Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
Morning.
Naombeni ushauri jamani, mme wangu ana baby boy umri yapata miaka 3 kutoka kwa X wake.
Naomba ushauri kwani nawaza mtoto aendelee kukaa kwa mama yake huku akiomba matunzo ya baba hapa naogopa mawasiliano ya moja kwa moja na mume wangu au tumchukue tuje kuishi nae nikiwa mama mlezi.
Naombeni ipi itakua njia nzuri ambayo nitaimudu na angalau itakua na tija kwenye ndoa yangu?