Jinsi ya kumlea mtoto wa mme

Jinsi ya kumlea mtoto wa mme

DOGO
unalitafuta la kunywa na sukari iko mbali mwali!\
1.ALIYEKWAMBIA NANI KUWA UKIMLEA MTOTO NDO GUARANTEE YA MUMEO KUACHA KWENDA KWA MAMAKE?
2.HUYO MTOTO NI MDOGO SANA KULELEWA NA MTU ASIYE MAMAKE ILHALI MAMAKE YUPO
3.MAMAKE HAJAWAHI KUHITAJI KULELEWA MWANAE?
 
Morning.Naombeni ushauri jamani,mme wangu ana baby boy umri yapata miaka 3 kutoka kwa X wake .naomba ushauri kwani nawaza mtoto aendelee kukaa kwa mama yake huku akiomba matunzo ya baba hapa naogopa mawasiliano ya moja kwa moja na mume wangu au tumchukue tuje kuishi nae nikiwa mama mlezi Naombeni ipi itakua njia nzuri ambayo nitaimudu na angalau itakua na tija kwenye ndoa yangu.
Mpendwa Hongera ! Mtazamo wangu wewe msupport mume kwa kumlea huyu mtoto na umtende mema na umtunze kwa kila lenye upendo na huruma kwani pia ni mwanao in future pili utakuwa umemuenzi mumeo na kumpunguzia presha na mawazo na mawasiliano kwa X-wake, tatu malipo yako mbeleni.
Good luck
 
thanks mamy nimependa hiyo misababu, kumbe zile bughudha za tuma matumizi zinaweza mkera lol, sikuwahi waza hili ngoja tulifanyie kazi hili na kumfanya asahau kabisa ndoto za kuexpect kuja leta mtoto wake, swali la nyongeza akifikia muda anataka olewa huyo bidada na hawez kwenda na mtoto je si ndo atasingizia aje kwa babayake.

Mpenz hapo ndo pamenifaya nimekataa wanaume!!
...hapo kiukweli asilimia kubwa hupelekwa baba!
...ila kwa wanawake waliopinda, hawataki wanasema aende kwa ndugu za mama yake,ss huwa inakuwa noma hapo!!
 
Mimi nna mtoto namlea mwenyewe na mwanamume niliyezaa nae ana mke mwingne. Huwa sipewi matumizi ya mwezi isipokuwa huyu mwanamume analipa ada tu na huwa sina mawasiliano nae ya kihivyo zaidi ya kumweleza tu wakati wa kulipa ada ukifika. Huwa anakuja nyumbani kumchukua mwanae na kwenda nae huko kwake na kumrudisha likizo ikiisha. Najua ni mume wa mtu na si entertain long converastion akija,huwa nampa tu mwanae wanasepa. Likija suala la kukumbushia inategemea na msimamo wako ww mwanamke. Kama huna akili utakubali aendelee kutumia ili hali ana mkewe. Huyu bwana alitaka kuniletea upuuzi huo bt nilikuwa mkali sana. Nilimwambia angekuwa ananipenda angenioa mimi, sipo tayari kutumika,enzi zake na mimi zilishakwisha. Alee tu mwanae ila mambo mengne hakuna and I was siriaz. Alihangaika sana akifikiri mie boya ntampa bt I didnt.

My take
Mwache mtoto alelewe kwa mama ake na kuwa makini na mahusiano ya hao wawili coz wanaume huwa wanarudi na wazazi wenzao. Wa kwangu alirudi ila tu nilikuwa na msimamo na sikutaka kufanywa mjinga!
 
thanks mamy nimependa hiyo misababu, kumbe zile bughudha za tuma matumizi zinaweza mkera lol, sikuwahi waza hili ngoja tulifanyie kazi hili na kumfanya asahau kabisa ndoto za kuexpect kuja leta mtoto wake, swali la nyongeza akifikia muda anataka olewa huyo bidada na hawez kwenda na mtoto je si ndo atasingizia aje kwa babayake.

Aaaah wapi! Inategemeana! Mimi dada yangu sharti lake la kuolewa aende na mwanae huko! Na kaolewa, na huko anaishi na mwana, na mumewe hataki kusikia baba wa mtoto keshamuadopt kisela! Na kambadili jina!!!!!!!

Mtu kumgawa mtoto wake sio rahisi!
 
