Jinsi ya kumlea mtoto wa mme

Jinsi ya kumlea mtoto wa mme

Morning.Naombeni ushauri jamani,mme wangu ana baby boy umri yapata miaka 3 kutoka kwa X wake .naomba ushauri kwani nawaza mtoto aendelee kukaa kwa mama yake huku akiomba matunzo ya baba hapa naogopa mawasiliano ya moja kwa moja na mume wangu au tumchukue tuje kuishi nae nikiwa mama mlezi Naombeni ipi itakua njia nzuri ambayo nitaimudu na angalau itakua na tija kwenye ndoa yangu.

ww unaonyesha una roho mbaya ata shetani hapendi maana hata uyo mtt ukipewa ukae nae utamtesa tu yani kwa ujumla ww maisha yashakushinda na roho mbaya yako

asante kwa ushauri, copy Tuko
 
Hee! Muache mtt wa mwenzio afaidi ndoa yake!,kuzaa azae nani kulea mwingine nani kasema!
...kila mtu abebe msalaba wake atii!
..Suprise don dare!!
 
ma dr sipati picha huyu angekua anahusiana na huyu mtoto, cjamlea kashaanza utabiri ,nikija kumlea c ndio ntamwaga maji ya lita moja baharini, ubinadam kazi kweli
 
Muache alelewe na mama yake,kwani wakati unaolewa hukujua ana mtoto......

matumizi awe anatuma tu my dia.....,

labda atuambie baba wa mtoto ana maamuzi gani juu ya malezi ya mtoto wake, wakati naolewa mwanaume aliniambia kabisa kwamba ana mtoto na angependa aanze kuishi nae coz wakati huo alikuwa anaishi kwa bibi yake, tulikubaliana na sijawahi kujutia maamuzi yangu ya kumlea huyo mtoto, baba mtu hajawahi kulalamika na malezi yangu hata kidogo na raha zaidi ni kwamba binti amekuwa rafiki yangu wa karibu sana sana, kwahiyo inategemea na maamuzi ya wenye huyo mtoto (baba&mama) wana maamuzi gani juu ya malezi ya mwanao, ni watoto kama hao wetu tuliowabeba miezi tisa, wanakosea/warekebishwe kama hao wetu, tuwapende kama tunavyowapenda hao wetu, tuwapende kama tunavyowapenda baba zao(waume zetu).
 
baba hakusema anahitaji kuishi na mwanae ila alideclare kua anawajibika kutuma matumizi only dat.
 
kuna shida na hilo? na kama alikujulisha kuanzia mwanzo kuwa ana mtoto na atahitaji malezi yake hukumuhoji hii hofu yako uliyonayo kwasasa? unahisi akienda huko kupeleka matumizi wataendelea na mahusiano, sasa basi kama ni mwanaume wa kuwa na mahusiano anaweza asiwe na mahusiano na huyo mzazi mwenzie bali akawa na mahusiano na wanawake kibao huko nje usiowajua, yap funga kibwebwe kama mwanamke jasiri, ondoa hofu/wasiwasi. wacha mtoto apelekewe matumizi huko alipo maisha yaendelee, mana ukiwa na hiyo hofu hutakaa uwe na amani kwenye hiyo ndoa yako kabisaa, kila mwanaume atakapokuambia alikuwa na mama mtoto wanaongelea mambo ya mtoto tayari utahiis kuna mengine yaliendelea hofu gani hiyo?
 
kipindi kile haikuwepo hofu hiyo imetokea tu recently but naamini kwa hii miexperience humu ndani ,Iam ok now to handle the situation.tel me huyo binti yako hatamani kuishi na mama yake, kwa nini mmeo atake kumlea ye mtoto
 
Morning.Naombeni ushauri jamani,mme wangu ana baby boy umri yapata miaka 3 kutoka kwa X wake .naomba ushauri kwani nawaza mtoto aendelee kukaa kwa mama yake huku akiomba matunzo ya baba hapa naogopa mawasiliano ya moja kwa moja na mume wangu au tumchukue tuje kuishi nae nikiwa mama mlezi Naombeni ipi itakua njia nzuri ambayo nitaimudu na angalau itakua na tija kwenye ndoa yangu.

