Jinsi ya kumtongozwa mwanamke na akakubali!

Kwani demu anapomuona mwanaume mara ya kwanza anakuwa anajua hana pesa. Kuna jamaa kibao hawana pesa lakini wanachukua watoto wakali. Siri kubwa kujiamini tu
Dawa ni mbili tu! Ya KWANZA uwe na pesa!! Ama uwe na mvuto! Kujiamini kwa "Ukweli" kunakuja pale unapokuwa na vitu hivyo! Ili uwe 'magic man' basi uwe na vyote vitatu kwa mpigo!! Lazima uhamishwe mtaa!!
 
Points nimeilewa vizur tu na ndio uhalisia was mapenzi yetu

Mtoto wa kike yoyote kidume chake kikiwa na pesa basi anakua kama kipofu haoni kasolo hata kama jamaa anamwili kama was lemutuz huwa haoni

Lakn pesa zikiisha ndo anaanza kushutuka eeehe kumbe jamaa anamuonekano mbaya maneno konki mchawi pesa
Hapana....naamini katika mapenzi ya kweli.
ila siamini katika mapenzi bila pesa mkuu
 
Sure
Dawa ni mbili tu! Ya KWANZA uwe na pesa!! Ama uwe na mvuto! Kujiamini kwa "Ukweli" kunakuja pale unapokuwa na vitu hivyo! Ili uwe 'magic man' basi uwe na vyote vitatu kwa mpigo!! Lazima uhamishwe mtaa!!
 
Tafuta pesa kwa bidiii jitaidi kufanya mazoezi ili mwili wako usiwe kama wa lemutuz

Akiyamungu kusumbuliwa na hawa mademu utasikia kwa wenzio tu
 
Tafuta pesa kwa bidiii jitaidi kufanya mazoezi ili mwili wako usiwe kama wa lemutuz

Akiyamungu kusumbuliwa na hawa mademu utasikia kwa wenzio tu
Hii ni ishara kuwa kuna tatizo la kutokujiamini
 
Swadaktaaaa
Mchawi pesa.....mapenzi mbwembwe tu
 
Naomba ieleweke Once umezaliwa na disability ya udomo zege nakuhakikishia hutaweza tongoza demu yoyote
 
Nimekwama mkuu...nimemsalimia nae kaitika fresh..baada ya kusalimiana ananiuliza niseme shida yangu.....hapa niingie na gia gani au ninyooke moja kwa moja kuwa nakupenda? Msaada maana nimemwambia naongea na cm ananisubilia
 
Huwezi kuingia na gia hiyo. Muulize kama ana haraka sana. Kama ana haraka ni muda wa kuomba namba ya simu, kama hana
 
Wanaume wa siku hizi haswa vijana wa mjini, akiona mwanamke mzuri tu amsemeshi pale pale, atamuangalia jinsi alivyo na kumfuatilia baada ya siku kadhaa. Kabla ya hapo, atasuka nywele kwanza, atoboe masikio, akanunue suruali inayobana mapumbu na isiyoifika matakoni, yaani haistili matako yake ili avae mlegezo, atatoboa pua, kisha atapaka lipstick. Akijiangalia kwenye kioo akiona anafanana na mwanamke ndipo ataenda kumtokea huyo demu na mapozi ya kibongo fleva, atajifanya anabana pua kuongea broken English ya wamarekani weusi na lafudhi ndeeeefu isiyoeleweka, huku akibinya mapumbu. Kicheko kinakuja pale anapotolewa nje na huyo demu, ghafla anarudi katika hali yake ya kawaida na sauti yake ya kawaida inarudi na kuanza kumkashifu bi dada, malaya gani wewe kwanza sijuwi ukoje, katika mademu we ni demu? Hivi tujiulize, mwanamke gani mwenye akili timamu anayetaka kutoka na mwanamme anayefanana kama demu au mwanamme asiyejitambua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…