Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Screenshot_20241004_202254_Samsung Music.jpg
 
JINSI YA KUMFURAHISHA MWANAMKE
1. Mpe Pesa
2. Mpe Pesa
3. Mpe Pesa
4. Mpe Pesa
5. Mpe Pesa
 
Yaaan unampa likizo huko

Unaenda kugegedwa na wengine.

Ni kuamua kusuka au kunyoa, uvumilie tabia mbovu uzipotezeee au upite hivi
Hapana ampe nafasi kwenye huo muda wa kutengana huenda akabadilika akishindikana basi waachane tu
 
Nakuambiaje kaka, leo hii nimeamua kupumzika tu home, ila isingea privacy, ningekupigia hata picha ya leo hii uone. Ningeaniza chumban mpaka sitting.
Mwanamke hata kutoa na kuweka net hana habar mnakua mnajichomeka kama panya.

Kwakifupi maisha niliokua naishi nikiwa bachela hayakua hivi.

Mwanamke sufuria ya ugali unaweza ikuta ina siku 3 hata kulowekwa maji na kuoshawa nooo...

Huyu mama kuosha vyombo ujue vyoooote vimetumika vimeisha hivyo hakuna cha kupikia
Damn damn!
Hapa nakupa pole mkuu, jaribu kufanya wewe kila unapoona mambo hayako sawa, huenda akiona kupitia kwako akabadilika.

Mwanamke wa namna hiyo is disgusting...
 
JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Watibeli tunajua kufurahisha Wake zetu. Na Wanawake wa kitibeli hujua kuwapa Raha Waume zào.
Ingawaje mapenzi Kwa wengi NI kipengele na wengi husema hayana mjanja lakini kwa Watibeli mambo kidôgo ni tofauti.

Kwetu Mapenzi siô Big deal, hayatuumizi kichwa kwa sababu tunazingatia uhalisia wa mambo. Mapenzi yanahitaji uhalisia(ukweli) ingawaje Kwa umbo la nje yanajifunua Kwa namna ya uongouongo.

Sitaki kumchosha yeyote leo. Niite Taikon Master, Sukari ya Warembo, King of Mahaba.

Hizi ndîzo njia za kumfurahisha Mwanamke wako;

1. Kuwa Mwanasanaa, Drama na Fundi,
Wanawake wengi Duniani yàani Asilimia tisini na tisa pointi Tisa. Wanafurahishwa na Wanaume weñye Sanaa, ufundi, ucheshi, na drama.
Sanaa ni ufundi na ûzuri wa kufanya Jambo lolote lile
Ukiongea tumia Sanaa.
Ukicheka tumia Sanaa
Ukitembea tumia Sanaa
Ukikaripia tumia Sanaa.
Ukizagamua tumia Sanaa.
Ukinyoa tumia Sanaa.

Wanawake wanapenda mambo na vitu Vizuri na kitu kizuri chochote hutengenezwa na kuundwa Kwa Sanaa.

Sio unaongea na Mwanamke wako Huweki Sanaa, yàani unamkera. Akisikia sauti yako anakereka tuu.
Mwanamke anatakiwa kîla akikusikiliza asichoke, kîla akikuona atabasamu.

Kuwa Mwanasanaa. Hakuna Mwanamke Dunia hii àmbaye hatakupenda. Lakini hakikisha Sanaa hizô zinakuwa Sanaa za Kiume na zinalinda Umri, hadhi, na Nafasi yako kama Mwanaume. Siô ulete Sanaa za kichoko.

2. Onyesha Mapenzi ya kweli.
Wanawake wanapenda kupendwa, wnafurahia wanapohisi kupendwa. Yakwanza ya kuwa Mwanasanaa ni nzuri lakini ya pili inahusu mahusiano.
Wanawake wanaweza kuvutiwa na kufurahishwa na wanasanaa lakini kama wakihisi Hakuna Upendo hupoteza furaha Yao.
Mpende Mkeo.
Mjali Mkeo.
Onyesha kumsikiliza.
Mpe Muda na Kampuni naye.
Usimlaumu.
Usimpige.
Usim-cheat akajua.


3. Mlishe Chàkula kizuri ashibe.
Wanawake wanapenda Kula kuliko Wanaume. ASIJE akakudanganya Mtu. Kiasili jinsia ya Kike inapenda Kula kuliko jinsia ya Kiume ingawaje Wanaume wanakula chàkula kingi Kuliko wanawake kutokana na maumbile yetu yenye misuli.

Kama uchumi siô ràfiki Sana, angalau mara Moja Kwa Mwezi mlishe Chàkula kizuri anachokipenda, au mtoe Out Mkale Bata.

4. Mkojoze.
Mwanamke hufurahishwa na Mwanaume anayemkojoza. Kama Anakupenda alafu ukamkojoza Basi mahusiano Yenu yatakuwa yanafuraha Muda mwingi
Fanya ufanyavyo hakikisha unajua code na patterns za Mwanamke wako ili akojoe Wakati mnakwichikwichi.

Kîla Mwili WA mwanamke Una Codes na patterns Zake Ambazo ukizijua inakuwa rahisi kumkojoza. Know your wife codes and patterns in her body's

5. Mpendezeshe na wéwe Upendeze.
Mfanye awe Mrembo, avae Vizuri na wéwe úwe mtanashati.
Asuke Vizuri na wewe unyoe au kuziweka nywele zako Vizuri.
Mwanamke anazidi kujiamini pale anapokuwa amependeza.
Ni rahisi Mwanamke kuingiwa na chuki juu yako ukiwa unamvalisha mataputapu.