DOGO
unalitafuta la kunywa na sukari iko mbali mwali!\
1.ALIYEKWAMBIA NANI KUWA UKIMLEA MTOTO NDO GUARANTEE YA MUMEO KUACHA KWENDA KWA MAMAKE?
2.HUYO MTOTO NI MDOGO SANA KULELEWA NA MTU ASIYE MAMAKE ILHALI MAMAKE YUPO
3.MAMAKE HAJAWAHI KUHITAJI KULELEWA MWANAE?

sijui kwa baadae kama atahitaji mwanae alelewe na baba ila kwa sasa anahitaji matumizi tu nayo hayako negotiable popote kwa maandishi na amount haijulikani ila nawaza labda akipata mume anaweza nijia na hii stori ya kutaka amlete kwa baba yake.Pili nawaza kumchukua ili aende boarding kukutana iwe likizo tu .
 
nisaidie faida za kumlea huyo mtoto ukiihusisha ndoa yangu tafadhali mkuu.pili nilikua nawaza kama nikimchukua tumchukue umri wa kwenda shule labda mwakani na tumtafutie boarding ili akirudi likizo awe anaenda kwa mama yake, unaonaje hili

Labda kama haupo ready kumlea. Ila kama hutaki shida huko mbeleni ni heri akue akijua wewe ndiye mama yake. Akuzoee awe free kwako asijisikie wa nje awaheshimu na kuwatunza wadogo zake....
 
sijui kwa baadae kama atahitaji mwanae alelewe na baba ila kwa sasa anahitaji matumizi tu nayo hayako negotiable popote kwa maandishi na amount haijulikani ila nawaza labda akipata mume anaweza nijia na hii stori ya kutaka amlete kwa baba yake.Pili nawaza kumchukua ili aende boarding kukutana iwe likizo tu .
acha kuwa mbinafsi mdogo wangu!
sasa umchukue mtoto kwa mama yake halafu umepeleke boarding,a three yrs kid?
naomba niwe mkali kidogo!
HEBU STOP BEING INSECURE!
TIMIZA AJIBU WAKO KAMA MKE HAYO YA KUW MUAMINIFU NA KUWA MZINIFU NI YAKE NA WALA HUWEZI KUYAZUIA!
 
Mimi nna mtoto namlea mwenyewe na mwanamume niliyezaa nae ana mke mwingne. Huwa sipewi matumizi ya mwezi isipokuwa huyu mwanamume analipa ada tu na huwa sina mawasiliano nae ya kihivyo zaidi ya kumweleza tu wakati wa kulipa ada ukifika. Huwa anakuja nyumbani kumchukua mwanae na kwenda nae huko kwake na kumrudisha likizo ikiisha. Najua ni mume wa mtu na si entertain long converastion akija,huwa nampa tu mwanae wanasepa. Likija suala la kukumbushia inategemea na msimamo wako ww mwanamke. Kama huna akili utakubali aendelee kutumia ili hali ana mkewe. Huyu bwana alitaka kuniletea upuuzi huo bt nilikuwa mkali sana. Nilimwambia angekuwa ananipenda angenioa mimi, sipo tayari kutumika,enzi zake na mimi zilishakwisha. Alee tu mwanae ila mambo mengne hakuna and I was siriaz. Alihangaika sana akifikiri mie boya ntampa bt I didnt.

My take
Mwache mtoto alelewe kwa mama ake na kuwa makini na mahusiano ya hao wawili coz wanaume huwa wanarudi na wazazi wenzao. Wa kwangu alirudi ila tu nilikuwa na msimamo na sikutaka kufanywa mjinga!

asante bidada na una msimamo nilioupenda , sasa ukiishi na mwanao hupati vikwazo kwenye ndoa yako
 
kuwepo na utaratibu wa like hata kumi bana
cc Paw na pruner
 
Last edited by a moderator:
Labda kama haupo ready kumlea. Ila kama hutaki shida huko mbeleni ni heri akue akijua wewe ndiye mama yake. Akuzoee awe free kwako asijisikie wa nje awaheshimu na kuwatunza wadogo zake....

kwa hali ilivyo sasa no way ya kumfanya mtoto akue akahisi mi ndie mama yake coz mama is alive na atakua anamuona tu akitaka kumuona.kumlea si tatizo ila nilitaka tu jua faida na hasara za kumlea mimi na akimlea mama yake
 
acha kuwa mbinafsi mdogo wangu!
sasa umchukue mtoto kwa mama yake halafu umepeleke boarding,a three yrs kid?
naomba niwe mkali kidogo!
HEBU STOP BEING INSECURE!
TIMIZA AJIBU WAKO KAMA MKE HAYO YA KUW MUAMINIFU NA KUWA MZINIFU NI YAKE NA WALA HUWEZI KUYAZUIA!

dada kama nakuona vile ulivyoonyesha msisitizo, ngoaja nipunguze mawazo hasi nimuache alee mwanae hukohuko
 
best nieleweshe basi nje ya kigogo
Hakuna hedeki kama kulea mtoto wa kambo... Mtoto pamoja na kupendwa huwa anahitaji kuonywa na kuadhibiwa pale anapokosea ili kumfunza. But kama ni wa kambo, hata kama unamuonya kwa nia njema itaonekana unamtesa kwa sababu sio wako. Ukimfanyia jema lawama ukimfanyia baya lawama. Ukimbembeleza akaharibika itasemwa kuwa hukumfundisha tabia njema kwa sababu sio wako. Yaani ni majanga tuuu... Kwakweli kama mama yake tupo nakushauri tu huyo mtoto alelewe huko huko.., huo wasiwasi kuwa baba atakuwa anawasiliana na mama, ok huyo ni mtu mzima kama wewe mtawekana sawa kiutu uzima pale utakapohisi mawasiliano yasiyo ya kawaida.... Ila usiombe kuja kupambana na mtoto wa kambo, akienda kwa bibi yake anasema unampa nyama vinyango viwili na wanao unawapa sita sita...
 