Sikuhukumu, nahisi kama wewe ni chanzo cha kuharibu mahusiano yao. Huwezi kuwa na wasi wasi kiasi hicho kama hujui ulilofanya. sasa basi kama ndivyo, Mungu haridhii wapumbavu hofu na kutojiamini kutakutafuna sana. Cha kusaidi hapo, hakikisha mumeo anatuma matumizi ontime ili yule asipata chance ya kufuatilia au kukumbushia. Kama una kazi yako nzuri, interrupt kazi ya matumizi iwe yako, na usifanye kwa kunung'unika, do it from you heart.
 
nisaidie faida za kumlea huyo mtoto ukiihusisha ndoa yangu tafadhali mkuu.pili nilikua nawaza kama nikimchukua tumchukue umri wa kwenda shule labda mwakani na tumtafutie boarding ili akirudi likizo awe anaenda kwa mama yake, unaonaje hili

No offence, but this is cruel. Mtoto wa mwenzio mchukulie ni wa kwako. Umesema ana miaka 3 mwakani 4, ingekuwa wa kwako ungempeleka boarding. Tafakari.
 
kipindi kile haikuwepo hofu hiyo imetokea tu recently but naamini kwa hii miexperience humu ndani ,Iam ok now to handle the situation.tel me huyo binti yako hatamani kuishi na mama yake, kwa nini mmeo atake kumlea ye mtoto

kutokana na maugomvi yao mpaka kufikia kuachana mwanaume alimchukua mtoto akiwa na mwaka akampeleka kwa mama yake, baada ya mie kuolewa alimdai mtoto lakini mwanaume alimgomea mwanae kabisa, (ninavyoongea hapa mama wa mtoto ni marehemu) hapo niliendelea na malezi mpaka leo, ana mama zake wadogo/wakubwa/bibi kote huko akijisikia kwenda kusalimia huwa nampeleka, akijisikia kukaa likizo huko kidogo baba yake akiruhusu huwa anaenda, sijawahi kupata ugumu kivile kumlea labda kwasababu namuona ni kama wangu wa kumzaa mwenyewe, maisha yanaendela.
 
daa pole rafiki

TAKA KUJUA ZAIDI :
kabla hajakuoa hakukwambia kuwa alishazaa?
Na kama alikwambia ulichukuliaje jambo hilo?
Na je kwa sasa aendi kwa yule mzazi mwenzake
aliyezaa naye?

Ushauri wangu ni kwamba ni heri mkae kikao cha kifamilia na mjadili jambo hilo
ili kama kuna uwezekano wa kuchukuliwa na mamaye amchukue huyo mtoto au
la kikao cha kifamilia kitakavyosema akae na nyie basi una jinsi itabidi umlee huyo mtoto
kwani ni kiumbe asiye na hatia yoyote ile

Kwa upande wako kaa na mumeo mwambie mtazamo wako wa sasa A TO Z kuhusu huyo
mtoto akama ni matunzo, ama malezi awe care kuyatoa kwa mzazi mwenzie na na
akujali nawe pia kwani nyote ni wa muhimu mtoto na wewe pia. bidada ni hayo tu

Ila ni mtazamo wangu bestito
 
nisaidie faida za kumlea huyo mtoto ukiihusisha ndoa yangu tafadhali mkuu.pili nilikua nawaza kama nikimchukua tumchukue umri wa kwenda shule labda mwakani na tumtafutie boarding ili akirudi likizo awe anaenda kwa mama yake, unaonaje hili

ROHO MBAYA HIYO.

Yani wawe unataka kujaribu kumdhiti mumeo na ndoa yako kwa kumlipisha huyo mtoto kukosa malezi ya mama yake na baba pia? Kama humtaki nyumbani kwako unataka kumtoa kwa mama yake wa kazi gani? Wakati mnachumbiana na kuona ulikuwa wapi usijadili hili swala na mumeo au hata kulifikiria tu wewe mwenyewe? ACHA UBINAFSI. Mwache mtoto alelewe na mama yake na kama ni kwenda boarding akiwa na umri mdogo hivyo (kitu ambacho binafsi siafiki) acha uamuzi huo ufanywe na mama yake mzazi na sio wewe. Wewe subiri ukizaa wako ndio umtimulie boarding bila sababu ya msingi akiwa na umri huo.
 
