Morning.Naombeni ushauri jamani,mme wangu ana baby boy umri yapata miaka 3 kutoka kwa X wake .naomba ushauri kwani nawaza mtoto aendelee kukaa kwa mama yake huku akiomba matunzo ya baba hapa naogopa mawasiliano ya moja kwa moja na mume wangu au tumchukue tuje kuishi nae nikiwa mama mlezi Naombeni ipi itakua njia nzuri ambayo nitaimudu na angalau itakua na tija kwenye ndoa yangu.
ww unaonyesha una roho mbaya ata shetani hapendi maana hata uyo mtt ukipewa ukae nae utamtesa tu yani kwa ujumla ww maisha yashakushinda na roho mbaya yako
asante kwa ushauri, copy Tuko
Daniel poul, punguza hasira mshauri mwenzio!!!
Morning.Naombeni ushauri jamani,mme wangu ana baby boy umri yapata miaka 3 kutoka kwa X wake .naomba ushauri kwani nawaza mtoto aendelee kukaa kwa mama yake huku akiomba matunzo ya baba hapa naogopa mawasiliano ya moja kwa moja na mume wangu au tumchukue tuje kuishi nae nikiwa mama mlezi Naombeni ipi itakua njia nzuri ambayo nitaimudu na angalau itakua na tija kwenye ndoa yangu.
ww unaonyesha una roho mbaya ata shetani hapendi maana hata uyo mtt ukipewa ukae nae utamtesa tu yani kwa ujumla ww maisha yashakushinda na roho mbaya yako
Hee! Muache mtt wa mwenzio afaidi ndoa yake!,kuzaa azae nani kulea mwingine nani kasema!
...kila mtu abebe msalaba wake atii!
..Suprise don dare!!
ma dr sipati picha huyu angekua anahusiana na huyu mtoto, cjamlea kashaanza utabiri ,nikija kumlea c ndio ntamwaga maji ya lita moja baharini, ubinadam kazi kweliHee! Muache mtt wa mwenzio afaidi ndoa yake!,kuzaa azae nani kulea mwingine nani kasema!
...kila mtu abebe msalaba wake atii!
..Suprise don dare!!
Muache alelewe na mama yake,kwani wakati unaolewa hukujua ana mtoto......
matumizi awe anatuma tu my dia.....,
labda atuambie baba wa mtoto ana maamuzi gani juu ya malezi ya mtoto wake, wakati naolewa mwanaume aliniambia kabisa kwamba ana mtoto na angependa aanze kuishi nae coz wakati huo alikuwa anaishi kwa bibi yake, tulikubaliana na sijawahi kujutia maamuzi yangu ya kumlea huyo mtoto, baba mtu hajawahi kulalamika na malezi yangu hata kidogo na raha zaidi ni kwamba binti amekuwa rafiki yangu wa karibu sana sana, kwahiyo inategemea na maamuzi ya wenye huyo mtoto (baba&mama) wana maamuzi gani juu ya malezi ya mwanao, ni watoto kama hao wetu tuliowabeba miezi tisa, wanakosea/warekebishwe kama hao wetu, tuwapende kama tunavyowapenda hao wetu, tuwapende kama tunavyowapenda baba zao(waume zetu).
baba hakusema anahitaji kuishi na mwanae ila alideclare kua anawajibika kutuma matumizi only dat.
kipindi kile haikuwepo hofu hiyo imetokea tu recently but naamini kwa hii miexperience humu ndani ,Iam ok now to handle the situation.tel me huyo binti yako hatamani kuishi na mama yake, kwa nini mmeo atake kumlea ye mtotokuna shida na hilo? na kama alikujulisha kuanzia mwanzo kuwa ana mtoto na atahitaji malezi yake hukumuhoji hii hofu yako uliyonayo kwasasa? unahisi akienda huko kupeleka matumizi wataendelea na mahusiano, sasa basi kama ni mwanaume wa kuwa na mahusiano anaweza asiwe na mahusiano na huyo mzazi mwenzie bali akawa na mahusiano na wanawake kibao huko nje usiowajua, yap funga kibwebwe kama mwanamke jasiri, ondoa hofu/wasiwasi. wacha mtoto apelekewe matumizi huko alipo maisha yaendelee, mana ukiwa na hiyo hofu hutakaa uwe na amani kwenye hiyo ndoa yako kabisaa, kila mwanaume atakapokuambia alikuwa na mama mtoto wanaongelea mambo ya mtoto tayari utahiis kuna mengine yaliendelea hofu gani hiyo?
