Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake

Aisee kumbe na juzi tarehe3 umefungwa tena na Yanga.ole sana nakumbushia tu mkuu maumivu uliyopata juzi
#
 
Yaani hivyo tu ndio umfanye awe mtumwa wako??? Huwezi kuwa serious
 
Give me tickets to diffent destinations once every year.
Just the two of us, singing, dancing, laughing at our jokes and whisper sweet nothing words while cudling.

My man, my Dadii 😘.

Forever and Always.
Kuna mtu humu sema kashaoa angekufaa.
 
Mnajifariji tu, wapeni hela fala nyie... Mwanamke wa kizazi hiki hajali kukojozwa wala nini, mchawi wake ni pesa
 
Ngoja waje kuapia kama haya usemayo ni kweli...
 
Kuna watu wanashindwa kutofautisha suala la mapenzi yaani upendo na pesa kwa kudhani kuwa pesa ndio itakufanya uwe salama katika mapenzi jambo ambalo si sahihi hata kidogo

Labda kama unataka slay queens hapo pesa itahusika lakini kama na hao slays wana hisia maana yake na wao wana watu wanaowaependa sasa wewe mpe hela na yeye anampelekea mtu wake hapo umepigwa tu na hela zako

Pia kuna kufanya mapenzi na kumaliza hamu za kijinsia sasa hao wanaosema kila kitu pesa humaliza tu hamu na si kufanya mapenzi kitu ambacho hata nyeto inaweza

Ushauri;tafuta pesa ili kukimu maisha na usitegemee pesa kukimu mapenzi au upendo

Sehemu ya mapenzi na upendo ukiweka pesa umefeli
Na sehemu ya pesa ukiweka mapenzi au upendo umefeli kwa sababu pesa ni kwa ajili ya maisha yahitajiyo pesa na si kwa ajili ya upendo na mapenzi
 
 
Mkuu unataka kusema kumpa mwanamke Zawadi ya cake ktk birthday yake ni bora kuliko kumpa funguo za gari mpya?


Pesa ndy kila kitu mkuu... Wacha kujitesa na hisia za movie uchwara.
Je Kama magari anayo mengi, atakuona umempatia cha maana?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa ndo wanawapaga madem zao maua hawa wakiamin demu wa kibongo anapenda maua...demu wa kibongo mpe chakula....savanah..k vant...atakuthamin sana
Hakika mkuu...
Pesa ndy uchawi no moja duniani.. Kwa chochote kile..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…