Wasiwasi wako ni nini bibie? kuwa watakumbushia zamani au? Ujue chochote utakachopanga kufanya inategemea na akili ya huyo mzazi mwenzie mumeo. Usikute wala hawazii unayoyawaza wewe anataka malezi bora tu ya mtoto wao.
Usijitwishe mzigo wa kumlea mtoto wa mwenzio tena mtoto mdogo kiasi hicho ilhali ana mama yake mzazi aliye hai.Utaanza kuambiwa unamtesa mtoto wa watu nk. Kuwa na amani, kuwasiliana kwao hakuepukiki hata mtoto aende boarding au akae na nyie. Sema wewe na mumeo mngeweka misingi imara kuhusu suala hili..sanasana ukiliweka mawazoni litazidi kukuchanganya. Na please usimchukie huyo mtoto, hana hatia kabisa!!
 
nisaidie faida za kumlea huyo mtoto ukiihusisha ndoa yangu tafadhali mkuu.pili nilikua nawaza kama nikimchukua tumchukue umri wa kwenda shule labda mwakani na tumtafutie boarding ili akirudi likizo awe anaenda kwa mama yake, unaonaje hili
hapana msimfanyie hvyo mtoto miaka minne mnampeleka boarding jamani......
 
Sikuhukumu, nahisi kama wewe ni chanzo cha kuharibu mahusiano yao. Huwezi kuwa na wasi wasi kiasi hicho kama hujui ulilofanya. sasa basi kama ndivyo, Mungu haridhii wapumbavu hofu na kutojiamini kutakutafuna sana. Cha kusaidi hapo, hakikisha mumeo anatuma matumizi ontime ili yule asipata chance ya kufuatilia au kukumbushia. Kama una kazi yako nzuri, interrupt kazi ya matumizi iwe yako, na usifanye kwa kunung'unika, do it from you heart.
asante
 
No offence, but this is cruel. Mtoto wa mwenzio mchukulie ni wa kwako. Umesema ana miaka 3 mwakani 4, ingekuwa wa kwako ungempeleka boarding. Tafakari.
.ingekua wa kwangu ningemlea so hiyo isingekua swali kipindi hiki
 
kutokana na maugomvi yao mpaka kufikia kuachana mwanaume alimchukua mtoto akiwa na mwaka akampeleka kwa mama yake, baada ya mie kuolewa alimdai mtoto lakini mwanaume alimgomea mwanae kabisa, (ninavyoongea hapa mama wa mtoto ni marehemu) hapo niliendelea na malezi mpaka leo, ana mama zake wadogo/wakubwa/bibi kote huko akijisikia kwenda kusalimia huwa nampeleka, akijisikia kukaa likizo huko kidogo baba yake akiruhusu huwa anaenda, sijawahi kupata ugumu kivile kumlea labda kwasababu namuona ni kama wangu wa kumzaa mwenyewe, maisha yanaendela.

I get u now, hapo hakuna chance ya watu kuhisi unamuonea huyo mtoto, kila la heri
 
daa pole rafiki

TAKA KUJUA ZAIDI :
kabla hajakuoa hakukwambia kuwa alishazaa?
Na kama alikwambia ulichukuliaje jambo hilo?
Na je kwa sasa aendi kwa yule mzazi mwenzake
aliyezaa naye?

Ushauri wangu ni kwamba ni heri mkae kikao cha kifamilia na mjadili jambo hilo
ili kama kuna uwezekano wa kuchukuliwa na mamaye amchukue huyo mtoto au
la kikao cha kifamilia kitakavyosema akae na nyie basi una jinsi itabidi umlee huyo mtoto
kwani ni kiumbe asiye na hatia yoyote ile

Kwa upande wako kaa na mumeo mwambie mtazamo wako wa sasa A TO Z kuhusu huyo
mtoto akama ni matunzo, ama malezi awe care kuyatoa kwa mzazi mwenzie na na
akujali nawe pia kwani nyote ni wa muhimu mtoto na wewe pia. bidada ni hayo tu

Ila ni mtazamo wangu bestito

kwa sasa mtoto anaishi na mama yake wa kumzaa, mume hajawahi niambia anaenda kwa mzazi mwenzie ila hua anatuma matumizi, hakuna kikao cha familia kilichoitishwa hadi mda huu.
 
Kwa kuongezea tu. . .
Ulifanya makosa makubwa sana kuolewa na mtu ambae tayari ana mtoto na mwanamke mwingine wakati hujiamini na una wivu ambao unaweza kuzaa manyanyaso kwa huyo mtoto uliyemkuta. Hauko tayari kumlea huyo mtoto, wala hauko tayari alelewe na mama yake. Ulitakiwa utafute ambae hana mtoto ili wivu wako uishie kwa watu ambao hauna uwezo wa kuwafikishia hasira zako kwa kuadhibu viumbe visivyohusika na matatizo yako siku ukitamani kufanya hivyo.

Acha huyo mtoto akae kwa mama yake, kama unataka mchunge mumeo kama mbuzi ili asije akala nyasi za jirani.
 
Back
Top Bottom