Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake

Hakuna limbwata mkojoze tu
Haitoshi hii kukidhi vyoote.. utakumbukwa wakati wa nyege tu... Ila yupo ambaye atakumbukwa kupanga mipango ya maana, na atakuwepo wa kutoka nae out.

Kukojoza pekee hakutosh kupata nusu ya upendo, hawaelewek lakini tujitahid kutafuta sio kuwaza kukojoza tu.
.
 
Muulize masanja mkandamizaji aliyekandamiziwa
 


Ww uko bado last century in finding love and love making, kumbe unaongelea movie life style.. Siku hizi hiyo imepitwa na wakati kabisa, ww uwe na fedha ya kutosha, yaani tajiri wastani au tajiri haswa na uwe na afya njema, mapenzi yanakuja yenyewe tu, mapenzi ni hela kwa miaka hii, ukikataa, shauri yako, utakuwa Old Stone age labda in thinking..

Make money, have money, own power of money, kila kitu utapata, ila uwe na afya njema, achana na fake life au movie life style au maisha ya kuigiza, achana nayo kabisa
 
Usishangae ukakuta huyu mleta uzi ni bwabwa na zwazwa la kawaida. Weledi wa mambo haya huwa wanakaa kimya.
 
Mwanaume nakukumbusha usiwahi kuhangaika kumfurahisha mwanamke hapa Duniani..Muhimu ni wewe kufanya mambo sahihi yampasayo mwanaume kuyafanya na sio Kwa kusudi la kumfurahisha mwanamke....Jitahidi kuzifurahisha wewe mwwenyewe
 
Ni Kwa mwanaume aside serious na mambo ya muhimu Tu ndio anaweza kuwaza Kwa namna hii...Acha kuhangaika kumfurahisha mwanamke Kwa sababu wako complicated Sana .. Fanya mambo sahihi Tu suala la kufurahi ni choice yake mwenyewe... mke WA aliekuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Brazil alivunja ndoa na mumewe kwa sababu alikua anamjali Sana....HAO NDIO WANAWAKE
 
Mchezaji wa Brazil alifanya kila lililojema kumfurahisha mkewe lakini mwishoni hayo mema ndio yalikuwa kero kwa mkewe na kuamua kuivunja ndoa yake akidai KAKA alikuwa anamjali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…