Morning.Naombeni ushauri jamani,mme wangu ana baby boy umri yapata miaka 3 kutoka kwa X wake .naomba ushauri kwani nawaza mtoto aendelee kukaa kwa mama yake huku akiomba matunzo ya baba hapa naogopa mawasiliano ya moja kwa moja na mume wangu au tumchukue tuje kuishi nae nikiwa mama mlezi Naombeni ipi itakua njia nzuri ambayo nitaimudu na angalau itakua na tija kwenye ndoa yangu.
nisaidie faida za kumlea huyo mtoto ukiihusisha ndoa yangu tafadhali mkuu.pili nilikua nawaza kama nikimchukua tumchukue umri wa kwenda shule labda mwakani na tumtafutie boarding ili akirudi likizo awe anaenda kwa mama yake, unaonaje hili
kipindi kile haikuwepo hofu hiyo imetokea tu recently but naamini kwa hii miexperience humu ndani ,Iam ok now to handle the situation.tel me huyo binti yako hatamani kuishi na mama yake, kwa nini mmeo atake kumlea ye mtoto
nisaidie faida za kumlea huyo mtoto ukiihusisha ndoa yangu tafadhali mkuu.pili nilikua nawaza kama nikimchukua tumchukue umri wa kwenda shule labda mwakani na tumtafutie boarding ili akirudi likizo awe anaenda kwa mama yake, unaonaje hili
hapana msimfanyie hvyo mtoto miaka minne mnampeleka boarding jamani......nisaidie faida za kumlea huyo mtoto ukiihusisha ndoa yangu tafadhali mkuu.pili nilikua nawaza kama nikimchukua tumchukue umri wa kwenda shule labda mwakani na tumtafutie boarding ili akirudi likizo awe anaenda kwa mama yake, unaonaje hili
asanteSikuhukumu, nahisi kama wewe ni chanzo cha kuharibu mahusiano yao. Huwezi kuwa na wasi wasi kiasi hicho kama hujui ulilofanya. sasa basi kama ndivyo, Mungu haridhii wapumbavu hofu na kutojiamini kutakutafuna sana. Cha kusaidi hapo, hakikisha mumeo anatuma matumizi ontime ili yule asipata chance ya kufuatilia au kukumbushia. Kama una kazi yako nzuri, interrupt kazi ya matumizi iwe yako, na usifanye kwa kunung'unika, do it from you heart.
kutokana na maugomvi yao mpaka kufikia kuachana mwanaume alimchukua mtoto akiwa na mwaka akampeleka kwa mama yake, baada ya mie kuolewa alimdai mtoto lakini mwanaume alimgomea mwanae kabisa, (ninavyoongea hapa mama wa mtoto ni marehemu) hapo niliendelea na malezi mpaka leo, ana mama zake wadogo/wakubwa/bibi kote huko akijisikia kwenda kusalimia huwa nampeleka, akijisikia kukaa likizo huko kidogo baba yake akiruhusu huwa anaenda, sijawahi kupata ugumu kivile kumlea labda kwasababu namuona ni kama wangu wa kumzaa mwenyewe, maisha yanaendela.
daa pole rafiki
TAKA KUJUA ZAIDI :
kabla hajakuoa hakukwambia kuwa alishazaa?
Na kama alikwambia ulichukuliaje jambo hilo?
Na je kwa sasa aendi kwa yule mzazi mwenzake
aliyezaa naye?
Ushauri wangu ni kwamba ni heri mkae kikao cha kifamilia na mjadili jambo hilo
ili kama kuna uwezekano wa kuchukuliwa na mamaye amchukue huyo mtoto au
la kikao cha kifamilia kitakavyosema akae na nyie basi una jinsi itabidi umlee huyo mtoto
kwani ni kiumbe asiye na hatia yoyote ile
Kwa upande wako kaa na mumeo mwambie mtazamo wako wa sasa A TO Z kuhusu huyo
mtoto akama ni matunzo, ama malezi awe care kuyatoa kwa mzazi mwenzie na na
akujali nawe pia kwani nyote ni wa muhimu mtoto na wewe pia. bidada ni hayo tu
Ila ni mtazamo wangu bestito