,kujaliwa, akamilishwe, apewe furahaaa na amani( hisia juu)
Haka kmachezo, bila yeye kujijua kanakua kanaendelea kumgeuza kua Luba wako kwasababu Mind yake inaendelea kumgundisha nawewe, matokeo yake nikwamba ataishia kuamini we ndio chanzo cha riziko la hisia zake.
[emoji101][emoji101][emoji101]Malizia sasa kwa kuanza kumpa ORDER .
kama umeyafanya hayo juu kwa umakini, hii ni hatua sasa yakuanza kupima Ni kwa kiasi gan amekua mtumwa...
Hatua hii, inahusisha kuchomekea Order nakubaki uangalie Utekelezaji wake
Kwa mfano.. Unamwambi hiviii
"Jane wee ni mwanamke mkaribu, najua uta..............( hapa malizia maneno yako unayotaka ayafanye)
"Janee najua wee ni mwanamke mwenye kujali sana, natumaini uta............
AKITEKELEZA NA KUFUATA ORDER UNAYOMPA....hamna kitu tena , just drive her vyenye unataka !!!
Ila sasa, Nawewe usije anza mtenda maujinga, kwa kumwambia au kumtendea sababu tu unajua Hawezi bila wewe!!
Ni Kwa mwanaume aside serious na mambo ya muhimu Tu ndio anaweza kuwaza Kwa namna hii...Acha kuhangaika kumfurahisha mwanamke Kwa sababu wako complicated Sana .. Fanya mambo sahihi Tu suala la kufurahi ni choice yake mwenyewe... mke WA aliekuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Brazil alivunja ndoa na mumewe kwa sababu alikua anamjali Sana....HAO NDIO WANAWAKEDunia ingeboq na ingekua ni mzigo na isofaa kama Kusingekuwepo na mwanamke.
Ukitaka kujua Mwanamke na Furaha wanamchango gan kwako...
Mfanye awe na mawazo, huzuni...alafu utaona Jinsi gan itakavyokuathiri wewe mwenyewe na watoto wako nanyumba nzima.