asante bidada na una msimamo nilioupenda , sasa ukiishi na mwanao hupati vikwazo kwenye ndoa yako

Sipendi kusababisha vikwazo kwenye ndoa ya mtu and I always wish them a happy marriage. Sitaki niwe chanzo cha migogoro kwenye ndoa yao,kama wana matatzo ni ya kwao na wala yasitokane na mimi. Japokuwa mwanamume analalamika kuwa hana amani huwa namwambia huyo ndo mna agano la milele,ni msalaba wako na hukulazimishwa kumuoa. Sitaki lawama na mtu mie
 
dada kama nakuona vile ulivyoonyesha msisitizo, ngoaja nipunguze mawazo hasi nimuache alee mwanae hukohuko

ningekuwa karibu na singi ningekutia!
jiachie mwaya!
jillele mumeo kwa raha zako!
muache mtoto apate mapenzi ya mamake,we anza na wako!
kwanza unachelew hebu zaa FASTA!
huchelewi kuanza nyota ya kijani ili kusuburi junior akue akue ndo apate wadogo zake!
 
Morning.Naombeni ushauri jamani,mme wangu ana baby boy umri yapata miaka 3 kutoka kwa X wake .naomba ushauri kwani nawaza mtoto aendelee kukaa kwa mama yake huku akiomba matunzo ya baba hapa naogopa mawasiliano ya moja kwa moja na mume wangu au tumchukue tuje kuishi nae nikiwa mama mlezi Naombeni ipi itakua njia nzuri ambayo nitaimudu na angalau itakua na tija kwenye ndoa yangu.

ww unaonyesha una roho mbaya ata shetani hapendi maana hata uyo mtt ukipewa ukae nae utamtesa tu yani kwa ujumla ww maisha yashakushinda na roho mbaya yako
 
Hakuna hedeki kama kulea mtoto wa kambo... Mtoto pamoja na kupendwa huwa anahitaji kuonywa na kuadhibiwa pale anapokosea ili kumfunza. But kama ni wa kambo, hata kama unamuonya kwa nia njema itaonekana unamtesa kwa sababu sio wako. Ukimfanyia jema lawama ukimfanyia baya lawama. Ukimbembeleza akaharibika itasemwa kuwa hukumfundisha tabia njema kwa sababu sio wako. Yaani ni majanga tuuu... Kwakweli kama mama yake tupo nakushauri tu huyo mtoto alelewe huko huko.., huo wasiwasi kuwa baba atakuwa anawasiliana na mama, ok huyo ni mtu mzima kama wewe mtawekana sawa kiutu uzima pale utakapohisi mawasiliano yasiyo ya kawaida.... Ila usiombe kuja kupambana na mtoto wa kambo, akienda kwa bibi yake anasema unampa nyama vinyango viwili na wanao unawapa sita sita...

Asante kwa kuweka msisitizo!
Hiyo ndo hali halisi ya watt wa nje ya ndoa waliowengi!
Mi ndo hata cwezi na sio kwamba nina roho mbaya bt nawaelewa sana
 
ww unaonyesha una roho mbaya ata shetani hapendi maana hata uyo mtt ukipewa ukae nae utamtesa tu yani kwa ujumla ww maisha yashakushinda na roho mbaya yako
Daniel poul, punguza hasira mshauri mwenzio!!!
 
Last edited by a moderator:
Yani dont you dare! Kumtoa huyo mtoto hata hatua moja kwa mamaye maana huo wivu ulionao utaongezeka mara elfu. Maana utampa nafas kubwa ya huyo mama kujiachia vizur na mumeo! ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO. Tunza mumeo na familia yako acha mamaye awajibike na mzigo wake
 
kuwepo na utaratibu wa like hata kumi bana
cc Paw na pruner

Hakuna hedeki kama kulea mtoto wa kambo... Mtoto pamoja na kupendwa huwa anahitaji kuonywa na kuadhibiwa pale anapokosea ili kumfunza. But kama ni wa kambo, hata kama unamuonya kwa nia njema itaonekana unamtesa kwa sababu sio wako. Ukimfanyia jema lawama ukimfanyia baya lawama. Ukimbembeleza akaharibika itasemwa kuwa hukumfundisha tabia njema kwa sababu sio wako. Yaani ni majanga tuuu... Kwakweli kama mama yake tupo nakushauri tu huyo mtoto alelewe huko huko.., huo wasiwasi kuwa baba atakuwa anawasiliana na mama, ok huyo ni mtu mzima kama wewe mtawekana sawa kiutu uzima pale utakapohisi mawasiliano yasiyo ya kawaida.... Ila usiombe kuja kupambana na mtoto wa kambo, akienda kwa bibi yake anasema unampa nyama vinyango viwili na wanao unawapa sita sita...
Hapa ni mekupata vyema best, thanks
 
Back
Top Bottom