6. Tengeni Muda wa Drama.
Wanawake wengi wanapenda maonyesho, Muziki, mambo ya Tiktok sijui Instagram na kuishi ki-star.
Kama wewe Mwanaume siô Mtu wa mitandao na maonyesho jitahidi úwe unashiriki naye behind the scenes au muwe mnafanya drama Nyumbani mkiwa pàmoja.

Wanawake wanapenda Drama, mambo ya photoshoot, sijui kujirekodi, sijui kucheza ndîo mambo Yao hayo.

Wengi wanatamani Wapate Wanaume wanaowapenda àmbao watakuwa Watu wa Drama na maonyesho.

Onyesho Lao la Kwanza hupendelea Harusi, birthday na shughuli za namna hiyo.

Kama hauna sababu ya kumbana Mkeo au wewe shughuli zako hazikunyimi Muda wa kufanya drama na Mkeo unaweza ukampa kampani.
Kwao ni Fantasy na Huona kama sehemu ya Maisha ya Furaha.
Pia Kwao huchukulia kama wanapendwa lakini pia kuwaringishia Wanawake wenzao hasa wale maadui zào kuwa yeye anapendwa na niwa thamani.

7. MFOKEE MARA MOJAMOJA.
Wanawake Wakati mwingine hufanya Makosa ya kimakusudi kama sehemu ya utani na Mzaha Kwao kwako kuona uta-react vipi. MFOKEE na mkaripie kisanaa ila asijue kuwa unaigiza Kwa sababu kama yeye anacheza na Àkili yako akuone unavyokasirika jinsi unavyokuwa Basi usiingie kwèñye mfumo wake kikamilifu Bali na wéwe chezea Akili Yake Bila ya yeye kujua kuwa umejua intention Yake.

Usiwe Mpole kupita kiasi Wala usiwe Mkali kupita Kiasi.

Acha nipumzike sasa nikainjike Makande jikoni. Kesho Sabato.

Nawatakia maandalizi mema ya Sabato

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Kwa nini mnajitesa hivyo?

Haya yote ni ubatili mtupu
 
Nakuambiaje kaka, leo hii nimeamua kupumzika tu home, ila isingea privacy, ningekupigia hata picha ya leo hii uone. Ningeaniza chumban mpaka sitting.
Mwanamke hata kutoa na kuweka net hana habar mnakua mnajichomeka kama panya.

Kwakifupi maisha niliokua naishi nikiwa bachela hayakua hivi.

Mwanamke sufuria ya ugali unaweza ikuta ina siku 3 hata kulowekwa maji na kuoshawa nooo...

Huyu mama kuosha vyombo ujue vyoooote vimetumika vimeisha hivyo hakuna cha kupikia
Kuoa ni kazi sana Wakuu,Kataa Ndoa kuna muda nawaelewa sana 😀

kataa Ndoa sio wajinga wale,wana akili sana
 
Haya yoote uliyoyaleta ni mapenzi ya wazungu na waigaji waafrica nchi zingine mapenzi yapo tu
 
Damn damn!
Hapa nakupa pole mkuu, jaribu kufanya wewe kila unapoona mambo hayako sawa, huenda akiona kupitia kwako akabadilika.

Mwanamke wa namna hiyo is disgusting...
Nafanya sana. With my kids.. kuna time nakua natenga muda kufanya hizo kazi tena mara nying sana lengo ni kuwafabya madogo wasiathirike na tabia za mama yao.. ni shida sana mkuu
 
Katika wanawake, mkeo hana furaha, hakuna mwanamke wa women hater mwenye furaha, utajijuuuu.
 
Ujinga ujinga kama huu mimi siwezi kufanya tena.
Week 1 sasa hatuwasiliani wala kuongea na wife japo tunakaa nyumba 1 na tunalala kitanda kimoja.
Mwanamke mjuaji kupitilizaaa.
Neno samahani kwake mwaka huu sijawah kulisikia
Mwanamke mbishii jeuri anajiamin kupita kiasi.
MWanamke nyumba hajui hata kuipangilia, unarud jioni unakuta pampas za mtoto kuanzia sitting room kwenye makochi mpaka chumban kitandani nazimetumika.
Mwanamke anaweka pedi zilizotunika bedroom mpaka umkumbushe baada ya kuona chumban sasa kunanuka. Ukimrekebusha ligi ya maneno inaanza

Dah wakuu, hawa wanawake wengine ni mitihan sanaaaa.

KWasasa nimeamua kuwa mkimya na kwasababu ya tabia yake kwakwel nachukizwa nae mnooo, sitaki hata kuongea nae huyu mpumbavu.

Yan nataman hata nitafute nyumba ndogo huko njee
Hizo tabia za ujeur, ubishi kupita kiasi na kujiamini San,uliziona Kwenye uchumba ila ukasema atakuja kubadilika.
 
Braza acha tu.. hakua hiv nafikiri alijitahid kuigiza ila hiibtabia sikuwah kuijua.
Tena ni msomi mwenzangu na ni muajiriwa kabisa.
Ukimuona hata huwez amini.
Tena ni mlokole kabisaaa
Kumbe ni msomi na muajiriwa bas siwez kushangaa hizo tabia
Bila shaka anakusaidia sana kimaisha na kazi yake anayofanya.
 
Back
Top Bottom